Mtu anaejiita dropout (mtoa maada), kwa anadai anakopesha hadi milioni 10 ( kama unavigezo )
Swali, je huo mtaji kautoa wapi??
Kwa hali ya uchumi wetu tz tuanaujua. Mtu mwenye capacity ya kukopesha 10M sio wa kawaida.
Kwahyo uyu jamaa asidanganye tena watu wadrop out kma vile mtaani kuna fursa njenje za utajiri.
Ushauri wangu.
Kama umepata nafas ya kusoma jitahdi umalize. Ishu sio kua na cheti. Ishu ni kua na FANI (vyeti ni kwaajili ya utambulisho juu ya fani uliyonyo), ambayo kwa msomi mtanzania, kutoka familia maskini ndo mtaji wa kuanza nao.
Mbali na fani uliyonayo, ukiingia mtaani unaweza pia kupambana katk fursa zngne kma vile biashara, kilimo, udalali etc & a mixture of hustlings., Wakat huo uko na fani yako pia ipo. Hapo unakua unapambana wakat huohuo ikitokea fursa inayoendana na fani yko unaweza kuingia, iwe ni ajira au umepata mtaji unatka kujiajir kufnya ishua inayoendana na fani yko.
Mwisho wa siku mkono unaenda kinywani. Na ukipambana kwa kujituma, bila kua na tamaa, huyu mungu ni wa kwetu sote. 3 to 4 yrs lazima utakua mbali.
Tuache kupotoshana. Life is not that much easier (Except kwa wachache sana).
Sent using
Jamii Forums mobile app