E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Bashite kawa mpole ka maji jeuri yote kumbe hana vyeti kawanyanyasa sana watu wenye vyeti vyao kama wanaishi Burundi leo yamemkuta watu wanasema tupotezee wakati kuna watu wamepoteza maisha kwa kuwa na vyeti feki halau mnanasema tumuache Bashite na nyodo zote zile HAPANA.
Hatakiwi kuachwa kabisa huyu simbilisi
 
Unajua Hii Issue ni nyepesi sana, The same method aliyoitumia wakati wa kutaja majina.. Kwanini assiitumie Kuita waandishi wa habari akaonyesha vyeti... kama hakuna shida yoyote ile kwa nini asiite tu waandishi? Nakuhakikishia akifanya hivyo this wont last a week watu watakuwa wameshasahau kwamba kulikuwa na kitu kama hii.
Dah
Km humu jf kuna mtu ana misifa tunaomba aache aisee
 
Yesss sasa nimegundua mbinu hii kibiashara itaniinua!!!!!! Nanunua jina la Mr bashite af nalitumia kibiashara maana limepata umaarufu kama alivofanya yy kwa makonda
Nasikia kuna mtu humu jf anauza t shirt za bashite,ajitokeze atuelekeze
Hii fursa msiache ipite,mwenyewe hapa nataka kuprint
 
Nasikia kuna mtu humu jf anauza t shirt za bashite,ajitokeze atuelekeze
Hii fursa msiache ipite,mwenyewe hapa nataka kuprint
Nani huyo kama ni kwer afanye mpango maana mm ndo kwanza nafanya manunuzi ya jina then mengne badae ila Kama yupo kwer tuambizane bhana
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Ishu sio makonda, ishu ni kufoji ni kosa la jinai. Kuna watumishi walofoji nao wamefukuzwa kazi. Je wao wanakosa gani tofauti na bashite, after all kama ni kweli.
 
Back
Top Bottom