Pale dunia inapofumbwa kwa yale yanotokea nchini Sudan

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
14,939
20,400
Mgogoro na vita baina ya Jeshi la Sudan na wanamgambo wa RSF umeingia siku ya 10 huku kukiwepo na amri ya kusimamishwa mapigano kwa masaa 72.

Amri ya kusimamisha mapigano kuruhusu uokozi wa raia wa kigeni ilianza kutokea siku ya Ijumaa iliyopita ambapo watu waliruhuswa kusheherekea siku kuu ya Iddi. Lakini baadae Jumapili mapigano yakaendelea tena. Juzi kati jeshi la wanamgambo hao wa RSF wakakubali maombi ya mataifa ya kigeni kufanya uokozi wa raia wake.

Mpaka sasa nchi za Misri, Saudi Arabia, Iran, Syria, Ukraine, Hispania, Italia, Ujerumani, Uingereza, Ufaransa, Marekani na zingine, zimetuma ndege za kijeshi na wanajeshi maalum kufanya shughuli za uokoaji wa raia wake. Djibouti ndo pamekuwa kituo cha kufikia wageni mbalimbali kabla kusafirishwa kwenda nchi zingine.

Watu wapatao 27,000 raia wa Sudan tayari wamekimbilia nchi jirani za Mali, Chad na Misri kwa njia ya barabara ambapo magari na mabasi yamekuwa yakibeba watu kupeleka katika nchi hizo na kuwa wakimbizi. Shirika la UNHCR ambalo lina kambi nchini Chad limekuwa likiendelea kupokea wakimbizi hao ambao idadi yao huenda ikaongezeka na kuzidi 100,000.

Uingereza ambayo imekuwa nyuma ya juhudi za uokozi wa raia wake, leo imenza rasmi zoezi hilo kwa kuwaelekeza raia wake kwenda katika kituo cha kijeshi cha Weid Seidna kilichopo kakazini mwa mji mkuu wa Khartoum. Uingereza imetuma kikosi cha jeshi lake la Raf kutokea kwenye kambi yake ya kijeshi iliyopo nchini Cyprus iitwayo Akrotiri.

Lakini serikali ya Uingereza imesisitiza kuwa ni raia wenye kubeba pasi za kusafiria za nchi hiyo na familia zao tu ndo watoruhusiwa kupanda ndege hizo kuokolewa na si raia wengine ambao ni wakazi wa namna yoyote ile nchini Uingereza kwa mujibu wa serikali ya Uingereza raia wapatao 1,000 tayari walikuwa wamewasiliana na wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo.

Ujerumani imetuma ndege sita za uokozi na kuokoa raia wapatao 500, Italia raia 400, Ukraine raia 138, Marekani zaidi ya raia 3000, India 3000, na raia wengine wametumia bandari ya Sudan au Port Sudani kuvuka kwa meli kwenda nchi za Yemen na Saudi Arabia.

Lakini mapigano hayo yakiwa yaendelea khasa katikati ya Khartoum, tayari kuna taarifa za kutekwa kwa maabara ya taifa ambayo imehifadhi sampuli na dawa za chanjo za magonjwa mbalimbali kama malaria na kipindupindu. Pia kuna taarifa za kuwepo kwa watoto wadogo wabebao silaha aina za AK 47 (watoto wa vita ) au Child Soldiers ambao wamekuwa wakiranda mitaani kutafuta chakula na kuanza kupora katika maduka, majengo na majumbaya watu khasa wale raia wa kigeni wanokimbia.

Watoto hawa ambao wana umri kati ya miaka 13 na 14 ni watoto hatari sana ambao wanapigana upande wa vikosi vya RSF. Kwa kawaida jeshi huwa na komandi moja ambayo hutoa amri wakti vita iikiendelea na hivyo kuwepo nidhamu baina ya wanajeshi. Kwa upande wa wapiganaji wa RSF hali ni tofauti kwani kila mpiganaji ana maamuzi yake na anachokikuta mbele yake huwa na halali kwake na hali hiyo ndo ilopelekea nchi nyingi kutuma vikosi vya jeshi kusaidia uokozi maana tayari kuna taarifa ya kushambuliwa kwa vikosi vy uokoaji.

Lakini yote haya yameanzaje na nini ni chanzo na pengine mwisho wake utakuwaje?

Mazingira khasa ya kuibuka kwa mapagano yaelezwa tofauti na vyombo vingi vya habari vikisema kuwa ni mvutano baina ya majenerali wawili Abdel Fattah-al Burhan na Dagalo au kama alijulikanavyo kama Hemedti. Taarifa zingine zadai kuwa majenerali Al Burhan na Dagalo ni majasusi wa nchi za magharibi na Russia. Zipo taarifa kadha wa kadha kuhusu majenerali hawa na ziara zao nchini Marekani na kule Kremlin.

