Droupouts wa vyuo tukutane hapa

Droupouts wa vyuo tukutane hapa

ur right sio lazma kila mtu asome na kuwa na degree, tutazalsha taifa lenye kulaum serikal juu ya ajira maana wengi wanaosoma hawana plan B zaid ya kuajiriwa
Uchungu tu umekujaa na wivu!! Degree sio matako kwamba kila mtu anayo!! Utakufa nacho kijiba cha roho!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Education is not success

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wanahisi kuwa na vyeti ndo kuwa na hela,Elimu ni kama bangi tu kuna wanaovuta kudhani itawasaidia kimaisha na kuna sisi ambao tumejaribu tukaona haitatusaidia kimaisha. We kept left and now we ride their dream cars. Wao waliosoma wenye wanaenda kazini (kumfanyia boss)kila asubuhi na kurud jioni huku wakilipwa mara moja tu kwa mwezi ili kumudu mkate na bando la jf. Na wengine hawajapata ajira wapo wamekuwa wapinzani wa serikali badala y kuchangamsha ubongo.

Mawazo mafupi sana aiseee

Unadhani kila mtu anaenda kusoma ili awe na mapesa mengi?

Wote tunge dropout kama wewe,hivi nani angetutibu hospitali?Engineers wangetoka wapi?Marubani tungewatoa chooni?

Hebu angalia broader picture mzee
 
wasalamu... wale tulioacha chuo kwa hiari baada ya kugundua tunatakiwa kuunda system zetu za kutoka kimaisha na sio kufata mfumo usio na masirahi kwa speed hii ya maisha tujuane hapa .
binafs nmedropout Udom mwakajana mwez wa 12 ....
View attachment 1236058

Kuacha chuo umeacha..nini kilipelekea kuacha...na kama uliamua ili kufanya michakato yako tuambie umefikia wapi..siyo porojo porojo...
 
Mawazo mafupi sana aiseee

Unadhani kila mtu anaenda kusoma ili awe na mapesa mengi?

Wote tunge dropout kama wewe,hivi nani angetutibu hospitali?Engineers wangetoka wapi?Marubani tungewatoa chooni?

Hebu angalia broader picture mzee
Una sense pole na kusoma sana, hao uliowataja wapo kwa ajili yetu sisi ndo tunawapa kazi hizo.( So mwenye kusoma asome mwenye kuacha aache) by the way why nyie watu mliofanikiwa kumaliza shule tu, mnakuwa na kinyongo flan na ambao hawajamaliza na wana hela?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo mafupi sana aiseee

Unadhani kila mtu anaenda kusoma ili awe na mapesa mengi?

Wote tunge dropout kama wewe,hivi nani angetutibu hospitali?Engineers wangetoka wapi?Marubani tungewatoa chooni?

Hebu angalia broader picture mzee
Jamaa anajiona na kujihisi kawin kuliko wote, kumbe tunaishi kwa kutegemeana

Na yeye hajui pia kuna watu wanamuona kama shimo la choo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimedrop chuo kwa sababu za kiuchumi Ila Inshallah Sir GOD akisaidia nitarudi tena kuendelea na masomo.

Siungi mkono hoja eti acha chuo nenda katafute fursa mtaani.. loh!!
Mtoa mada endelea kujidanganya Ila Ipo siku utajuta.

Hakuna ujanja zaidi ya shule labda kama kwenu mnamiliki biashara kubwa so umeacha Ili ukapige business za familia otherwise you're totally wrong.

Nakwambia soon utaja juta.
 
Nimedrop chuo kwa sababu za kiuchumi Ila Inshallah Sir GOD akisaidia nitarudi tena kuendelea na masomo.

Siungi mkono hoja eti acha chuo nenda katafute fursa mtaani.. loh!!
Mtoa mada endelea kujidanganya Ila Ipo siku utajuta.

Hakuna ujanja zaidi ya shule labda kama kwenu mnamiliki biashra kubwa so umeacha Ili ukapige business za familia otherwise you're totally wrong.

Nakwambia soon utaja juta.
ulivyo acha chuo ukawa unajishughulisha na nini na kwa level ipi ?

Portfolio | 2020
 
Kiufupi mm mwenyew hata kama sijapata ajira baada ya kusota shule miaka mingi ,ilaa elimu muhimu Sanaaa inanipa sana maconfidence ya kufanya mambo yangu yaende .bro hakuna watu ambao hawajiamin kama ambao hawajasoma na wanahela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom