E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Teh teh teh, huyu jamaa aisee amewashika hatari this time maana mmetumia energies nyingi kufanya demands za vyeti but zote hola, naona mpaka pumzi zimewaishia kabisa, kweli huyu jamaa ni mwamba and now nimemuelewa why alisema majibu yapo humu humu.
Live long one and only, Kamanda Makonda
Zero
 
wabongo bwana taaabuuuu kweli kweli yaaani mteule wa Mh Rais anashinikizwa na kituo cha redio kinachosikika kwenye mkoa mmoja aonyeshe vyeti vyake hii dharauu ya karne hivi zaidi ya rais kuna nani mwingine mbona hatujitathmin tuache ushabiki ushabiki bila kujali protocol. Mh Makonda ni RC ambaye ameteuliwa na Mh Rais kwa kuzingatia vigezo vya ikulu na ikulu ni taasisi hivi mtu kateuliwa na marais wawili kwa nyakati tofauti hao wote hawakuliona hilo. jamani hebu tuheshimu mamlaka iliyomteua tuache ushabiki wa visilani na chuki binafsi.
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
nakuunga mkono mkuu..japo dah katuangusha sana vijana kwa kupewa dhamana akatumia zaid mihemko!!inatosha
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Mbona huulize kile cha Clouds ambacho kila saa wao wanamsifia
 
Back
Top Bottom