Jenerali Al Burhan amekuwa akifanya ziara nyingi jijini Washington na ipo ziara ambayo alikutana na waziri wa nchi wa Marekani bwana Pompei mwaka 2020 na waziri wa ujasusi wa Israeli Eli Cohen mwaka 2022.

Lakini kinotokea sasa nchini humo ni kugombania madaraka au "power struggle" ambapo kila upande unashutumu mwenzie kutaka kupindua. Kwa muda mrefu tangia wanamgambo wa RSF ambao kiini chake ni wagamgambo wa Janjaweed washirikiane na jeshi kuongoza Sudan, bado uhusiano baina ya majenerali Burhan na Dagalo umekuwa ni wa kutiliana mashaka.

Jenerali Dagalo atokea Darfur ambayo nayo imekubwa na migogoro na vita kwa miaka 15. Sudan ya Kusini ilipata uhuru wake mwaka 2011 baada ya mapigano ya muda mrefu kati ya wapiganaji wa SPLA/M na majeshi ya serikali ya Khartoum. Sudan ilitawaliwa na Uingereza na katika utawala wake Uingereza iliigawa Sudan katika maeneo mawili ya Kaskazini kwenye waarabu ambako walijenga mashule, mahospitali na miundombinu mingine kama barabara , madaraja na huduma zingine za msingi kama makanisa na misikiti.

Lakini wakoloni hao wa Uingereza walisahau kabisa Sudan ya Kusini ambayo ina waafrika weusi na kuiacha kama ilivyo huku mji yake mkubwa ya Juba ukiwa ndani ya vumbi la jangwa. Hali hiyo ilifanya Sudan Kusini kuendesha kampeni ya vita na serikali ya Khartoum ambayo iliendelea kuwaadhibu wasudani weusi na baadae kuwapelekea kundi la Janjaweed ili kumaliza tatizo la wahamiaji waloitwa haramu ambao walikuwa wakitafuta maisha bira kutoka kaskazini.

Tangu ipate uhuru mwaka 2011 na kujiunga na umoja wa Afrika kuwa nchi ya 54 barani humo, Sudan ya Kusini ni nchi huru na inojitegemea. Sudan ya Kusini ina majimbo 10 ambayo wananchi wake wamekuwa kila mara walipigana kwa kuona hakuna maendeleo ya haraka yanofanywa na serikali ya Sudan ya Kusini.

Lakini ni kitendo cha jenerali Burhan kukubali kuwaleta Khartoum wanamgambo wa RSF kusaidia shughuli mbalimbali za kijeshi na pia kuanza mazungumzo ya kuwarasimisha wanamgambo hao wa RSF kuwa sehemu ya jeshi la Sudan ndicho kilicholeta zogo na vurugu na sasa mapigano makali.

Lakini wadadisi na wachambuzi wengi wanaamini kuwa mapigano ya sasa kati ya majenerali hao wawili Burhan na Dagalo yametokana na majenerali hao (Jenerali Burhan) kuunga mkono nchi za Marekani na NATO ambazo bado zasaidia nchi ya Ukraine ambayo iko kwenye vita na Russia, na Jenerali Dagalo kuwa upande wa Russia ambayo ina vikosi vyake Sudan ya Kusini.

Al Burhani pia asaidiwa na Misri kwa misaada ya vifaa vya kijeshi kutoka kwa raisi Abdel Fattah El- Sisi. Jenerali Dagalo ambae ni tajiri mkubwa wa dhahbu kutoka Sudan ya Kusini anasaidiwa pia na nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu UAE ambako amewahi kupeleka vikosi vya RSF kusaidia vita vya Yemen.

Kiasi kikubwa cha dhahabu inochimbwa Sudan ya Kusini yapelekwa nchini Russia kupitia UAE na vikosi vya jeshi la kukodi la Wagner vya Russia vipo Sudani Kusini vikilinda migodi ya dhahabu na visima vya mafuta. Russia imekuwa katika mazungumzo na jenerali Dagalo kuhusu kutaka kujenga kituo cha kijeshi katika bandari ya Sudan au Port Sudani kwenye bahari nyekundu.

Itakumbukwa baada ya Russia kuanzisha operesheni maalum ya kijeshi nchini Ukraine umoja wa mataifa uliweka azimio la kulaumu kitendo hicho cha Russia lakini Sudan haikushiriki kupiga kura kuunga mkono azimio hilo. Tangu wakati huo Marekani na washirika wake wamekuwa wakihangaka kuhaikisha Sudani inapata shida kwanza kwa kuondoa misaada ya fedha kutoka IMF na Benki ya Dunia, kuharibu mahusiano ya Sudan na Iran ambayo yaiuzia Sudan vifaa vya kijeshi, Russia na China.

