Dunia itasemaje huyu jamaa akishika madaraka nchini Haiti

Mkuu picha ni ya zamani ila ili watoto wasome, hizo ndio biashara zao
Wana umasikini sana ila pia wanaamini sana ushirikina
Ukiona soko lao la mboga na matunda
Vendors wengi wanauza matunguli na sanamu kwa ajili ya juju
Ila kwa sasa ndio kabisa nchi haikaliki
Jirani zetu kwa tamaa ya hela walitaka kupeleka wanajeshi ila walipoona mapanga na bunduki zimeshikwa na machokoraa wakasitisha tamaa zao
Huwa sielewi Ufaransa huwa inawafanya nini? Makoloni yake yote huwa yana visa vya vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Umasikini wa kutisha.
 
Yaani kwa sakata la hii nchi unaweza jiuliza maswali na ukakosa jibu. Nani anawapa hawa jamaa silaha? na zinafikaje hapo? hiyo nchi haikuwa na jeshi? hao polisi wameshindwa kutumia maarifa na nguvu zao zote kuyamaliza hayo magenge?
Wakubwa hawaichukulii kwa uzito nchi hiyo na inazidi kudidimia kila uchao bila msaada wowote na sauti za karipio kutoka ktk mamamlaka za ulimwenguni. Ni swala la muda tu naunga mkono hoja kuzembea kutibu kwa sasa baadae baada ya kujisimika itakuwa ngumu kuwatoa hapo.
 
Ni kweli mzee
 
Wafukuzwe Afrika na popote waliko. Nikitizama DRC,Rwanda,Burundi, Huko central afrika, yani kila koloni lao linashida.
Wanaofuatia baada ya wafaransa ni Ureno.Katika kinyang'anyiro cha Afrika waliambulia kitu kiduchu lakini walitawala kwa ukatili sana.
 
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent

Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu anashutumiwa kufanya matendo ya kigaidi maeneo mengine ya Carribean mbali na Haiti.

Haiti is a failed state. Jamaa kosa alilofanya ni kwenda kuomba polisi wakenya waletwe haiti kupambana namagenge basi hata kurudi kwake ikawa haiwezekani.
 
Haiti nadhani us hana maslahi nayo mbona hatumi jeshi mpaka wanaomba polisi kenya!
Anayo maslahi nayo.
Na ili kupata maslahi yake Haiti haitakiwi iwe na amani inatakiwa iwe na machafuko.
Hivi hujui kama silaha watumiazo hao waasi ikiwemo kina BBQ ni US made!?
 
Matumizi mabaya ya neno GAIDI, UGAIDI. Hao ni wahuni wa mitaani; ugaidi bila al-deen haupo!
Ugaidi ni kusambaza vurugu ama hofu kwa jamii kwa lengo binafsi kwa kutumia mgongo wa siasa ama dini.
UTAKUA HUJUI MAANA YA UGAIDI.
Huyo katumia mgongo wa siasa kwaajili ya manufaa yake binafsi.
Umeelewa mdogo wetu?
 
Huu ni uongo sasa, Education gani na ya nini kwenye nchi yenye vita na kuongozwa na magenge ya kihalifu? Unasomaje, mwalimu ana roho gani, na hao wanafunzi wanatoka wapi?
Wanasoma mkuu.
Haiti kila eneo linamilikiwa na kundi lake ama genge lake,yani hauruhusiwi ku cross border vivyo hivyo shule na mengineyo.
 
Yaani kwa sakata la hii nchi unaweza jiuliza maswali na ukakosa jibu. Nani anawapa hawa jamaa silaha? na zinafikaje hapo? hiyo nchi haikuwa na jeshi? hao polisi wameshindwa kutumia maarifa na nguvu zao zote kuyamaliza hayo magenge?
Wakubwa hawaichukulii kwa uzito nchi hiyo na inazidi kudidimia kila uchao bila msaada wowote na sauti za karipio kutoka ktk mamamlaka za ulimwenguni. Ni swala la muda tu naunga mkono hoja kuzembea kutibu kwa sasa baadae baada ya kujisimika itakuwa ngumu kuwatoa hapo.
Askari na jeshi lenyewe wanamgeuka raisi.
Hivi hujui rais wa nyuma kabla ya huyu aliyekimbia nchi aliuawa chumbani kwake na mlinzi wake binafsi!?
Yani Haiti kuna genge la wenye pesa wanaamuru nchi iendaje,rais ukiingia madarakani ukitaka kubadili mifumo na sera za nchi ni sawa unakata ugali wa wale wakuu.
Na hao wakuu wako huko California mzee,mwishowe wataku assassinate na kuunda na kufadhili makundi kuudhohofisha utawala wako.
Hiyo nchi anahitajika mkuda mmoja ambaye kama itatoka sapoti kali apindue meza.
Yani HOUTHI YEMENI au IRAN ndio wa kuwapeleka huku.
 
Hata mimi k
Kaka sometimes uwa nataka kukubaliana na wale wabaguzi wa rangi wanaosema waafrika sio binadamu kamili
Hata mimi kuna muda nataka kusadikisha hiyo kauli.
Maana hata black americans ukiwatizama ndio wanaongoza kimatukio na wako barbaric sana.
Gun violence wao,madawa wao,unyang'anyi wao.
Kuna muda hata ukiona mtu kauawa unasema aagh auawe tu.
Watu weusi tuko na shida mahali fulani.
 
Askari na jeshi lenyewe wanamgeuka raisi.
Hivi hujui rais wa nyuma kabla ya huyu aliyekimbia nchi aliuawa chumbani kwake na mlinzi wake binafsi!?
Yani Haiti kuna genge la wenye pesa wanaamuru nchi iendaje,rais ukiingia madarakani ukitaka kubadili mifumo na sera za nchi ni sawa unakata ugali wa wale wakuu.
Na hao wakuu wako huko California mzee,mwishowe wataku assassinate na kuunda na kufadhili makundi kuudhohofisha utawala wako.
Hiyo nchi anahitajika mkuda mmoja ambaye kama itatoka sapoti kali apindue meza.
Yani HOUTHI YEMENI au IRAN ndio wa kuwapeleka huku.
Ushauri wako ni mzuri baada ya kwamba haiwezekani hicho kusiwa kuhama na kujisogeza karibu wenzao wengine kama cuba na venezuela.Ili iwe mbali sana na Marekani.
 
Ushauri wako ni mzuri baada ya kwamba haiwezekani hicho kusiwa kuhama na kujisogeza karibu wenzao wengine kama cuba na venezuela.Ili iwe mbali sana na Marekani.
Hii nchi inahitajika sapoti ya taifa lenye nguvu na atokee kiongozi kichaa kichaa kidogo.
Laa sivyo haitasimama ng'oo.
Matatizo ya Haiti yanataka kufanana na Syria.
Syria imemegeka megeka sana kila sehemu ina kiongozi na kundi lake.
Na Haiti vivyo hivyo.
Ila Haiti kama kukatokea mshirika na akaungana na rais mwenye uthubutu yale magenge yanatulizwa chap kwa haraka.
 
Back
Top Bottom