Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,803
- 17,901
Labda vingine ila sura hapana. Mmh😳Huyo binti ni mzuri kuanzia sura, umbo, sauti, aura mpaka akili.
Labda vingine ila sura hapana. Mmh😳Huyo binti ni mzuri kuanzia sura, umbo, sauti, aura mpaka akili.
Dahh sio kwa kushtuka huko! Basi imefika hii..Dua lipa 😳 hebu dada amka basi mrembo anaitwa win
umewaonja wote? kuna wengine wanajisafisha vizuri bwanaWazungu ni rangi tu hiyo ila usafi kwao zero sasa kama anatumia tishu kujisafisha unaanzaje kuweka ulimi
Unabisha tu kwakua usukumani hakuna wazunguumewaonja wote? kuna wengine wanajisafisha vizuri bwana
Kwa kigezo kipi?Hakuna watu wasafi kama wazungu.
wew tena na wasukuma 🤨Unabisha tu kwakua usukumani hakuna wazungu
Unawaonaje hasa wakija mjiniwew tena na wasukuma 🤨
hata sijui kwa kweli, sinaga nguvu ya kufuatilia maisha ya watuUnawaonaje hasa wakija mjini
Huyo mtoto ni mkali kinouma , hata live ukibahatika muona bado ni wa motoLabda vingine ila sura hapana. Mmh😳
Siku zote najuaga weye ni mwanamke🙌Ilikuwa ni fantasy yangu mkuu.
Mkuu wewe unajua, huyu Dua ni mzuri balaa, kila nikimuangalia nahisi roho yangu inatulia na kupata matumaini katika hii Dunia.Bwashee , unajua vitu vikali , dua ni mkali kinouma hata live bado wa moto mno , huyu na ariana grand ndio mastaa niliwahi bahatika kuwaona live
View attachment 3599118
Siku zote najuaga weye ni mwanamke🙌
Kakali mno , na kimo chake sio haba ,kuna wasanii baadhi niliwaona wakali kwenye picha tu ila live kawaida, ila dua chuma.Mkuu wewe unajua, huyu Dua ni mzuri balaa, kila nikimuangalia nahisi roho yangu inatulia na kupata matumaini katika hii Dunia.
Kongole kama umemuona live, hakika umetiki jambo moja kubwa sana katika hii Dunia. Wengine kwetu hii inaweza kubaki kuwa ndoto tu.
Wallah😁,miaka yote najua ni mwanamke.Ungejichanganya; ni dume hilo. 😊
GWallah😁,miaka yote najua ni mwanamke.