Ndio, naamini kuzaliwa Marekani, Canada, Australia, Ulaya, Korea Kusini, Japan au Gulf countries ni bahati inayokupa chance kubwa zaidi ya kufanikiwa na kuishi maisha mazuri kuliko kuzaliwa Sudan, Congo au Tanzania.Unaamini luck?
Pia tunaweza kueleza yenye kuchukiza pia kutoka huko kwenye sekta ya afya, usiangalie mambo kwa upande mmoja tu.Ukikaa kwenye sekta ya afya utachukia sana watu wenye hizi imani
Matatizo ya afya ya AkiliKwahiyo huwa ni nini kinatokea, maana shuhuda ni nyingi na zote unazipinga🤗
Shida mkuu mkiongea nyie maneno matupu hapa mnataka hayo mnayoeleza yachukuliwe kuwa ndio uhalisia mzima na ndio sahihi ila wengine wakieleza wanaonekana wanaeleza story za kubuni.Kwanza hakuna Imani ya ukweli na imani ya uongo kwenye haya masuala ya superstitions, kinachotofautina ni kiwango tu cha msimamo, ujinga na madhara yanayotokana na hizo imani tofauti. Mtu akiamini paka mweusi aliyekatiza mbele yake au bundi aliyekuwa mlangoni kwake ni ishara ya jambo baya ni ujinga lakini hakuna madhara yoyote kwake au wanaomzunguka. Mtu anayeamini viungo vya binadamu vinaweza kumpa mafanikio au mtu ambaye hataki kwenda hospitali akiwa magonjwa kwa sababu ya hizo superstitions huo ni ujinga unaoweza kuambatana na madhara makubwa na maafa.
Hakuna lolote mkuu.Kwahiyo hizi kafara, misukule, mali za kitajiri, kusababisha uchizi kwa watu na malimbwata ni vitu vya uongo? Mbona vina matokeo na tunaona watu wakivipitia..
Wewe umemaliza Kila kitu mkuu kunywa soda nalipia hapaSijawahi kusikia story ya uchawi au miujiza isiyo na matobo mengi ya kutosha mpaka najiuliza mtu anawezaje kuamini ujinga wa jinsi hii wa wazi kabisa. Hata hivyo pia ubongo unaweza kutengeneza hallucinations, illusions na false reality kwa sababu nyingi mbalimbali ikiwemo madawa ya kulevya, njaa, ugonjwa, ndoto, maumivu, hofu, PTSD, uchovu, magic tricks n.k
Unaweza ukaelezea hiyo bahati inafanyaje kazi? Nataka kujua inakuaje hadi bahati inawapata wengine na wengine hawaipati?Ndio, naamini kuzaliwa Marekani, Canada, Australia, Ulaya, Korea Kusini, Japan au Gulf countries ni bahati inayokupa chance kubwa zaidi ya kufanikiwa na kuishi maisha mazuri kuliko kuzaliwa Sudan, Congo au Tanzania.
Kuzaliwa familia tajiri ni bahati,
Kuzaliwa na IQ kubwa ni bahati,
Kuzaliwa na genes zisizosumbuliwa na magonjwa ni bahati
Kama ni mwanamke kuolewa na tajiri ni bahati
Kwenda kuchimba madini na vifaa duni kisha kuibukia lundo la madini ni bahati
Zipo bahati nyingi sana tofauti kwa wanadamu mbalimbali
Mbona sasa kuna wanasayansi na madaktari wenye kupinga issue ya uwepo wa virusi vya ukimwi? Kama upo uthibitisho wa kisayansi wa kuwepo hivyo virusi vya ukimwi mbona kuna wanasayansi wanapinga kuwa sio kweli?Sijajifunga kwenye experience yangu, wala sihitaji kuona directly niamini, nahitaji hata maelezo yaliyonyooka tu yanayoelezea tukio hata moja tu la uchawi. Mambo ya uchawi ukiacha tu kwamba huwa hayana uthibitisho wowote hata story zenyewe huwa zina matobo na contradictions sana kiasi kwamba ni vigumu kuaminika.
Taarifa/Story kutoka sehemu tofauti tofauti wala sio uthibitisho wa chochote zaidi ya kwamba binadamu ni kiumbe wa kutengeneza story na kuziamini mfano utaifa, uzalendo, dini na pesa yote ni mambo yaliyotokana na story tu zilizoaminiwa kwa muda mrefu na watu wengi.
