Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,288
- 6,758
😅😅ni hela yako tuKaka kama una connection nisaidie na mimi kwa shakira 😁
😅😅ni hela yako tuKaka kama una connection nisaidie na mimi kwa shakira 😁
Jf ni kichaka🙌Ni mwanaume.
Kakali mno , na kimo chake sio haba ,kuna wasanii baadhi niwaona wakali kwenye picha tu ila live kawaida, ila dua chuma.
Jf ni kichaka🙌
Ya watu wote au wasukuma tu.?hata sijui kwa kweli, sinaga nguvu ya kufuatilia maisha ya watu
Yaani😁Ni kweli; hii ni fact, naikubali. 😊
Hizi chuma nyingi hata sio hela , fuatilia kisa cha Rihanna , Jennifer Lopez na ojan noa, mhudumu wa mgahawa .😅😅ni hela yako tu
Kuna kale ka Jessica alba kipindi cha nyuma kalishatikisa uzuri , sijui kama unakakumbuka now ana 46 , ndio chuma mithili ya dua akiwa kwenye ubora wakeMkuu kumbe una jicho zuri, wewe na Yoda mna macho ya mwewe. 😊
Kila mtu anajijua mwenyewe😁Huwezi jua, labda ni msagaji/ lesbian😁
Yaani😁
Ndio, namkumbuka. Amepotea sana, hasikiki siku hizi.Kuna kale ka Jessica alba kipindi cha nyuma kalishatikisa uzuri , sijui kama unakakumbuka now ana 46 , ndio chuma mithili ya dua akiwa kwenye ubora wake
Muda mwingine hizi nyama nyama zina raha yake.Basi wewe tamaa yako haiko kwenye uzuri bali makalio tu mkuu. Mimi makalio makubwa sio ishu sana, kama mabonge ndio hamna kitu kabisa.
Mie ni mwanamke,mke😁Na wewe ni jinsia gani mkuu? 😊
Yupo now umri umesonga anazeeka na utamu wakeNdio, namkumbuka. Amepotea sana, hasikiki siku hizi.
Kama ni nyama za kawaida zinaleta hamasa sema kama nyama uzembe kurudia cha pili labda utafune na pili pili kidogo.Hazikinaishi?
Safi.Mie ni mwanamke,mke😁
Yupo now umri umesonga anazeeka na utamu wakeView attachment 3599178