ua jekundu
New Member
- May 13, 2013
- 3
- 1
Kiukweli, ukubwa wa dushelele ni tatizo kwa mwanamke. Ikiwa kubwa sana inaumiza. Unaweza kuolewa na kuwa mvulivu wa maumivu na ukita kuenjoy, unamwambia asitumie dushelele
Lazima aonyeshe yuko frustrated ili umhurumie unafikiri atakwambia kuwa ni effect ya mchina?
Baadae atakuwa anavaa misuli tu!
Mke ninae labda useme kistaarabu nimetumia neno pasipohusika.... Hapo umenipata?????????????huna mke hapo ndugu
Basi olewa nae, mambo mengine uvumilivu unatakiwa, alafu nimekukumbuka kuna pete.
umeambiwa kitu kinaongezeka urefu na unene unafikiri anaelekea wapi? Lazima msuli umhusu.Hahahah...msuli wavaliwa na wanaume wenye mizigo tu 'busha'...
Truth must out.daah unazidi kumchanganya!
Mke ninae labda useme kistaarabu nimetumia neno pasipohusika.... Hapo umenipata?????????????
Niwajibu Nini Wazazi Wangu, Maana Wanashangaa Kwanini Sitoi Jibu,
NISAIDIE
Mkeo anacheza mechi za mchangani unafrahia kweli!
Nina Mchumba Wangu, nina uhusiano naye takribani mwaka sasa.
Nampenda, na naamini ananipenda(si usemei moyo), kwa kuwa tunaishi kwa maelewano na upendo wa hali y juu.
Mwezi Jana tu, alileta barua ya kishika uchumba hapa kwetu, na imepokelewa vizuri, lakini bado haijajibiwa.
Na Mtu anaye kwamisha kujibiwa kwa barua hiyo ni mimi mwenyewe.
Natamani nitoe jibu la NDIYO, lakini napata hofu juu ya hatma ya ndoa yangu.
Kiukweli, Dushelele la bwana huyo, huwa nalihisi linaongezeka ukubwa kila kukicha, mwanzoni wakati tunaanza nilikuwa naona tuna match kwenye papuchi zetu.
Lakini Kadri Siku Zinavyo songo mbele, naona dushelele lake linazidi kukuwa, kiasi ambacho naanza kusikia maumivu wakati wa mechi.
Nimejaribu Kumuuliza, labda kama ametumia dawa, lakini amekataa, na kudai hata yeye mwenyewe hajui kwanini hali iko hivyo.
Sasa Niko Njia Panda, Najiuliza Nikikubali Kuolewa Nae, Huko Kwenye Ndoa Mambo Yatakuwaje?
Na kama nikikataa, je nitawapa sababu gani wazaz wangu???
Ndoa Naitaka, Lakini Mmmhh...?!!