E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Unajua Hii Issue ni nyepesi sana, The same method aliyoitumia wakati wa kutaja majina.. Kwanini assiitumie Kuita waandishi wa habari akaonyesha vyeti... kama hakuna shida yoyote ile kwa nini asiite tu waandishi? Nakuhakikishia akifanya hivyo this wont last a week watu watakuwa wameshasahau kwamba kulikuwa na kitu kama hii.
Unataka akaonyeshe nini? labda ramani ya Koromije, cheti hana ana leaving tu, masomo yote amepata fafafa zote.
 
Wanaomtetea Bashite wengi wao nao wanatumia vyeti vya ndugu
 
Mara ya kwanza sikuilewa ile Cocacola Bashite nilipojua nilicheka sana tafadhali mwenye ile coca isiyokuwa na sukari ambayo kwa sasa ni maarufu kwa jina pendwa naomba aitupie.
Hyo hpo Mkuu.
 

Attachments

  • mangekimambi_-20170307-0001.jpg
    mangekimambi_-20170307-0001.jpg
    16.1 KB · Views: 77
Kwanini wakifoji wengine ndio iwe haramu? Hii nchi ina matabaka kwenye uwajibikaji kisheria? Ndio maana wanakomaa ili na yeye afanywe kama walivyofanywa wafoji vyeti wenzake kwenye uhakiki. Uhakiki uliotugharimu kiasi hadi leo hakuna ajira, hakuna kupanda madaraja wala mishahara halafu huyu anakula nchi tu!! Lazima tukomae.
Uhakiki haujaisha mpaka waishe aisee
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.

Kulia siyo kuomba msamaha, kulia hakuondoi kosa la kufoji vyeti,kulia hakumpi uhalali wa kuendelea kuwa mkuu wa mkoa. Tutaendelea kusema ukweli mpaka atakspo akili hadharani kosa lake lakufoji vyeti usitulazimishe tufuate mawazo yako
 
Inaitwa KOROMIJE... Jina la hiki kijiji limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja alikuwa anaitwa Jonathan... Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini, kila Wakija kuteka maji asubuhi wanamkuta kalala... Wakawa wanamind na jina likawa linawatatiza... Ndo akawaambia "Call me J" yaani muwe mnaniita J... Wao wakaita KOLOMIJE ikawa ndo jina la kijiji cha kina Bashite
 
Aisee kufoji ni kubaya jaman
Hii ishu simple sana, yaan haina haja ya kuzunguka kujibaraguza makanisani na misikitini huku unalia,

Ni kuweka vyeti tu hata huongei, vyeti ndio vitaongea

#weka_vyeti_acha_maneno
 
Wenyewe wanasema "Form Four Failure Fit For Food Fight".
Kufeli kubaya sana jamani . Binafsi nili-discontinue UDSM so, I know how it feels.
Bora wewe hujafeli form four na six halafi vyeti vyako unavyo bila kufoji
 
Bora wewe hujafeli form four na six halafi vyeti vyako unavyo bila kufoji
Si ajabu anavyo kavitunza kabatini na mfukoni kachapika ile mbaya. Unakandia mtu aliyeko field kwa vitendo kisa una makaratasi umeyatunza kabatini!?
Muulize elimu ya Mwenyekiti wake uone atakavyotoa mapovu.
 
Back
Top Bottom