Tuki give up tutakua hatuna utofauti na yeye, operation zake zote hazifiki mwisho kutokana na kugive up au kutokua na msingi imara sasa sisi tutaenda nae taratibu kwa misngi imara huku hotuba ya bandarini kuhusi wenye vyeti feki ikiwa kama wimbo wetu kila asubuhi na jioni, kabla sijacoment nasikiliza kwanza ile hotuba ya bandarini.Naunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.
Huyu mtoa mada pengine ndiye mmiliki halali wa cheti . Ndio maana anashauri tupotezee hii issueunasemaaaa...............embu acha izo habar chalii angu apo ndo kwanza tumeanza
alie asilie atujua mwenyw tunataka vyeti full stop
alaf wee unae mtetea wewe.......
Sana, kijiji kimekua maarufu aisee![]()
Eti koromije. Nimepita hapo koromije jana, naona hicho kijiji kimejizolea umaarufu wa kutosha
Tunaomba vyetiHabari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Mama njoo hapa Mwanza ntakupeleka koromije upaoneSana, kijiji kimekua maarufu aisee

Mkuu anything too much is harmful.unasemaaaa...............embu acha izo habar chalii angu apo ndo kwanza tumeanza
alie asilie atujua mwenyw tunataka vyeti full stop
alaf wee unae mtetea wewe.......
Nadhani huyo ni mtu mmoja, tuacheni ushabiki jamaniMleta mada unazungumzia Paulo Makonda au Daudi Bashite? Kama sijakuelewa vile
Natamani kupajua aisee... Walau nipate kaselfiMama njoo hapa Mwanza ntakupeleka koromije upaone![]()
Kwahiyo ukiendelea kumjadiri hapa na yeye atafungwa? Au huyo nesi atafunguliwa?kuna nesi kafungwa miaka 28 kwa kosa la kufoji vyeti ili apate ugali wa wanawe, je na huyo unamzungumziaje????? hebu jaribu kuvaa uhusika wa watoto wa huyu Mama.
kulia sio sababu ya kutuaminisha yeye hakununua na wala hatumii vyeti vya mtu mwingine, hatutaweza kukaa kimya hadi akiri kuwa anatumia vyeti visivyo vyake ambayo kisheria inajulikana ni makosa, na mtuhumiwa huwa anafungwa jela miaka saba.










Kwa mawazo yako haya unamdhalilisha mzee wa ruksa apo juuKwahiyo ukiendelea kumjadiri hapa na yeye atafungwa? Au huyo nesi atafunguliwa?
Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Si alimtaja na bosi wao au??? Wanalipiza sasa