NDIO MAANA MKAAMBIWA MSIGONGWE AMA KUGONGA KABLA YA NDOA!! JE UMEONA MATOKEO? Pole sana wewe kubali tu,mpe semina akuandae kwanza sana tu kabala hajakudandia!
Hmmm. . . Labda yakwako ndio inakuwa ndogo kadri siku ziendavyo. . .Hehehehe
Mshirikishe mama yako kwanza kama mpo karibu sana
...ngoja wenye VIBAMIA waje wakujibu....
Hmmm. . . Labda yakwako ndio inakuwa ndogo kadri siku ziendavyo. . .Hehehehe
hata awe karibu vp na mama, lazima baadae mama amwambie baba! Unadhani baba atakubali mwanawe mpendwa awe anakandamizwa dushelele la Mandingo? Tena akishao utakuta jamaa anaanza kutoa dozi kubwa kubwa na baadae anaanza kuomba tigo! Balaaa!
Hapana... Nakumbuka Mwezi Wa june, Niliipima Size Ya Dushele Lake, Nikarudia tena mwezi july, na nimeipima tena mwezi huu august, huwezi AMINI kila mwezi inaongezeka urefu kati ya 1.3cm na 2cm, upana na unakuwa kwa taratibu kama 0.3 kwa mwezi..
Hii haichekeshi lakini imenibidi nicheke, anyway pole sana dada!
Kwa mtazamo wangu nafikiri ni busara kabisa kuweka tatizo hili wazi kabla hamjaingia kwenye commitment kubwa kama ndoa. Sasa kwa kuwa umemuuliza na yeye amekiri kwamba ni kweli mambo hayako sawa na yeye pia hajui tatizo, ni bora mkawaona wataalam wa afya ili waweze kuwapa majibu ya kitaalamu yanayoeleweka ambayo ndiyo yatakayowapa mustakabali wa kuendelea kwa ndoa yenu ama la.
Naamini mapenzi hasa tendo la ndoa ni furaha sasa linapogeuka kuwa karaha sidhani kama ni kitu cha kukaa nacho kimya. Kabla ya wazazi hawajakuuliza sababu hasa ya wewe ku hold back, mshauri mwenza wako mkaonane na madaktari ili kuona kama kuna ufumbuzi wa tatizo lake, isije kuwa unajifanya unavumilia mara kitu kikatokea mdomoni siku moja bure.
Ni hayo tu dada Grace Komba, pole though
Hmmm. . . Labda yakwako ndio inakuwa ndogo kadri siku ziendavyo. . .Hehehehe
hahaaaaaaaaa! hilo nalo nenooHmmm. . . Labda yakwako ndio inakuwa ndogo kadri siku ziendavyo. . .Hehehehe
Mesea masiwa....Ngumu kumeza.
Mmmhhhh kama unaona huwez mshedede bas kataa......wapo watakaohimili.
Haiwezekani kila siku unaongezeka sio kucha hizoo,inawezekana kuna kitu katumia!!!!
Mmmhhhh kama unaona huwez mshedede bas kataa......wapo watakaohimili.
Haiwezekani kila siku unaongezeka sio kucha hizoo,inawezekana kuna kitu katumia!!!!