E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Walikubali kuwa hawana! Huyu bwana ana kigugumizi hata cha kukanusha tu maana wizi uko wazi sana! Sana sana anachoweza ni kulia makanisani na misikitini!
Asilie aonyeshe vyeti!
Acha maneno weka vyeti mezani
Sabaash
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Aliyeita watumishi wenye vyeti halali vichaa kumbe yeye kilaza.. Watu waliokesha shule kutafuta vyeti yeye akipiga usingizi kisha unaleta dharau kwa watu
 
Aliyeita watumishi wenye vyeti halali vichaa kumbe yeye kilaza.. Watu waliokesha shule kutafuta vyeti yeye akipiga usingizi kisha unaleta dharau kwa watu
Malipo ni hapa hapa duniani
 
"Wengi walioko kwenye orodha iliyokabidhiwa na Makonda ni wagonjwa wanaohitaji msaada wa matibabu, tumepata watuhumiwa 5 tu wa dawa za kulevya" by Kamishna Siang'a 06 March 2017.
cfeee1ab957892e2a66a1a24b3bee839.jpg
 
Back
Top Bottom