kuna nesi kafungwa miaka 28 kwa kosa la kufoji vyeti ili apate ugali wa wanawe, je na huyo unamzungumziaje????? hebu jaribu kuvaa uhusika wa watoto wa huyu Mama.
kulia sio sababu ya kutuaminisha yeye hakununua na wala hatumii vyeti vya mtu mwingine, hatutaweza kukaa kimya hadi akiri kuwa anatumia vyeti visivyo vyake ambayo kisheria inajulikana ni makosa, na mtuhumiwa huwa anafungwa jela miaka saba.
Siku zote ukiwa na kasoro lazima ujihamiBashite kawa mpole ka maji jeuri yote kumbe hana vyeti kawanyanyasa sana watu wenye vyeti vyao kama wanaishi Burundi leo yamemkuta watu wanasema tupotezee wakati kuna watu wamepoteza maisha kwa kuwa na vyeti feki halau mnanasema tumuache Bashite na nyodo zote zile HAPANA.
Hii aibu hiii,Mungu ndo anajuaUnapokubali upinzani alafu utaki kukosolewa maana Yake wewe ni dictator koz umekubal kuwalizisha wazungu moyoni mwako hakuko hivyo mpinzani kwa nchi za Africa anapewa jukum LA kupinga tu so kutawal anaonekana mi mkorofi tu MTU wa uchochez.wamejisahau kuwa wao ndy wanamfany mtawaliw kuwapinga kwa mienedo yao,