UKIMWI upo kwa sababu Kuna uthibitisho wa kutosha wa kisayansi wa virus na jinsi vinavyofanya kazi. Unaweza kufanya jaribio(experiment) la UKIMWI kwa watu bilioni kwa kurudia njia zile zile na ukapata matokeo yale yale kwa 99%, Huwezi kufanya jaribio la uchawi la kujirudia hata kwa watu kumi tu ili uweze kufanya majumuisho ni kitu gani.
Hivi zamani huko kabla ya sayansi wazee waliwezaje kujua mimea tiba na magonjwa yanayotibu?
Nitumie PMSiwez weka public mtu kama anataka aje pm nitatoa vile basic kwanza
Sasa akikoroga wewe ndio anakuwa kaweza kuthibitisha uwepo wa uchawi?Uchawi haupo zaidi ya ujinga na kutoelewa mambo na imani tu , kama upo thibitisha uwepo wake , fanya kuniloga sasa hivi ujue jina la mama yangu
Evolution, trial and error process for ten of thousand or years.Hivi zamani huko kabla ya sayansi wazee waliwezaje kujua mimea tiba na magonjwa yanayotibu?
Kwani wewe ulikubali aliposema Tanzania ipo vizuri kiuchumi kushinda Marekani?hivi mkuu siku samia akasimama bungeni au ikulu akahutubia kwamba nchi yetu imelogwa ndo maana watu wamekufa oct 29, mali zetu zinapotea bila habari we utakubali?
Sijui kwa nini wewe umezaliwa Tandahimba na Mark Zuckerberg amezaliwa New York. Sijui kwa nini IQ yako ni ndogo kuliko ya kwake, sijui kwa nini Rizimoko na Abdul wamepata bahati ya kuishi Magogoni wakati Soka, Mdude na Ben Saanane hawakupata hiyo bahati, Sina majibu ya sababu zake, najua tu ni random chances.Unaweza ukaelezea hiyo bahati inafanyaje kazi? Nataka kujua inakuaje hadi bahati inawapata wengine na wengine hawaipati?
Halafu kuna kinachoitwa bahati mbaya, hii nayo vp ipo na unaamini ama vp?
Vile vile hauwezi kusali mara moja tu ukasema umemaliza, inahitaji kusali na kuomba kila mara, kuhudhuria sana kanisani au misikitini, kufunga na kushinda njaa mara kwa mara n.kChumvi ya mawe humkinga mtu kwa muda. Na hapo utakapoitumia, ni kama umejichoresha kwao. Yaani hata kama hawakijui, ukishaitumia, ni kama umejiingiza kwenye rada yao.
Ili uwe salama basi yakupasa kuitumia mara kwa mara kama mtu atumiavyo ARV... Tazama watumiaji wanavyokuwa watumwa... Watu hawataki kusali, kutwa kucha ni kuoga dawa..
Mtu anazijua dawa mpaka anajiona keshakuwa mganga...
Imani za mambo ya kishirikina zinatesa sana watu.
Ila ni makisio tu ya kihistoria.Evolution, trial and error process for ten of thousand or years.
Hata Simba na Paka huwa kuna majani wanakula wakipata shida ya tumbo baada ya kula kitu kibaya.
Kupinga au kubishania uthibitisho uliopo ni jambo moja, kutokuwepo uthibitisho ni jambo lingine kabisa. Wanaopinga uthibitisho wa kisayansi mfano Dunia kuwa duara (flat earthers), HIV kusababisha AIDS au uthabiti wa chanjo(anti-vaxxers) hao wanawekwa kwenye kundi la conspiracy theorists na pseudoscientists.
Mbona sasa kuna wanasayansi na madaktari wenye kupinga issue ya uwepo wa virusi vya ukimwi? Kama upo uthibitisho wa kisayansi wa kuwepo hivyo virusi vya ukimwi mbona kuna wanasayansi wanapinga kuwa sio kweli?
Halafu hivi kila uthibitisho huwa ni wa kisayansi tu? Hivi kwa mfano kwenye masuala ya historia huwa pia inatumika sayansi kuthibitisha ukweli wa historia?
Leta makisio au uthibitisho wa uchawi na uganga tuubishanie.Ila ni makisio tu ya kihistoria.
Vp kuhusu bahati mbaya?Sijui kwa nini wewe umezaliwa Tandahimba na Mark Zuckerberg amezaliwa New York. Sijui kwa nini IQ yako ni ndogo kuliko ya kwake, sijui kwa nini Rizimoko na Abdul wamepata bahati ya kuishi Magogoni wakati Soka, Mdude na Ben Saanane hawakupata hiyo bahati, Sina majibu ya sababu zake, najua tu ni random chances.