Pia Marekani yaitaka Sudan kufunga mazungumzo na mijadala ya Russia kuweka kituo cha jeshi la majini kwenye bandari ya Sudan, kuimarisha uhasama na Iran na kuharibu uhusiano wa kijeshi kati ya Sudan na Iran na Russia na kuchagiza machakato wa kurudisha serikali ya kiraia chini ya waziri mkuu Abdallah Hamdok ambayo itapunguza usafirishaji wa dhahabu kwenda Russia ambapo yaaminika jambo hilo laisaidia sana Russia kukwepa vikwazo vya kiuchumi vilowekwa na Marekani na washirika wake.

Marekani imekuwa yaishutumu Russia kuwa nyuma ya mapinduzi yalomwondoa madarakani bwana Hamdok ambae kitaaluma ni mchumi na amesoma nchini Uingereza.

Mgogoro wa sasa zaidi umechochewa na majenerali hao wawili Burhan na Dagalo kutokukubaliana kwenye suala la kugawana madaraka na kwa vikosi vya RSF kuingizwa rasmi kwenye jeshi la Sudan. Jenerali Burhan binafsi hakubalini na suala hili lakini baadhi ya wanajeshi ndani ya jeshi wanaamini kuwa kuwaingiza RSF ndani ya jeshi kutapunguza na kuondoa hasira ya vijana wa RSF na pia maandamano yasokwisha mitaani kutoka kwa wananchi ambao wengi hawaungi mkono suala la RSF kuingizwa jeshini.

Jenerali Dagalo hakubaliani na suala la vikosi vya RSF kuingizwa jeshini hadi hapo serikali ya kiraia itapokuwa madarakani na pia anadai kuondolewa kwenye nafasi za kuu za serikali kwa wale viongozi wote wenye ukaribu na aliekuwa raisi Al Bashir ambae alipinduliwa mwaka 2019. Msimamo huu umemfanya jenerali dagalo kuungwa mkono na watu wengi wakiwemo wasomi vikundi mbalimbali vya kijamii ambavyo vimekuwemo katika mazungumzo ya kurudisha serikali ya ya kiraia.

Jumuiya ya kimataifa imekuwa ikionyesha wasiwasi wa kuwaingiza RSF jeshini na imekuwa ikisisitiza kuharakisha harakati za kuirudisha serikali ya kiraia chini ya Hamdok ambayo majenerali Burhan na Dagalo nao wana wasiwasi wa kukamatawa na kuwekwa jela kwa makosa mbalimbali ya uhalifu wa kivita.

Hadi sasa hakuna anaefahamu mgogoro huu utaisha vipi khasa baada ya jenerali Dagalo na vikosi vyake kuahidi kuendeleza mapigano. Hii ni aina ingine ya mifano hai kuwa bara la Afrika kwa sasa lipo katika kugombaniwa na mataifa makubwa. Sudan ya Kusini ina asilimia 75 ya utajiri wa maliasili ya visima vya mafuta, pia Sudan kaskazini ina dhahabu pamoja na madini mengine mbalimbali.

Hakika yanotokea Sudan yatupa funzo kubwa sana sisi waafrika na mstakabali wetu hapa duniani maana waafrika wenye ngozi nyeusi wamekalia maliasili yenye thamani ya mamilioni ya dola lakini ni raia kutoka nchi zingine ambao ndo wenye uwezo wa kuamua hatima ya mwafrika mweusi.
 
Misri inasambaza silaha kwa jeshi wakati Urus inawapa silaha rapidly response squad.
I don't know how some qullible people are accusing the US in fact Us inafanya kazi kubwa ya kuziunganisha pande zinazohasimiana.

Bashir katika utawala wake alihisi uenda jeshi likaja kumpindua, akaamua kuunda kikosi(RPS) na kukipa nguvu Sawa na jeshi.

Leo bashar hayupo jeshi limeamua kuita kiongozi wa RPS ili waunde jeshi moja as nchi haiwezi kuwa na majeshi mawili but wameshindwa kukubaliana kwenye mgawanyo wa madaraka ndiyo vita imeibuka.
RPS anasema ni wakati wake wa kuongoza, jeshi nalo linatoa misimamo ile ile.
Sasa sijui habari za fulani walikutana na fulani zinatoka wapi.. Ikiwa insu ni kukutana Putin hajawai kutana na viongozi wa Us?.
SAMIA hakutani na viongozi wa Us? why msudani iwe hoja?
Wakati vita ya Ethiopia inapigana kuna wapumbavu wachambuzi wakawa wanaandika humu kuwa wanapiganishwa na US kwasababu tu wamejenga bwawa la umeme kitu ambacho US hai
halendi.
Yaani bwawa lenye thamani na ndege moja ya F15 moja ndiyo marekani ipate wivu!!
Bure kabisa
 
Nimependa hoja zako,umechambua uzuri
 
Jifunze kusoma uzuri mada kabla hujaunda hoja yako.

