Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

Nina Mchumba Wangu, nina uhusiano naye takribani mwaka sasa.

Nampenda, na naamini ananipenda(si usemei moyo), kwa kuwa tunaishi kwa maelewano na upendo wa hali y juu.

Mwezi Jana tu, alileta barua ya kishika uchumba hapa kwetu, na imepokelewa vizuri, lakini bado haijajibiwa.

Na Mtu anaye kwamisha kujibiwa kwa barua hiyo ni mimi mwenyewe.
Natamani nitoe jibu la NDIYO, lakini napata hofu juu ya hatma ya ndoa yangu.

Kiukweli, Dushelele la bwana huyo, huwa nalihisi linaongezeka ukubwa kila kukicha, mwanzoni wakati tunaanza nilikuwa naona tuna match kwenye papuchi zetu.

Lakini Kadri Siku Zinavyo songo mbele, naona dushelele lake linazidi kukuwa, kiasi ambacho naanza kusikia maumivu wakati wa mechi.

Nimejaribu Kumuuliza, labda kama ametumia dawa, lakini amekataa, na kudai hata yeye mwenyewe hajui kwanini hali iko hivyo.

Sasa Niko Njia Panda, Najiuliza Nikikubali Kuolewa Nae, Huko Kwenye Ndoa Mambo Yatakuwaje?

Na kama nikikataa, je nitawapa sababu gani wazaz wangu???

Ndoa Naitaka, Lakini Mmmhh...?!!

This issue is very serious.
 
Haya mkatae basi mie nilete barua yangu ya posa MAANA DUSHELELE LANGU LINAPUNGUA KADRI SIKU ZINAVYO YOYOMA .......!:love:

mdau utadharauliwa buuure,,,,binadam hatuna dogo,hakawii kusema,,,kidushelele chako hakimfikishi pwani ya kisiwa songosongo
 
Haya mkatae basi mie nilete barua yangu ya posa MAANA DUSHELELE LANGU LINAPUNGUA KADRI SIKU ZINAVYO YOYOMA .......!:love:
Mpaka pale atakaporudi tena na kutuambia nataka nimuache mume wangu ana kibamia.
 
Haya mkatae basi mie nilete barua yangu ya posa MAANA DUSHELELE LANGU LINAPUNGUA KADRI SIKU ZINAVYO YOYOMA .......!:love:

mdau utadharauliwa buuure,,,,binadam hatuna dogo,hakawii kusema,,,kidushelele chako hakimfikishi pwani ya kisiwa songosongo
 
Dushelele haliwezikuongezeka kiasi hicho labda angekuwa ndo anaanza mapenzi km ndo unaanza huwa linaweza likanenepa au kurefuka lkn likishazoea linabaki constant! Ni wazi kabisa hilo ongezeko atakuwa katumia dawa!

Nina imani hiyo kabisa... ila kwa jinsi anavyo lalamika napata tabu kuamini kuwa kweli katumia dawa..
 
yuP!
hao ndo watu sahihi wa kuonges nao hili!manake hata kabla ya kwenda kutoa jibu kwa baba
shangazi anatakiwa kumwita mchumba na kumuuliza 'vip maji yaendea kusi au kaskazi"
so mwambia shangazi atajua namna ya kuliweka hili sawa!
saferi njema uniletee masuku na likolo la nyungu au pitiku!

Mtani hebu mpe somo huyu ndugu yetu, hivi hajui kwa nini sisi Wanyaki huwa tunakuja kwenu kutafuta wake...kwa kuwa ninyi ni mabigwa wa huu mchezo...aongee na mashangazi wa du ze nidful atiii

Mtani tafwazali muombe na mimi aniletee lidelele maana nina mpango wa kula nguna mwezi mzima dushelele yangu iongezeke...
 
kwa ushauri fanya kila siku na ya kwako iwe kubwa baadaye utaona kitu cha kawaida ..
alafu kuhusu posa hadi karne hii kuna watu wanaandikiwa barua!!!!!
 
