DVD ya FMES =FAIL?

Status
Not open for further replies.
es na jk mzee wana uhusiano gani ? ni sawa sawa na kufananisha kunde na dengu ! zinaweza kuwa sawa lakini ni tofauti !
....aahuh, vizuri sana, kumbe unafahamu kuwa hawana haja ya kulinganishwa, nilishindwa kukuelewa kwanini uliwalinganisha pale juu kwa mambo ya barua pepe na threads...
 
wewe acha visa, niliposema vile nilikuwa na maana kuhusiana na "ahadi" in general na si vingine.. upo hapo mzazi ?
 
Mkuu GT na wengine wote ahsante sana kwa kunifungulia thread kwa ajili ya DVD zangu, nilizoahidi nitazileta nikiwa tayari, bila ya kutaja siku wala tarehe, nilisema DVD ziko tano, niliwasiliana na watu wawili hapa wakaniambia wanaweza kuziweka hapa zikiwa tayari,

I mean ndio kwanza leo nimempa mtu wa kujaribu kuzi-choma ili niwape hawa wakuu wawili waweze kuziweka hapa, otherwise ni kwamba mara nyingi ninapokuwa hapa JF huwa ninakuwa safarini, ni mara chache sana ninakuwa nyumbani kwangu, ninaomba kurekebisha hilo tu kwa hiyo muda ni tatizo sana na nilishasema hilo mapema,

Ungeweza pia ukanitafuta kwenye PM au kwenye namba yangu ya simu nilishakupa mkuu, sasa nashangaa kufikia haya, anyways zitakapokuwa tayari zitawekwa, ila ninashukuru kwako wewe na wote waliochangia hiii topic kwa the concern lakini only when I am ready, na sio vinginevyo au under any pressure, hapana not me, mpaka zitakapokuwa tayari kutoka kwa huyu mchomaji, na wanaoweza kuziweka.

Ahsante wakuu For This uncalled Attention, I love it! and I willl take any question from here on!
 
umefunga mjadala mkuu.mola akubariki wewe na familia yako na JF wote.
 
mpambano huu ungekuwa mtamu ila mzee kaamua kuja moto wa chini, au ndio mwengine unachomea hizo? dvd lol
 
huu ni mpambano wa kitoto.. "alisema ataniletea peremende..ng'aa ng'aa".. Mtu unakitu unataka kumkumbusha mtu mwandikie PM.. kama GT ana namba ya FMES ndio zaidi inanikera.. kwanini usimpigie simu na kumuuliza kabla ya kumfungulia mada? Naomba ma MoD muihamishe na kuitupa kwenye kona ya takataka.... kama una kitu unataka kumkumbusha mtu muulize chemba na usikie jibu lake. HIvi hili ni gumu kweli?
 
Mkuu GT na wengine wote ahsante sana kwa kunifungulia thread kwa ajili ya DVD zangu, nilizoahidi nitazileta nikiwa tayari, bila ya kutaja siku wala tarehe, nilisema DVD ziko tano, niliwasiliana na watu wawili hapa wakaniambia wanaweza kuziweka hapa zikiwa tayari,

I mean ndio kwanza leo nimempa mtu wa kujaribu kuzi-choma ili niwape hawa wakuu wawili waweze kuziweka hapa, otherwise ni kwamba mara nyingi ninapokuwa hapa JF huwa ninakuwa safarini, ni mara chache sana ninakuwa nyumbani kwangu, ninaomba kurekebisha hilo tu kwa hiyo muda ni tatizo sana na nilishasema hilo mapema,

Ungeweza pia ukanitafuta kwenye PM au kwenye namba yangu ya simu nilishakupa mkuu, sasa nashangaa kufikia haya, anyways zitakapokuwa tayari zitawekwa, ila ninashukuru kwako wewe na wote waliochangia hiii topic kwa the concern lakini only when I am ready, na sio vinginevyo au under any pressure, hapana not me, mpaka zitakapokuwa tayari kutoka kwa huyu mchomaji, na wanaoweza kuziweka.

Ahsante wakuu For This uncalled Attention, I love it! and I willl take any question from here on!

shipment_of_fail.jpg
 
Wakuu kuna kitu tunamiss au......Mbona maneno na ushahidi wa mapicha makubwa makubwa. Tatizo ni DVD tu au kuna la zaidi ambalo sisi hatuelewi?
 
nafikiri pia ni vizuri kumuuliza JK kiungwana na sio kumuanzishia mada/thread ! lol mtumieni barua pepe au barua...mhm!

