Dropout
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 641
- 533
- Thread starter
- #101
Una plan/mindset nzuri sana lakin inaonesha huna elimu ya maisha nje ya ajira, unaweka vitu in easy regularity kuwa "kama ntatengeneza milion2"Naweza kuacha ajira na kwenda kuendelea na biashara endapo nitatengeneza kipato cha minimum 2M kwa mwezi nje na ajira na sikipato tu bali kinachotokana na biashara inayoeleweka (sustainable) unaiwezo wakufanyika bila uwepo wangu, uwamuzi wa kuDrop chuo kisa Mgahawa then ndio startup ni bad plan.
Portfolio | 2020
Hiyo iache huko huko mshaharan, huku expext a 2 to 3 down then forever up.
Sent using Jamii Forums mobile app