Nimeeleza masuala mengi tu na sijailaumu US kama unavyodai.

Nimegusia kwa kifupi historia ya Sudan , sababu mbalimbali zinoweza kuwa kichocheo cha mgogoro wa sasa ikiwemo sababu ya kugombea madakara baina ya majenerali wawili kutoaminiana na pia msukumo kutoka nje ya Sudan ambayo nayo yaweza kuwa kichocheo cha mgogoro huo.

NImeongelea kuibuka kwa wakimbizi na watoto wa kivita ambao sasa hivi wazagaa mitaani wakiua watu na kupora mali, hizo zote zikiwa ni athari za vita.

Sasa weye waleta mara US, mara wamtaja raisi Samia, mara Ethiopia mara ndege ya F15!

Soma mada uielewe na kisha jenga hoja usiangalie tu US kasemwa vipi.
 
huyo hajakujibu wewe pekee yako bali katumia thread yako kuwajibu na kuwaelimisha wengi
 
Mataifa kama Russia kama kawaida hayawezi kupenda kuona demokrasia ikishamiri nchini Sudan, wao siku zote wapo kulea utawala wa kiimla kwa maslahi yao.

Ndio maana huyo Jenerali Mohammed Hamdan Dagalo wanayemuunga mkono anataka utawala wa kiraia urejeshwe baada ya miaka 10 ili tu muda wote huo aendelee kukaa madarakani. Kinachomsumbua ni tamaa ya kukaa madarakani.
 
Misri inasambaza silaha kwa jeshi wakati Urus inawapa silaha rapidly response squad.
I don't know how some qullible people are accusing the US in fact Us inafanya kazi kubwa ya kuziunganisha pande zinazohasimiana.

Bashir katika utawala wake alihisi uenda jeshi likaja kumpindua, akaamua kuunda kikosi(RPS) na kukipa nguvu Sawa na jeshi.

Leo bashar hayupo jeshi limeamua kuita kiongozi wa RPS ili waunde jeshi moja as nchi haiwezi kuwa na majeshi mawili but wameshindwa kukubaliana kwenye mgawanyo wa madaraka ndiyo vita imeibuka.
RPS anasema ni wakati wake wa kuongoza, jeshi nalo linatoa misimamo ile ile.
Sasa sijui habari za fulani walikutana na fulani zinatoka wapi.. Ikiwa insu ni kukutana Putin hajawai kutana na viongozi wa Us?.
SAMIA hakutani na viongozi wa Us? why msudani iwe hoja?
Wakati vita ya Ethiopia inapigana kuna wapumbavu wachambuzi wakawa wanaandika humu kuwa wanapiganishwa na US kwasababu tu wamejenga bwawa la umeme kitu ambacho US hai
halendi.
Yaani bwawa lenye thamani na ndege moja ya F15 moja ndiyo marekani ipate wivu!!
Bure kabisa
Njlipoona sentensi US anaziunganisha pande mbili nikkacha kusoma🚮
 
Hakuna watu walokosa akili, vichwa vitupu kama Afrika hasa wenye itikadi za kiislamu.

Shida yoyote ambayo ipo, hawana jibu lingine zaidi ya US. Kila kitu kwao ni US, ni wapuuzi sana.
 
Jifunze kusoma uzuri mada kabla hujaunda hoja yako.

Nimeeleza masuala mengi tu na sijailaumu US kama unavyodai.

Nimegusia kwa kifupi historia ya Sudan , sababu mbalimbali zinoweza kuwa kichocheo cha mgogoro wa sasa ikiwemo sababu ya kugombea madakara baina ya majenerali wawili kutoaminiana na pia msukumo kutoka nje ya Sudan ambayo nayo yaweza kuwa kichocheo cha mgogoro huo.

NImeongelea kuibuka kwa wakimbizi na watoto wa kivita ambao sasa hivi wazagaa mitaani wakiua watu na kupora mali, hizo zote zikiwa ni athari za vita.

Sasa weye waleta mara US, mara wamtaja raisi Samia, mara Ethiopia mara ndege ya F15!

Soma mada uielewe na kisha jenga hoja usiangalie tu US kasemwa vipi.
Umeleta mada na kuielezea ktk mazingira ambayo mada ni kubwa kuliko upeo wako wa kufikiri na kuchambua.

Ungekuwa na akili timamu, kama ungemuelewa jamaa hapo. Masuala ya US na Russia yalikuwa hayana ata chembe 1% ktk hiyo mizozo ya Sudan. Ila kwa kuwa akili ipo chini ukashindwa kupanua wigo wa akili.
 
