KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
DVD ya FMES = Sera Za CCM Kupitia Chairman Kikwete = (FAIL)?!
es na jk mzee wana uhusiano gani ? ni sawa sawa na kufananisha kunde na dengu ! zinaweza kuwa sawa lakini ni tofauti !
DVD ya FMES = Sera Za CCM Kupitia Chairman Kikwete = (FAIL)?!
....aahuh, vizuri sana, kumbe unafahamu kuwa hawana haja ya kulinganishwa, nilishindwa kukuelewa kwanini uliwalinganisha pale juu kwa mambo ya barua pepe na threads...es na jk mzee wana uhusiano gani ? ni sawa sawa na kufananisha kunde na dengu ! zinaweza kuwa sawa lakini ni tofauti !
....aahuh, vizuri sana, kumbe unafahamu kuwa hawana haja ya kulinganishwa, nilishindwa kukuelewa kwanini uliwalinganisha pale juu kwa mambo ya barua pepe na threads...
Mkuu GT na wengine wote ahsante sana kwa kunifungulia thread kwa ajili ya DVD zangu, nilizoahidi nitazileta nikiwa tayari, bila ya kutaja siku wala tarehe, nilisema DVD ziko tano, niliwasiliana na watu wawili hapa wakaniambia wanaweza kuziweka hapa zikiwa tayari,
I mean ndio kwanza leo nimempa mtu wa kujaribu kuzi-choma ili niwape hawa wakuu wawili waweze kuziweka hapa, otherwise ni kwamba mara nyingi ninapokuwa hapa JF huwa ninakuwa safarini, ni mara chache sana ninakuwa nyumbani kwangu, ninaomba kurekebisha hilo tu kwa hiyo muda ni tatizo sana na nilishasema hilo mapema,
Ungeweza pia ukanitafuta kwenye PM au kwenye namba yangu ya simu nilishakupa mkuu, sasa nashangaa kufikia haya, anyways zitakapokuwa tayari zitawekwa, ila ninashukuru kwako wewe na wote waliochangia hiii topic kwa the concern lakini only when I am ready, na sio vinginevyo au under any pressure, hapana not me, mpaka zitakapokuwa tayari kutoka kwa huyu mchomaji, na wanaoweza kuziweka.
Ahsante wakuu For This uncalled Attention, I love it! and I willl take any question from here on!

nafikiri pia ni vizuri kumuuliza JK kiungwana na sio kumuanzishia mada/thread ! lol mtumieni barua pepe au barua...mhm!
Mwanakijiji,
Lakini ukiahidi si ni lazima utimize? Bora kukaa kimya kuliko kutoa ahadi ambazo huwezi kuzitimiza.
Mkuu FMES, timiza ahadi yako mkuu.
Pengine cha kujiuliza, kwa nini watu wanaaidi? Hivi kwa nini kama mtu una kitu usikiweke muda ukifika bila kutoa ahadi? Mimi napenda ule mtindo wa Invisible. Yeye akiwa na issue hasemi, wewe utaona kitu kimemwagwa tu hapo waa unajua mambo yameiva. Labda tungemuiga, vinginevyo watu wakianza kufuatilia tusilaumiane maana mnaidi kwa hiari yenu kabisa hakuna aliyewashikia mtutu.
GT kuwa muungwana.FMES kesha acknowledge failure sasa wewe ndiyo nini beating a ded horse?