Droupouts wa vyuo tukutane hapa

Droupouts wa vyuo tukutane hapa

Kiufupi mm mwenyew hata kama sijapata ajira baada ya kusota shule miaka mingi ,ilaa elimu muhimu Sanaaa inanipa sana maconfidence ya kufanya mambo yangu yaende .bro hakuna watu ambao hawajiamin kama ambao hawajasoma na wanahela

Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu gani Formal education au Self education | hakuna mwenye pesa na asiwe na confidence akiwa na self education.

Portfolio | 2020
 
Hiyo confidence inakusaidia nini kama huna kazi wala pesa? Utakula confidence?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimedrop chuo kwa sababu za kiuchumi Ila Inshallah Sir GOD akisaidia nitarudi tena kuendelea na masomo.

Siungi mkono hoja eti acha chuo nenda katafute fursa mtaani.. loh!!
Mtoa mada endelea kujidanganya Ila Ipo siku utajuta.

Hakuna ujanja zaidi ya shule labda kama kwenu mnamiliki biashra kubwa so umeacha Ili ukapige business za familia otherwise you're totally wrong.

Nakwambia soon utaja juta.
Kujidanganya kivipi? Niache pesa nifate cheti, mna akili au mnaongelea njaa ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo confidence inakusaidia nini kama huna kazi wala pesa? Utakula confidence?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm naona watu hawaelewi maisha yakoje..kuna wengine wanataka elimu kama kigezo cha heshima, eti inampa confidence...uzwazwa kabisa.. Kama umesoma kweli tumia elimu yako kupata pesa uwe na maisha. Mimi niliamua kuachana na elimu ya mfumo kwakuwa niliona haifundishi kutafta pesa inafundsha namna ya kujua sehemu za panzi, je nikishajua inanisaidia nini, nmeenda chuo unashangaa kuna kozi tunaambiwa tukariri Marehemu flan alisemaje kuhus ukuaj wa mtoto, inasaidia nini,?? Nisome upuuzi ili niwe na confidence? Alaf nilie njaa??

BIG NONSENSE...

nmependa ulivyomweleza kijana hajielew bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una sense pole na kusoma sana, hao uliowataja wapo kwa ajili yetu sisi ndo tunawapa kazi hizo.( So mwenye kusoma asome mwenye kuacha aache) by the way why nyie watu mliofanikiwa kumaliza shule tu, mnakuwa na kinyongo flan na ambao hawajamaliza na wana hela?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio maana nimekwambia unafikiria kwenye kisogo chako

Wewe unaejitia hujasoma unasubiria wasomi ili uwaajiri,kama hawapo?

Utaajiri mavi?
 
Elimu gani Formal education au Self education | hakuna mwenye pesa na asiwe na confidence akiwa na self education.

Portfolio | 2020
Yaan wenzio wanasema wakiwa na cheti kile wametunukiwa ndo wanaconfidence, mm nahis ukijua kutafta ela ukaishi nyumba ya ndoto zako na kufanya vitu ambavyo hao walioenda shule ndefu wanaona ndoto kwako ndo confidence.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa mwezi unaingiza Tzs ngapi ?
Mm naona watu hawaelewi maisha yakoje..kuna wengine wanataka elimu kama kigezo cha heshima, eti inampa confidence...uzwazwa kabisa.. Kama umesoma kweli tumia elimu yako kupata pesa uwe na maisha. Mimi niliamua kuachana na elimu ya mfumo kwakuwa niliona haifundishi kutafta pesa inafundsha namna ya kujua sehemu za panzi, je nikishajua inanisaidia nini, nmeenda chuo unashangaa kuna kozi tunaambiwa tukariri Marehemu flan alisemaje kuhus ukuaj wa mtoto, inasaidia nini,?? Nisome upuuzi ili niwe na confidence? Alaf nilie njaa??

BIG NONSENSE...

nmependa ulivyomweleza kijana hajielew bado.

Sent using Jamii Forums mobile app

Portfolio | 2020
 
Ndio maana nimekwambia unafikiria kwenye kisogo chako

Wewe unaejitia hujasoma unasubiria wasomi ili uwaajiri,kama hawapo?

Utaajiri mavi?
Hivi kuna sehem nimekataza watu kusoma??? Na kupat vyeti?? Hapa tumeita wale tulioachana na mfumo huo mnaouabudu na kuamua kufanya mambo yetu, yaan tumetafta direct X ambayo huwa mnatafta nyie kwa mafumbo ya vyeti na ajira.

Usiwe unatumia minyoo kufikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungebadili kidogo styl ya swal lako ukaondoa mambo ya kwa mwezi, ungeweza kupata jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Income inapigiwa kwa siku, mwezi na mwaka | uwe umejiajiri au kuajiliwa kwasiku unaingiza kadhaa na mwezi kadhaa, mwalimu anayelipwa 600K kwa mwezi ni ukuuliza kwasiku unaingiza Tzs ngapi jibu ni 20,000/= haijalishi analipwa kwa mwezi.

Wewe haijalishi unaingiza kilasiku nahitaji mapato ya mwezi, inahudhunisha kuingia kwenye kujiajiri bila kujua mahesabu ya faida kwa vipindi tofauti.

Portfolio | 2020
 
Wewe hata ungekuwa unalipwa kwa sekunde lakini huwezi ku-undermine suala la Academic ht kidogo,Matajiri wengi wanawatumia Academicians kuwa consult kwenye project zao ili ziende na wanawalipa.
Acha kuwaza kwa kutumia minyoo. Sijapinga wanaosoma na kutusaidia kazi mbali mbali nmepinga nyie mnaoona kuwa na cheti ni confidence na right track.

Msisahau uzi huu ni kwa ajili ya wale walioacha chuo kwa hiyari na kuamua kupambana na ishu zao binafsi sio mashindano kati yenu huko na sisi tunakuenjoy life.

Kwa uelewa wenu mdogo mmebadili uzi na kwa ligi. Damn

Akili huna, hata unachojibu hueleweki umesimamia wapi
Unaenjoy life gani wewe kwa akili yako hiyo , inaonekana ada ya Udom imekushinda umerudi kitaa kuzichanga
 
Back
Top Bottom