US ameweka dunia ktk uzani sawa hasa kudhibiti nchi zenye itikadi ya kiislamu ktk kutawala dunia.

Hizi nchi zingeweza kufanya dunia nzima imainamie wao. Kama mnatamani ulimwengu mzima uwe na itikadi zenu, tafuteni teknolojia mjisafirishe muende huko mwezini mkaishi.
 
Usishupaze shingo yako, hakuna kichocheo chochote cha nje katika mgogoro wa Sudan.
Huo ni mgogoro walioutengeneza Wasudan Waarabu wenyewe kwa miaka mingi ya udikteta, ubaguzi na tamaa ya rasilimali za nchi.
Jifunze kusoma uzuri mada kabla hujaunda hoja yako.

Nimeeleza masuala mengi tu na sijailaumu US kama unavyodai.

Nimegusia kwa kifupi historia ya Sudan , sababu mbalimbali zinoweza kuwa kichocheo cha mgogoro wa sasa ikiwemo sababu ya kugombea madakara baina ya majenerali wawili kutoaminiana na pia msukumo kutoka nje ya Sudan ambayo nayo yaweza kuwa kichocheo cha mgogoro huo.

NImeongelea kuibuka kwa wakimbizi na watoto wa kivita ambao sasa hivi wazagaa mitaani wakiua watu na kupora mali, hizo zote zikiwa ni athari za vita.

Sasa weye waleta mara US, mara wamtaja raisi Samia, mara Ethiopia mara ndege ya F15!

Soma mada uielewe na kisha jenga hoja usiangalie tu US kasemwa vipi.
 
Jifunze kusoma uzuri mada kabla hujaunda hoja yako.

Nimeeleza masuala mengi tu na sijailaumu US kama unavyodai.

Nimegusia kwa kifupi historia ya Sudan , sababu mbalimbali zinoweza kuwa kichocheo cha mgogoro wa sasa ikiwemo sababu ya kugombea madakara baina ya majenerali wawili kutoaminiana na pia msukumo kutoka nje ya Sudan ambayo nayo yaweza kuwa kichocheo cha mgogoro huo.

NImeongelea kuibuka kwa wakimbizi na watoto wa kivita ambao sasa hivi wazagaa mitaani wakiua watu na kupora mali, hizo zote zikiwa ni athari za vita.

Sasa weye waleta mara US, mara wamtaja raisi Samia, mara Ethiopia mara ndege ya F15!

Soma mada uielewe na kisha jenga hoja usiangalie tu US kasemwa vipi.
Kwamba hili andishi lako halionyeshi upande uliobeba chanzo?.
Kwamba sijaelewa unachojaribu kufafanua kile unachokiita "DUNIA INAPOFUMBWA?"
andishi lako lipo wazi na linaonyesha ni nani ni tatizo na chanzo katika hii vita na ushahidi wako mkubwa ni fulani ALIWAI KUONGEA NA FULANI NA ALIWAI KUTEMBEMBELEA SEHEMU FULANI.
Indirectly unaonyesha US ipo nyuma ya vita ya Sudan kwasababu kuna kiongozi A ama B aliwai kwenda US...
Kutoiongelea Urusi vile ina supplie silaha kwa RPS ama Misri inavyowapa ipa silaha jeshi la sudani si jambo la bahati mbaya kwako bali ni maksudi na ulijua ukifanya hivyo utachanganya adhira na itashindwa elewa nani ni tatizo na chanzo badala yake umejikita kueleza na kusisitiza fulan aliwai kuongea na kiongozi wa Marekani mara ooh aliwai kwenda marekani.
Kwako fulan kuongea na fulani ni jambo la hatari zaidi kuliko Urusi inavyowapa silaha RPS.
Kwako Fulani kwenda marekani ni hatari zaid katika vita ya sudan kuliko jeshi la Misri linavyotoa silaha kwa jeshi la Sudan.

Ujaongelea vile Urusi na china walivyohodhi Rasimali za sudani na wao ndiyo wanakontroo almost ya kila kitu na hii haujaliacha kwa bahati mbaya bali maksudi ili kuoneza propaganda zako uchwara.

South Africa ina ties kubwa na Urusi wakati majority ya wawekezaji wake ni Raia wa Marekani na Ulaya na US haijawai ifanya chochote South African, sasa South Sudan kuna nini hasa kinaivuta US iingie vitani nchi ambayo rasilimali zake tayari zipo mikononi mwa Urusi na China?.

Jihadhali sana na mtu mweusi anaejifanya msomi(mjuaji) most of them ni wajinga kweri kweri.
 