Weka picha...hahahahaa!
Kama unampenda kweli hutoweza kumuacha hata kama ingekuwa kama goti!
With time utaizoea (...Nanii yako huji adjust...) na mtasonga kama kawaida. Je ukimuacha ukaenda kutana na kibamia..(..bby mbona huingii??...kumbe mwenzio anamalizia..) nako utakimbia?

Mapendo ya dhati huvumilia! Na kwa hili nakuhakikishia asilimia mia baada ya muda utazoea! Pia awe anakuandaa vizuri mpaka udenda utoke...u knw wht i mean!
 
Kwani si nasikia hiyo kitu huwa inajivuta kama mpira kwa hiyo hata iwe kubwa namna gani inaingia tu!!
 
Nina imani hiyo kabisa... ila kwa jinsi anavyo lalamika napata tabu kuamini kuwa kweli katumia dawa..

Kwani wakati mnaanza yako ilikuwa kubwa kwake,maybe alikuwa anazama na kutamani aongezewe mamii Grace Komba?!
 
yuP!
hao ndo watu sahihi wa kuonges nao hili!manake hata kabla ya kwenda kutoa jibu kwa baba
shangazi anatakiwa kumwita mchumba na kumuuliza 'vip maji yaendea kusi au kaskazi"
so mwambia shangazi atajua namna ya kuliweka hili sawa!
saferi njema uniletee masuku na likolo la nyungu au pitiku!

Mtani hebu mpe somo huyu ndugu yetu, hivi hajui kwa nini sisi Wanyaki huwa tunakuja kwenu kutafuta wake...kwa kuwa ninyi ni mabigwa wa huu mchezo...aongee na mashangazi wa du ze nidful atiii

Mtani tafwazali muombe na mimi aniletee lidelele maana nina mpango wa kula nguna mwezi mzima dushelele yangu iongezeke...
 
Hapana... Nakumbuka Mwezi Wa june, Niliipima Size Ya Dushele Lake, Nikarudia tena mwezi july, na nimeipima tena mwezi huu august, huwezi AMINI kila mwezi inaongezeka urefu kati ya 1.3cm na 2cm, upana na unakuwa kwa taratibu kama 0.3 kwa mwezi..

Are you for real?

1.3cm x 12 = 15.6 cm...

Ina maana huyu mtu ndani ya mwaka mzima ongezeko la kifanyio chake ni 15.6cm ( 6 inches).

Mwanaume wa kawaida akisimamisha, uume wake hukadiriwa kufikia 6 inches.

Sasa am tryin to imagine, by the end of the year huyo jamaa when full erect atakuwa na 6inch + 6inch = (30cm) huu ni urefu wa rula zile za HECO...OMG!! Muda si mrefu Tanzania tutatoa competitor wa Mandingo...

viagra+cartoon.jpg
 
Tatizo ni urefu au unene? Iwe iwavyo we mkubalie mambo mengine ni siri ya mtungi. Wenzako wanaoana mambo yote safi baada ya muda mfupi jogoo hawiki tena, sasa huoni kwamba huna cha kuhofia?
 
Nalihisi Hilo, maana hawa wanaume wamekuwa HAWAJIAMINI kimaumbile ya du.du zao, usikute kashapaka/ kunywa mchina... ila cha ajabu hata yeye, yuko frustrated na hali hiyo
Lazima aonyeshe yuko frustrated ili umhurumie unafikiri atakwambia kuwa ni effect ya mchina?
Baadae atakuwa anavaa misuli tu!
 
Are you for real?

1.3cm x 12 = 15.6 cm...

Ina maana huyu mtu ndani ya mwaka mzima ongezeko la kifanyio chake ni 15.6cm ( 6 inches).

Mwanaume wa kawaida akisimamisha, uume wake hukadiriwa kufikia 6 inches.

Sasa am tryin to imagine, by the end of the year huyo jamaa when full erect atakuwa na 6inch + 6inch = (30cm) huu ni urefu wa rula zile za HECO...OMG!! Muda si mrefu Tanzania tutatoa competitor wa Mandingo...

viagra+cartoon.jpg

Haki ya Mungu nimecheka sana hii ndiyo JF kama kuna nyingine ujue hiyo ni copy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom