kochakindo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 765
- 512
Ikiwa sio kweli mtamlipa fidia na kumsafisha kuwa sio gaidi?Samia hajabadilika,Kaacha utawala wa sheria ufanye kaZi yake... Kaacha mahakama na polisi na usalama kufanya kaZi
Kesi ikiisha ataheshimu maamuzi, Ndicho tulichokua tunataka... Sasa akiingilia Leo kesho la polisi tutakua tunamsaidia?
Inakua vipi Leo chadema mnataka Samia aingilie mahakama? Tulieni, kama ya mdude alishinda kesi bila, akina mbowe wakarudishiwa pesa zao, simply because mama alitaka haki itendeke, iweje Leo mnataka aingilie watu walewale waliowapa haki just a few weeks ago? Mimi nadhani tusubiri Tu kesi hii kama zilivyo nyingine na maamuzi yatatoka... Hata wale uamsho wanashukuru mama kuheshimu mahakama...
Pia mbowe asome alama za nyakati - sio kila publicity inamjenga, this one imemchonganishaa zaidi na wananchi wa kawaida... The drama he created was unnecessary