Umeleta mada na kuielezea ktk mazingira ambayo mada ni kubwa kuliko upeo wako wa kufikiri na kuchambua.

Ungekuwa na akili timamu, kama ungemuelewa jamaa hapo. Masuala ya US na Russia yalikuwa hayana ata chembe 1% ktk hiyo mizozo ya Sudan. Ila kwa kuwa akili ipo chini ukashindwa kupanua wigo wa akili.
Huna haja ya kutoa kashfa kwani hiyo inaonyesha jinsi uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo.

Kama huwezi kuielewa mada weye pita tu.

Hii mada yafikirisha sana ila waafrika kama wewe ni vigumu sana kuelewa.

Angalia Sudan ilipotoka na ilipo sasa hivi na huko endako.

Kwa kuwa mmeishalishwa sumu ya kupindisha ukweli na propaganda imekuingia, hutopata mawazo mbadala weye huna uwezo wa kung'amua kilichopo kwenye mgogoro huu.
 
Kwamba hili andishi lako halionyeshi upande uliobeba chanzo?.
Kwamba sijaelewa unachojaribu kufafanua kile unachokiita "DUNIA INAPOFUMBWA?"
andishi lako lipo wazi na linaonyesha ni nani ni tatizo na chanzo katika hii vita na ushahidi wako mkubwa ni fulani ALIWAI KUONGEA NA FULANI NA ALIWAI KUTEMBEMBELEA SEHEMU FULANI.
Indirectly unaonyesha US ipo nyuma ya vita ya Sudan kwasababu kuna kiongozi A ama B aliwai kwenda US...
Kutoiongelea Urusi vile ina supplie silaha kwa RPS ama Misri inavyowapa ipa silaha jeshi la sudani si jambo la bahati mbaya kwako bali ni maksudi na ulijua ukifanya hivyo utachanganya adhira na itashindwa elewa nani ni tatizo na chanzo badala yake umejikita kueleza na kusisitiza fulan aliwai kuongea na kiongozi wa Marekani mara ooh aliwai kwenda marekani.
Kwako fulan kuongea na fulani ni jambo la hatari zaidi kuliko Urusi inavyowapa silaha RPS.
Kwako Fulani kwenda marekani ni hatari zaid katika vita ya sudan kuliko jeshi la Misri linavyotoa silaha kwa jeshi la Sudan.

Ujaongelea vile Urusi na china walivyohodhi Rasimali za sudani na wao ndiyo wanakontroo almost ya kila kitu na hii haujaliacha kwa bahati mbaya bali maksudi ili kuoneza propaganda zako uchwara.

South Africa ina ties kubwa na Urusi wakati majority ya wawekezaji wake ni Raia wa Marekani na Ulaya na US haijawai ifanya chochote South African, sasa South Sudan kuna nini hasa kinaivuta US iingie vitani nchi ambayo rasilimali zake tayari zipo mikononi mwa Urusi na China?.

Jihadhali sana na mtu mweusi anaejifanya msomi(mjuaji) most of them ni wajinga kweri kweri.
Miaka ya nyuma nilifanya kazi Sudan ya kusini kupitia NGOs za kutoa misaada na juzi nimeshiriki kusaidia watu wenye uwezo wa kukimbia waondoke Sudan.

Naifahamu uzuri Sudan kuliko weye unavyofikiri.

Mimi sio msomi sana ila nimeelimika maana waweza kuwa msomi lakini elimu ni kile cheti tu, hujaelimika.

Wanojiita wasomi ndo hao wanawadanganya na kuwahadaa waafrika wa Sudan.

Dagalo hajasoma sana na Burhan ni mwanajeshi aliesoma kiasi.

Moscow hosts Sudan’s Gen Dagalo amid war in Ukraine​

His staff say he was there at the invitation of the Russian government and will meet senior officials​

Lt Gen Mohamed Dagalo, deputy head of the military council and head of the paramilitary RSF. Reuters

Hamza Hendawi author image

Hamza Hendawi

Feb 24, 2022

Sudanese Gen Mohamed Dagalo, the commander of the country’s powerful Rapid Support Forces militia, was in Moscow on Thursday on a visit that has fuelled concerns he could be planning a power grab.

Local media reports in Sudan this week warned that Gen Dagalo, better known by his nickname Hemedti, might be positioning himself to facilitate a military takeover that would make him the source of ultimate, behind-the-scenes power.

With Russian forces now engaged in a major military assault on Ukraine and with Sudan still paralysed by political crisis after a military coup last year, Gen Dagalo’s visit to Moscow appears curiously timed.

READ MORE
Stalemate in Sudan as protests against military rule continue
Sudanese analysts and experts say the stop-off in the Russian capital, which followed visits to South Sudan,

Ethiopia and the Gulf, was intended to shore up the general’s position in Sudan.

