E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Hakika umejiuliza swali ambalo hata Mimi nimeshajiuliza Mara kadhaa.
 
nauza jezi zina jina la bashite mgongoni bei 15000 unaletewa ulipo
Mara ya kwanza sikuilewa ile Cocacola Bashite nilipojua nilicheka sana tafadhali mwenye ile coca isiyokuwa na sukari ambayo kwa sasa ni maarufu kwa jina pendwa naomba aitupie.
 
kuna nesi kafungwa miaka 28 kwa kosa la kufoji vyeti ili apate ugali wa wanawe, je na huyo unamzungumziaje????? hebu jaribu kuvaa uhusika wa watoto wa huyu Mama.

kulia sio sababu ya kutuaminisha yeye hakununua na wala hatumii vyeti vya mtu mwingine, hatutaweza kukaa kimya hadi akiri kuwa anatumia vyeti visivyo vyake ambayo kisheria inajulikana ni makosa, na mtuhumiwa huwa anafungwa jela miaka saba.
Tunatengeneza mayatima wangapi kwa mama yule kufungwa halafu Bashite anadunda? Hivi yale mashirika ya haki za binadamu yako wapi mbona wanafumbia macho hizi double standard?
 
Huyu Bashite awe tu mpole ajipeleke central mwenyewe
Lazima watu wafahamu jela,polisi hakuna mwenyewe.....kama ulikuwa unaeaota wenzako na kuwambia tukutane central na kama wee syo msafi iko Siku na weee utaitwaa tu na ikiwezekana ukawekwa lokup....
Haiwezekani we kiongozi alafu unakuwaa na ukaribu na wafanyabiashara fulani eg gs--
Na wafanya biashara wauza nga--- eg njeki...
Hapo ni sawa na kuwataka kuwalinda watu fulani kwa kuwazima makundi fulani

Ova
 
Bashite bado yeye akikua andhalilisha watu wazima hadharani Bashite alete vyeti vyake vya kibashite
 
Back
Top Bottom