Bashit mwenyewe mpigaji tangia akiwa uvchichiem....eti mtu anahifanya mzalendo anatembea na gari la mln 300 .....ofisini kwake katumiaa garama za mamilion toka mfukoni kwake.....sjui Ana Kenya magorofa.....sjui Ana apartment viva.....yaani serikali hii inayojifanya kijana matumizi lakini kuna wengine wanaishi na wanatumiaa kwa vitu garamaaa......Ujanja unamwsho wake
Rate race
Yule kiumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Alizungilusha yan [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huyu Bashite awe tu mpole ajipeleke central mwenyeweBashit mwenyewe mpigaji tangia akiwa uvchichiem....eti mtu anahifanya mzalendo anatembea na gari la mln 300 .....ofisini kwake katumiaa garama za mamilion toka mfukoni kwake.....sjui Ana Kenya magorofa.....sjui Ana apartment viva.....yaani serikali hii inayojifanya kijana matumizi lakini kuna wengine wanaishi na wanatumiaa kwa vitu garamaaa......
Eti bashit mzalendo......hao hao anaowakombatiaa ni wachafu......anachofanya ni sawa na kutaka kuwasafishia njiaa wengine
Viatu alivyopewa ni vikubwa mnooo.......kwake
Ova
Hakuna shotcut kwenye lifeUjanja unamwsho wake
Rate race
BashiteUkipanda mahindi usitegemee kuvuna mchele man
Tena mkuu yule kiumbe anajua kweli kuwateka wakubwa yani, sijui hata anawapaga nini. Inasemakana wengine mpaka wanafkia hatua ya kumpenda "0" kuliko hata watoto waoKumbe ndo mana alikua anajipendekeza kwa viongozi wakubwa kwa lengo la kufisha uovu
Mbona Clouds wakikomalia yao huwaambii?Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?