“Hemedti wants to secure his position in Sudan’s current balance of power. He’s looking for powerful backers at home and abroad, perhaps for his own coup,” said Rasha Awad, editor of the online news service Al Taghyeer.

“He is acting like someone who is laying the foundation for something down the road. He is definitely not making these visits for the benefit of the state.”

The RSF said Gen Dagalo was in Moscow at the invitation of the Russian government and that he would meet senior officials there.
On Thursday, he met Russian Foreign Minister Sergei Lavrov, according to a Facebook post by the Sudanese general. The pair discussed bilateral issues and ways to implement “existing” agreements between the two countries.

“Sudanese-Russian relations are deep and entrenched. We look forward to making them even stronger and taking them to wider horizons," he said.

But analysts say the Kremlin wants a naval base on Sudan’s Red Sea coast and that this was likely to be on the agenda. Gen Dagalo, they said, also wanted to buy Russian arms and secure training for his officers in Russia.
Lt Gen Mohamed Dagalo, commander of the Rapid Support Forces and deputy head of Sudan's Sovereign Council, leaves Khartoum for Moscow on Wednesday. Photo: Rapid Support Forces

The establishment of a Russian naval base in Sudan was agreed in 2017 by Al Bashir and Russian President Vladimir Putin, but that agreement was never introduced.

Russia is known to have been pressing Khartoum on the issue as part of its efforts to maintain a significant military presence in the Red Sea.

“The file of the naval base in Sudan is the most vital item in relations with Moscow now. The Sudanese military had some reservations about the size and role of the base. Russia did not like that and wants the process to be sped up,” said Sudanese analyst Omar Abdel Aziz.

The RSF’s genesis are rooted in the Darfur conflict in the 2000s when Al Bashir enlisted the militia to fight alongside government troops against mostly ethnic African rebels. It is widely blamed for atrocities against civilians in Darfur.

More recently, it has used revenues from gold mines it controls to broaden its vast economic interests.
Gen Dagalo owes his military rank and the formalisation of his militia to Al Bashir, who relied on the RSF to counter the power of the military, which has a track record of seizing power in coups since Sudan gained independence in 1956.

Gen Dagalo, however, sided with the army generals who removed Al Bashir in 2019.

Now, the RSF’s battled-hardened and heavily armed fighters are menacingly deployed on the streets of Khartoum and maintain a presence across the vast Afro-Arab nation.

Gen Dagalo has presented himself as a reliable Russian ally since his arrival in Moscow, where he told a television interviewer he supported the Kremlin in its dispute with Ukraine.

“Russia has the right to defend its citizens. That right is enshrined in constitutions and international law,” he said.

Russia launches military operation in Ukraine​

Russia launches military operation in Ukraine

His visit to Moscow comes at a time when Sudan is deeply mired in political and economic crises sparked when army chief Gen Abdel Fattah Al Burhan seized power on October 25.

That coup, which was zealously supported by the RSF commander, derailed Sudan’s democratic transition after Al Bashir’s removal in a popular uprising.

The power seizure has met a wave of mass street protests that killed more than 80 people and injured thousands. It was also met with strong international condemnation led by the US, which froze hundreds of millions of dollars’ worth of aid to Sudan
.
Washington has since been a vocal critic of the Sudanese military, calling for a return to civilian rule and decrying the use of deadly force against peaceful protesters.

“The visit is clearly related to the American-Russian rivalry in the Red Sea and Africa,” said Sudanese analyst Mohammed Sheneidy.

“I see closer co-operation with Moscow as we move forward with Sudan helping in the promotion of Russian interests in Africa.”

Mr Abdel Aziz, the Sudanese analyst, said Gen Dagalo may be seeing an opportunity in winning over Russia as Sudan’s political crisis shows no sign of easing any time soon.

“Hemedti may be viewing the exclusion of civilians from power after the coup as an opportune moment to strike a deal with Moscow on the Red Sea base in return for its support,” he said.

“Russia is a superpower whose support will be vastly useful to him.”

Source: Reuters
 
Lt Gen Mohamed Dagalo, commander of the Rapid Support Forces and deputy head of Sudan's Sovereign Council, leaves Khartoum for Moscow on Wednesday. Photo: Rapid Support Forces's Sovereign Council, leaves Khartoum for Moscow on Wednesday. Photo: Rapid Support Forces

Unajaribu kusema nini hapa? Sijaelewa ebu summerize maana mimi umri umeniacha sasa, kusoma andishi refu siwezi tena.
Krismasi 30 na ushee si jambo dogo.
 
Yani pamoja na kufanya kazi Sudan bado ni mtupu hivyo kichwani kuhusu hilo taifa?! Ungekuwa hujawahi kuweka mguu kabisa huko basi ungekuwa giza tupu.