Akitumiwa barua yupo busy muda wa kusoma hakuna,akitumiwa barua pepe hali kadhalika hana mda wa kukaa kwenye computer.
Nikuandamana tu mpaka kwenye geti lake pale Ikulu.
 
is this the same dvd ya chenge kufungwa pingu london??................... lol
 
Mwanakijiji,

Lakini ukiahidi si ni lazima utimize? Bora kukaa kimya kuliko kutoa ahadi ambazo huwezi kuzitimiza.

Mkuu FMES, timiza ahadi yako mkuu.

Pengine cha kujiuliza, kwa nini watu wanaaidi? Hivi kwa nini kama mtu una kitu usikiweke muda ukifika bila kutoa ahadi? Mimi napenda ule mtindo wa Invisible. Yeye akiwa na issue hasemi, wewe utaona kitu kimemwagwa tu hapo waa unajua mambo yameiva. Labda tungemuiga, vinginevyo watu wakianza kufuatilia tusilaumiane maana mnaidi kwa hiari yenu kabisa hakuna aliyewashikia mtutu.
 
Okay nimewasikia wakuu loud and clear, ninaomba kuomba radhi kwa kusema mapema na ninaomba kuwaarifu kuwa sitaiweka tena hivyo DVD kama nilivyoahidi na in the future nitafanya kama Mkuu Kitila ulivyoshauri kutosema mapema au kama nikiwa na anything kuweka badala ya kusema, nia na madhumuni yangu ilikuwa wabongo wenzangu waweze kuona ishu nzito bungeni na kwenye kikao kimaoja cha siri cha wakulu that is all na sio anything else! Na ili kuiweka hapa sasa hivi ilifikia mahali pa kumlazimisha my sister asimame London ili kumpa mtu aliyekuwa tayari kuiweka hapa akiwa safarini huko majuu, pia sasa nimuombe huyu radhi huyu mamber wa JF London aliyekuwa tayari kuiweka hapa, nitakutwangia mkuu later!

Wakuu Mtanzania, Kitila Mkumbo, na GT naomba nichukue nafasi hii kuwaomba radhi kwa usumbufu wowote uliotokana na kusema kwangu mapema, kama ninavyosema siku zote nikiwa na makosa sina noma kukubali na ni lazima niwe mkweli kuwa hili ni kosa langu 100%, na wote mnaonilaumu mko 100% right, ila ninaahidi kuwa haitakuja kutokea tena, lakini sitaiweka tena hapa kama nilivyoahidi.

Nlipoamua kusema nilitegema kuwa kuna mtu ambaye yupo karibu yangu anayeweza kuiweka hapa, lakini tatizo wengi walio karibu yangu wananiambia niwapatie lakini wanaogopa kusema niwapatiaje kwa sababu hakuna anyetaka nijue ni nani, wale wote walio mbali nami ambao wako radhi kuiweka wako mbali mno, hilo pia limechangia sana hili tatizo, lakini ninaomba kusema kuwa sikuwa na nia yoyote mbaya kwa kusema mapema, na again samahani sana kwa usumbufu, ni kutokana kutokuwa na muda wa kutosha, mara ya mwisho niliongea na watu wawili member wa hapa ambao wote wako mbalia sana na nilipo, lakini ninarudia kuwa nimewasikia na hili halitakuja kutokea tena

Kwa anayeihitaji anitumie PM na kila kitu, ili nimtumie perosnally, I will do that au tunaweza kuwasliana kwa simu either niwekee au ninaweza kukuwekea siogopi mtu mimi kwa sababu sina hatia wala makosa, ila kwa anyeogopa please tusisumbuane na PM, unless unataka kweli! na uko tayari kuwa muwazi kama unafikiri mimi spy usipoteze muda bure wako na wangu!

Ahsante wakuu Ha ve a nice day! na tuendelee kukata ishus, maana taifa liko njia panda!
 
Hapa bana hakuna cha kuflip flop, ishu ni moja ! kama mtu aliahidi kuleta kitu hapa kwenye baraza ni vizuri akatimiza hiyo ahadi hapa kwenye baraza ! hakulazimishwa mtu kuleta kitu, na kama mtu unaona huwezi kutimiza ahadi BASI USITOE AHADI... hayo mambo ya kusema kutuma kwenye pm ni kitu cha kushindwa !!

Mnabebana hadi lini nyinyi watu ???? mnateteana kijinga, kama mtu kashindwa kashindwa, akubali na tumove on na mengine !!

ES kasema hatoweka hiyo dvd kama alivyoahidi, basi hapo kashindwa kutekeleza ahadi yake, maadamu kasema hivyo, basi yaishe wazee tuendeleeni na mengine !! sh*t !
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom