Atimuliwe tu kama wenzakeWakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.
Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.
Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.
Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.
Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.
Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.
Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.
Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.
Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.
Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.
Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Afu hawa mbona kama wametumwa.... The Sympathy trick naona imefanya kazi..
Hawa ndo mashushushu wa jf
CopiedLazima watu wafahamu jela,polisi hakuna mwenyewe.....kama ulikuwa unaeaota wenzako na kuwambia tukutane central na kama wee syo msafi iko Siku na weee utaitwaa tu na ikiwezekana ukawekwa lokup....
Haiwezekani we kiongozi alafu unakuwaa na ukaribu na wafanyabiashara fulani eg gs--
Na wafanya biashara wauza nga--- eg njeki...
Hapo ni sawa na kuwataka kuwalinda watu fulani kwa kuwazima makundi fulani
Ova
Mwenyekiti wa CDM kuna wakati aliacha kujiita Freeman Aikaeli Mbowe kwani mbona unachanganya mambo hivi leo hata Yesu akirudi Bashite ataitika jina lipi si atasahaulika huyuSi ajabu anavyo kavitunza kabatini na mfukoni kachapika ile mbaya. Unakandia mtu aliyeko field kwa vitendo kisa una makaratasi umeyatunza kabatini!?
Muulize elimu ya Mwenyekiti wake uone atakavyotoa mapovu.
Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Unajua Hii Issue ni nyepesi sana, The same method aliyoitumia wakati wa kutaja majina.. Kwanini assiitumie Kuita waandishi wa habari akaonyesha vyeti... kama hakuna shida yoyote ile kwa nini asiite tu waandishi? Nakuhakikishia akifanya hivyo this wont last a week watu watakuwa wameshasahau kwamba kulikuwa na kitu kama hii.
Dah
Km humu jf kuna mtu ana misifa tunaomba aache aisee
asee bado mpaka tuskie yuko magereza kama wananchi wengine walio foji vyeti...sheria ingekua na huruma hata scorpion angekua nje sasahvi kwa kulia tuNaunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.
Umeeleweka sana mkuu ila naomba nikukumbushe kuwa kwa imani ya dhehebu analoamini mkuu Bashite ni kuwa kitabu kinacho waongoza kina sema mshahara wa dhambi ni mauti.Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.