Soma hapo chini uelewe.

POLITICSSUDAN

Sudan snubs UN, opens arms to Russia​

Jennifer Holleis | Kersten Knipp
04/21/2022April 21, 2022

Sudan's military government is on the fast track to end the country's democratic dialogue — not only by attacking the UN's Sudan mission, but also by appeasing a long-standing ally: Russia.

Six months after the military-led coup, which eventually ousted Prime Minister Abdalla Hamdok and put a military government in place, Sudan is again at crossroads.

Chances are high that the UN-led democratic process that followed the coup is about to end, and with it civil society's hopes for a government without military leadership.

In response to a recent speech by Volker Perthes, the head of the United Nations Integrated Transition Assistance Mission Sudan, Sudan's military head General Abdel-Fattah Burhan and other military members have been calling for a "jihad" against Perthes, and have threatened to "expel the UN special representative" from the country.

Perthes had said that "in the absence of a political agreement to return to an accepted transitional path, the economic situation, the humanitarian situation, and the security situation are deteriorating."

The military's harsh rhetoric has reached such a fever pitch that the UN has now officially called to stop the "hate speech."

The true reason behind these heated exchanges is becoming increasingly evident. While Sudan's military is turning its back to any possible democratic road map under UN leadership, the country has been quietly moving closer to its fellow autocratic ally, Russia.

Traditional friendship​

In the years leading up to the invasion of Ukraine, Sudan and Russia have renewed their political and economic ties.

"In fact, after the Sochi summit with Vladimir Putin in 2017, Sudan's longtime dictator Omar al-Bashir famously said that Sudan would become Russia's key to Africa," Mohammed Elnaiem, a London-based Sudanese activist, told DW.

Back in 2017, agreements between Sudan and Russia included setting up a Russian naval base on the Red Sea, a plan which is now gaining momentum, and allowing a Russian subsidiary of the infamous private contractor Wagner Group to mine and export gold to Russia.

According to various databases, gold makes up around 45% of the country's total exports, varying between 26 and 30 tons per year.

Furthermore, business is thriving, as gold exports have been excluded from international sanctions which followed the 2019 ouster of al-Bashir.

Several reports have suggested an increase of unregistered gold exports to Russia in private airplanes. Moreover, according to British newspaper The Telegraph, Sudan's gold has helped Russia to ease the effects of the international sanctions over the war in Ukraine.

Politically, Sudan and Russia are also growing closer.

On February 24 the day Russia launched its attack on Ukraine Mohammed Hamdan Dagalo, also known as Hemeti, head of the Rapid Support Forces and vice president of the ruling military council, held talks in Moscow with senior Russian government officials, including Foreign Minister Sergey Lavrov.

"The fact that Hemeti is a representative of the Sudanese regime regardless of whether he went as its representative or as commander of the RSF is causing considerable concern in the civil society, but presumably also in the military," Christine-Felice Röhrs of the Friedrich Ebert Foundation in Sudan's capital Khartoum, told DW.

Both factions most likely fear Sudan could fall back into the same international isolation as it did during the al-Bashir regime between 1993 and 2019.

"Potentially closer ties with Russia, which has become an international pariah, have set off alarm bells," Röhrs said.

As Theodore Murphy, Africa director at the European Council on Foreign Relations, pointed out, "Hemeti has been courting the Russians most aggressively and they've been responding very positively to those overtures."

Although the military under General Burhan's lead now fears of being outflanked by Hemeti, Murphy is also convinced Burhan would be open to working with the Kremlin.

Therefore, Murphy sees the civil society as the only "true protection against Russian influence in Sudan, because their ideology is completely opposed to any kind of role for Russia," he said.

Society without allies​

Meanwhile, the situation for the 45 million people in the country is becoming increasingly difficult. Since the October coup, hundreds of protesters have been killed by the military.

Furthermore, ongoing price increases, international sanctions and a halt to international funding by the World Bank and the International Monetary Fund of $2 billion (€1.95 billion) in aid have exacerbated the situation.

According to the UN Food and Agriculture Organization and the World Food Program, the effects of conflict, economic crisis and poor harvests will likely double the number of people facing acute hunger in Sudan to more than 18 million people by September.

Endelea kusoma zaidi na mwisho pana video ikiongelea soko la dhahabu ya Sudan, Moscow.

'Yaitwa Russia's Goldrush.
 
Yani pamoja na kufanya kazi Sudan bado ni mtupu hivyo kichwani kuhusu hilo taifa?! Ungekuwa hujawahi kuweka mguu kabisa huko basi ungekuwa giza tupu.
Si afadhali mimi.

Weye umewahi ishi war zone?
 
Back
Top Bottom