Dunia itasemaje huyu jamaa akishika madaraka nchini Haiti

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,350
11,221
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent

Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu anashutumiwa kufanya matendo ya kigaidi maeneo mengine ya Carribean mbali na Haiti.

1714403014161.png
 
"Let's agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Ulitaka umuone jamaa ndani ya suti km mzungu ndio umuone anafaa kuwa kiongozi?
Hili ni tatizo kubwa kwetu sisi weusi kujadili mtu kutokana na mavazi au muonekano.
Hawa wakwetu huku wanaovaa suti wananini cha ziada zaidi ya rushwa na kuuza uhuru wetu kwa wenye pesa?
 
Huyo jamaa kwani amevaa mavazi ya kuwakilisha nani.Ni waafrika au mavazi ya weusi.
Hayo macheni ya dhahabu ni ya akina nani
 
Back
Top Bottom