Hezbollah yasema Lengo la Hamas lilikuwa ni kuiambia Dunia kuwa IDF si lolote wala Chochote, na Wamelitimiza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,979
141,996
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amesema kwa muda mrefu Dunia imekuwa ikidanganywa kuwa Israel ndio Yenye Jeshi Bora kuliko yote Duniani na hivyo Dunia nzima iliishi ikiwaogopa sana Wayahudi

Lengo kuu la Hamas lilikuwa ni kuonyesha Dunia nzima kwamba Israel ni Waongo na IDF ni Jeshi Dogo kama mengine huko Africa

Pili, Hamas walitaka kuwafumbua macho Wayahudi wote juu ya udhaifu wa Serikali yao na Jeshi lao Ili wasiendelee kudanganywa

Hezbollah wamesema Hamas wametimiza malengo yote mawili kwa 100%

Source Al jazeera news

Jumaa Mubarak 😄
 
Jumaa Mubarak
Ila Gaza imerudi zama za mawe na kama IDF sio chochote kwanini Hamas wanajifichia shuleni, hospitalini,wanavaa kiraia
 
Kiukweli huwezi linganisha jeshi la serikali ya Israel tena yenye ufadhili kabambe toka USA na kikundi cha Hamas kisicho ruhusiwa hata kununua silaha kihalali na silaha zote hamas wanazo tumia zimeingizwa kimagendo ndio tunasema wamejitahidi sana kuwavimbia IDF
 
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amesema kwa muda mrefu Dunia imekuwa ikidanganywa kuwa Israel ndio Yenye Jeshi Bora kuliko yote Duniani na hivyo Dunia nzima iliishi ikiwaogopa sana Wayahudi

Lengo kuu la Hamas lilikuwa ni kuonyesha Dunia nzima kwamba Israel ni Waongo na IDF ni Jeshi Dogo kama mengine huko Africa

Pili, Hamas walitaka kuwafumbua macho Wayahudi wote juu ya udhaifu wa Serikali yao na Jeshi lao Ili wasiendelee kudanganywa

Hezbollah wamesema Hamas wametimiza malengo yote mawili kwa 100%

Source Al jazeera news

Jumaa Mubarak 😄
Wewe jamaa nakupenda sana. Lkn source zako sio za ukweli
 
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amesema kwa muda mrefu Dunia imekuwa ikidanganywa kuwa Israel ndio Yenye Jeshi Bora kuliko yote Duniani na hivyo Dunia nzima iliishi ikiwaogopa sana Wayahudi

Lengo kuu la Hamas lilikuwa ni kuonyesha Dunia nzima kwamba Israel ni Waongo na IDF ni Jeshi Dogo kama mengine huko Africa

Pili, Hamas walitaka kuwafumbua macho Wayahudi wote juu ya udhaifu wa Serikali yao na Jeshi lao Ili wasiendelee kudanganywa

Hezbollah wamesema Hamas wametimiza malengo yote mawili kwa 100%

Source Al jazeera news

Jumaa Mubarak 😄
Alikuwa anaongelea akiwa kwenye handaki?
 
Huyo anawapumbaza wajinga wenzie huko misikitini , utasikia majinga tabkbr, wakati gaza inakuwa zero ground.
Sawa ni dhaifu, hlio jeshi dhaifu liko viungani mwa gaza au halipo?
Mbona wanalia vita isimamishweeee, watu wanauliwaaaa, siuji watotooo. Unawezaje kukimbia na kuvua sare za vita kwa jeshi dhaifu? Maficho yao yamefumuliwa sasa wanavizia kiraia.
Taarfa iliyopo Gaza itakaliwa miaka yote na haitakuwa chini ya hamas, ama wakitaka watasaini mkataba kama wenzao wamisri na joldan.
baada ya hapo ni huko Lebanon.
 
sijapata kuona kiongozi anasimama kuongea mambo ya aibu kiasi hichi!

Yaani unaanzisha vita na upo tayari ku sacrifice watu wako more than 22k+ sababu ya kuonyesha ulimwengu kwamba jirani yangu si chohote.

Nilisemaga nyuma huu muda unaonunuliwa ni israel kuchukua eneo na watu wengi walishasema.

najihisi vbaya kwa raia wasiokuwa na hatia kwa viongozi wachache wapumbavu.
 
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amesema kwa muda mrefu Dunia imekuwa ikidanganywa kuwa Israel ndio Yenye Jeshi Bora kuliko yote Duniani na hivyo Dunia nzima iliishi ikiwaogopa sana Wayahudi

Lengo kuu la Hamas lilikuwa ni kuonyesha Dunia nzima kwamba Israel ni Waongo na IDF ni Jeshi Dogo kama mengine huko Africa

Pili, Hamas walitaka kuwafumbua macho Wayahudi wote juu ya udhaifu wa Serikali yao na Jeshi lao Ili wasiendelee kudanganywa

Hezbollah wamesema Hamas wametimiza malengo yote mawili kwa 100%

Source Al jazeera news

Jumaa Mubarak 😄
Huu ujinga wa kujitoa muhanga na kuuwa raia fanyeni huku maporini Afrika ila mkigusa nchi zinzopenda RAIA wake mtatolewa mavi. Kuna nchi hazitaki mzaha kwa RAIA wake
 
Ila Gaza imerudi zama za mawe na kama IDF sio chochote kwanini Hamas wanajifichia shuleni, hospitalini,wanavaa kiraia
These are arming techniques broo,
Huwa zipo sana,kikubwa umuwini mshkaji.

Jiulize kwann ukiwa mpelelezi unaweza ku act kama chizi tena zaidi ya miaka,hizi ni mbinu tu.
ila ukweli utabaki kwamba IDF si kubwa kama vile ambavyo inaogopwa.
 
You are wrong bro, kazi ya jeshi ni kulinda raia.
Fikilia jeshi letu la Tanzania liende kuchokoza Kenya huko harafu waje wajifiche nyuma ya sisi raia na matokeo yake sisi raia tuangamie kwa maelfu na wanajeshi wabaki. Kama hamas wenyewe hawajari laia wao nani atawajali hao raia?
 
Ila Gaza imerudi zama za mawe na kama IDF sio chochote kwanini Hamas wanajifichia shuleni, hospitalini,wanavaa kiraia
Kama ulipita kwny vyombo vya usalama utajua kuwa somo la kujihami dhidi ya hujuma za adui huwa la kwanza kabla ya kufundishwa kushambulia …kama Hamas wamefanikiwa kujificha wao na mateka wao basi tuwape pia Maua yao…Ghaza sio dola hivyo hawana uwezo wa kulinda Raia na mali zao kwa jumla japo walipaswa kufanya hivyo wangekuwa na Mamlaka kamili kama Ukraine

Zile mbinu walizotumia Israel 1967 kuwapiga Waarabu wote ndani ya siku 6 na kukomboa Mateka wale wa Entebbe ndani ya dakika 90 zimeenda wapi? sasa ni karibia siku ya 100 hawajakomboa hata mateka mmoja zaid ya wale walioachiwa kwa mazungumzo, NATO na Israel inashindwa vipi kujua walipo mateka ndani ya eneo lisilo zidi ukubwa wa Unguja ?

Hata wakati wa kadhia y West gate Kenya miaka kadhaa ya nyuma pia waliitwa wa Israel kukomesha ule utekaji wakaja kwa mbwembwe na mwishowe wakaondoka

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom