...ngoja wenye VIBAMIA waje wakujibu....
Niwajibu Nini Wazazi Wangu, Maana Wanashangaa Kwanini Sitoi Jibu,
NISAIDIE
Are you for real?
1.3cm x 12 = 15.6 cm...
Ina maana huyu mtu ndani ya mwaka mzima ongezeko la kifanyio chake ni 15.6cm ( 6 inches).
Mwanaume wa kawaida akisimamisha, uume wake hukadiriwa kufikia 6 inches.
Sasa am tryin to imagine, by the end of the year huyo jamaa when full erect atakuwa na 6inch + 6inch = (30cm) huu ni urefu wa rula zile za HECO...OMG!! Muda si mrefu Tanzania tutatoa competitor wa Mandingo...
![]()
Nina Mchumba Wangu, nina uhusiano naye takribani mwaka sasa.
Nampenda, na naamini ananipenda(si usemei moyo), kwa kuwa tunaishi kwa maelewano na upendo wa hali y juu.
Mwezi Jana tu, alileta barua ya kishika uchumba hapa kwetu, na imepokelewa vizuri, lakini bado haijajibiwa.
Na Mtu anaye kwamisha kujibiwa kwa barua hiyo ni mimi mwenyewe.
Natamani nitoe jibu la NDIYO, lakini napata hofu juu ya hatma ya ndoa yangu.
Kiukweli, Dushelele la bwana huyo, huwa nalihisi linaongezeka ukubwa kila kukicha, mwanzoni wakati tunaanza nilikuwa naona tuna match kwenye papuchi zetu.
Lakini Kadri Siku Zinavyo songo mbele, naona dushelele lake linazidi kukuwa, kiasi ambacho naanza kusikia maumivu wakati wa mechi.
Nimejaribu Kumuuliza, labda kama ametumia dawa, lakini amekataa, na kudai hata yeye mwenyewe hajui kwanini hali iko hivyo.
Sasa Niko Njia Panda, Najiuliza Nikikubali Kuolewa Nae, Huko Kwenye Ndoa Mambo Yatakuwaje?
Na kama nikikataa, je nitawapa sababu gani wazaz wangu???
Ndoa Naitaka, Lakini Mmmhh...?!!
Niwajibu Nini Wazazi Wangu, Maana Wanashangaa Kwanini Sitoi Jibu,
NISAIDIE
wewe hujaenda unyagoni kwani huko unafundwa mambo mengi
Pole aise,kama utakosa tiba ya kumaliza tatizo la ukuaji huo ni bora ukaachana nae,Ukijifanya Kukomaa atakuharibu Kizazi bure
Wanaume mnatakiwa kutambua kuwa sio wanawake wote wanamind dushelele kubwa. Huyo inawezekana alitumia dawa amabayo side effects zake ndio hiyo, kuongezeka ukubwa kila siku. Kama alitumia dawa jipe muda, mpaka hapo itakapo expire uangalie mambo yataendaje. Pia mshirikishe hofu uliyo nayo inawezekana akawa na soln ya tatizo hilo.
Nenda kapime UTI na magonjwa ya zinaa...mke wangu alikutana na hali hiyo hadi kufikia kususia mechi ila baada ya kupima alijikuta na UTI na kupata tiba ya miezi mitatu then aliporudi alikuwa anacheza mechi hadi zikaniogopesha. Ila pia pima maandalizi ya sasa na yale ya awali ili ujue ni kipi kimebadilika. Dushelele haliongezeki baada ya umri wa kukua yaani miaka 18 ila kwa papuchi mnajua nyie zaidi.
Usifikiri kumwacha huyo mtu kwani hatua uliyofikia ni ya baraka...Mwombe mungu akupe suluhisho sahihi. Note; HAIRUHUSIWI KUFANYA MAPENZI KABLA YA NDOA.....umenielewaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????
Kweli upele humpata asie na kucha.
Wengine twayalilia angalau tupate makubwa, wengine huyakataa.
Kiukweli, ukubwa wa dushelele ni tatizo kwa mwanamke. Ikiwa kubwa sana inaumiza. Unaweza kuolewa na kuwa mvulivu wa maumivu na ukita kuenjoy, unamwambia asitumie dushelele