Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,918
- 7,755
Sawa amini unachokiamini sayuniKuoga, kusafisha na kupanga mazingira yao, kutumia vyoo vya umma na masinki, unadhifu wa mavazi /nguo n.k
Sawa amini unachokiamini sayuniKuoga, kusafisha na kupanga mazingira yao, kutumia vyoo vya umma na masinki, unadhifu wa mavazi /nguo n.k
Kumbe picha zake unazo. Si umalizane naye tu kimya kimya kupitia sabuni au mafuta!Katika celebrities wanawake sijui kama kuna mzuri kuliko Dua Lipa, ameukonga sana moyo wangu, nimesikitika sasa ameolewa.
View attachment 3599071
View attachment 3599072
View attachment 3599073
View attachment 3599074
Kumbe picha zake unazo. Si umalizane naye tu kimya kimya kupitia sabuni au mafuta!
Hizi chuma nyingi hata sio hela , fuatilia kisa cha Rihanna , Jennifer Lopez na ojan noa, mhudumu wa mgahawa .
Fuatilia kisa cha Britney Spears aliwahi kuolewa kwa muda mfupi na Jason Alexander, rafiki yake wa zamani ambaye hakuwa tajiri wa maarufu .
Hawa sifikiri kama wako na njaa za kimatumbi bwashee ni wewe tu na energy yako
Ni kweli mkuu, ila kuna wana wameotea vyombo vya hatari na hawana kituTajiri, maisha yana "level" hizo level, juzi hapa Cristiano Ronaldo anasema alimpata mzazi mwenzie akiwa anauza duka la nguo; sasa hilo duka la nguo la kwenda CR7, usifikiri ni maduka kama ya vunja bei.. 😊
Mpaka CR7 kaenda pale basi ujue ni duka wanashop mabilionea.
Level ndio inakufanya ukutane na mtu flani wa aina flani. Huyo demu bila kuwa na chapaa humpati mkuu.
Miaka flan hivi mshikaji wangu, aliwahi kutana na binti wa Jacob Zuma Ibiza huko. Mchizi na yeye alikwenda kula bata mitaa ile. 😊
Ni kweli mkuu, ila kuna wana wameotea vyombo vya hatari na hawana kitu
Ningeweka picha ya mwamba mmoja mbongo kaotea toto la kispain kali kinouma sema ni vile faragha ya mtu na huenda yupo humu😃Wachache sana mkuu! Nahisi mpaka uwe na ngekewa sana, nahisi. 😊
Ningeweka picha ya mwamba mmoja mbongo kaotea toto la kispain kali kinouma sema ni vile faragha ya mtu na huenda yupo humu😃
Kuotoea toto la kizungu kg 50- 60 halafu kali sio mchezo mkuu 😁Usiweke mkuu, utamletea ngori, faragha yake ikaharibika kwa husda za watu. Hawakawii kuanza kumwita marioo. 😊
watu wote ndugu,, maisha yangu mwenyew yananipelekesha sasa ya watu nitawezajeYa watu wote au wasukuma tu.?
Ila sipati picha msukuma wa kiume akioa Msambaa wa kike sijui nini kitatokea.!?
Nikiwaza nakosa pawa kabisa haya makabila yanachosha sana katika ubora wao
asante dosho wangu😊 ndo maana nakupenda huna baya mwanetu,,, nakucheki kuna kitu unishauri kwanzaTumia tu nakupa zote mamaa
Haaahaa 😊 ☺️ noma sanaaaaaa/ japo Mimi sijawai vutiwa na Ngozi nyeusi na allergies nazo..Nikionaga hizi ngozi nyeupe hata hazinipi hamasa lakini hawa wanawake wa kiafrica nikiona tu mstari wa chupi kwishaaaa!!!!
Pole sana kijana!Haaahaa 😊 ☺️ noma sanaaaaaa/ japo Mimi sijawai vutiwa na Ngozi nyeusi na allergies nazo..
Basi sawawatu wote ndugu,, maisha yangu mwenyew yananipelekesha sasa ya watu nitawezaje
hao wasambaa wanashida gani kwani? alf mbona wasukuma wako poa sana,, na kingine sielewagi kuhusu ukabila mi huwa nadeal na mtu mmoja nilokutana nae tu
Mkuu, mbona ana kebo moja tu?I thought, maybe, I could have seen a chunky of meat or a real twerking teddy bear all along!Katika celebrities wanawake sijui kama kuna mzuri kuliko Dua Lipa, ameukonga sana moyo wangu, nimesikitika sasa ameolewa.
View attachment 3599071
View attachment 3599072
View attachment 3599073
View attachment 3599074