Droupouts wa vyuo tukutane hapa

Income inapigiwa kwa siku, mwezi na mwaka | uwe umejiajiri au kuajiliwa kwasiku unaingiza kadhaa na mwezi kadhaa, mwalimu anayelipwa 600K kwa mwezi ni ukuuliza kwasiku unaingiza Tzs ngapi jibu ni 20,000/= haijalishi analipwa kwa mwezi.

Wewe haijalishi unaingiza kilasiku nahitaji mapato ya mwezi, inahudhunisha kuingia kwenye kujiajiri bila kujua mahesabu ya faida kwa vipindi tofauti.

Portfolio | 2020
Una fikra pevu sana, yeye alowekeza kwenye biashara anahesabu faida kutoka na mtaji wake, msomi/mwajiriwa naye faida inatokana na level ya elimu yake, that's why zipo scale za mshahara kulingana na ulivyotumikia ajira au kiwango chako cha elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Income inapigiwa kwa siku, mwezi na mwaka | uwe umejiajiri au kuajiliwa kwasiku unaingiza kadhaa na mwezi kadhaa, mwalimu anayelipwa 600K kwa mwezi ni ukuuliza kwasiku unaingiza Tzs ngapi jibu ni 20,000/= haijalishi analipwa kwa mwezi.

Wewe haijalishi unaingiza kilasiku nahitaji mapato ya mwezi, inahudhunisha kuingia kwenye kujiajiri bila kujua mahesabu ya faida kwa vipindi tofauti.

Portfolio | 2020
Na bado umesoma na unaandika "Inahudhunisha" bila hata simu yako kukusaidia kukosoa, kazi ipo, usife moyo maisha ni popote. Usichukie waliojiajiri komaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanangu alipata deal la pesa ndefu ambalo linaingiliana na ratiba za chuo.. ilikua achagua moja chuo au deal. Na kwa kozi aliyokua anasoma ilikua ngum kupiga zote..

Yeye akachagua deal.. basi tulikaa nae tukamshauri atleast aahirishe mwaka ili siku mambo yakibuma kitaa aje kumalizia.. jamaa alikua ameshapiga kama mil 1 hivi alikua na kiburi.. so aliamua kuondoka kinyemela bila hata kuaga utawala..

Miaka miwili mbele deal likabuma akaanza kupambana na maisha.. alibeba hadi mizigo lakini wapi.. sasa hivi ukimuona ni kama ana miaka 50 kumbe ndio kwanza 28 yrs..

Ushauri wangi tu.. kwa wanaoacha chuo kisa pesa.. mfanye ku postpone mwaka kwa ustaalabu utawala then ukafanye mishe zako.. siku yakitokea ya kutokea unaweza kuja kumalizia chuo kama kawaida.. hata yasipotokea basi huna cha ku-loose
 
Unawashaurije waliosoma hizo kozi ngumu lakin maisha yao ni ya Nipige Tafu? Bei ya sukari inawawazsha mpk wamekonda? Wanajaa uwanjani kuskliza kama mkuu ataongeza mshahara kila siku?? Unaonaje hayo maisha.??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungebadili kidogo styl ya swal lako ukaondoa mambo ya kwa mwezi, ungeweza kupata jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua wajua kuwa income unaweza kutafuta kwa mwezi na kwa mwaka. Huwezi kuwa na hela nyingi ukapiga hesabu za kila siku. Hata makampuni yanapiga hesabu za robo mwaka, nusu mwaka na mwaka. Kakuuliza unaingiza shingapi kwa mwezi ingawa sidhani kama uko willing kusema.
 
Unawashaurije waliosoma hizo kozi ngumu lakin maisha yao ni ya Nipige Tafu? Bei ya sukari inawawazsha mpk wamekonda? Wanajaa uwanjani kuskliza kama mkuu ataongeza mshahara kila siku?? Unaonaje hayo maisha.??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio kozi ngumu ni MD mpaka sasa hakuna hata mmoja wao ambae hana hela ya sukari.. ukikuta mtu kapigika basi ni matumizi yake ya kunywa pombe sana.. wote mpka sasa hivi either wameajiliwa serikalini au wako kwenye vijiwe wanapata atleast 30k kwa siku..
Lakini huyo jamaa aliyedrop maisha yake ni shida .. kwahio asikudanganye mtu elimu hailipi..

Kuna swali jingine??
 
Miaka ya nyuma niko zangu chuoni misukosuko ya hapa na pale migomo ya bodi ya mikopo na vurumai zake jamaa flani wakafanya uthubutu tulipopokea tu boom wakaanzisha mgahawa na mwengine kuweka hela kwenye biashara ya mitumba.
Sasa sijui hasa what went wrong maana tulikuwa tunaenda kweli kula kuwaungisha lakini mwishowe walifunga biashara na yule demu alikuwa ukikutana nae njiani amejawa na hasira tu .
Nilisononeka kwa wale jamaa kukosa vyote nilitamani sana watoboe kwenye biashara zao maana naamini ukishaweza kusoma na kuandika kisha ukaelimika (kuondoa ujinga) kichwani unaweza kufika kokote.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwann hujaongea personal habit za jamaa kuwa alitumia ela vbaya ukaishia kuangukia kulaumu kuacha kwake chuo??

Nyie ndo mnapasua kichwa badala ya tumbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili huna, hata unachojibu hueleweki umesimamia wapi
Unaenjoy life gani wewe kwa akili yako hiyo , inaonekana ada ya Udom imekushinda umerudi kitaa kuzichanga
Wwatu waliokimbia shule wana chuki sana na waliosoma... yaani anataka kuwaaminisha watu kwamba shule hakuna kitu 😂😂
 
Miaka ya nyuma niko zangu chuoni misukosuko ya hapa na pale migomo ya bodi ya mikopo na vurumai zake jamaa flani wakafanya uthubutu tulipopokea tu boom wakaanzisha mgahawa na mwengine kuweka hela kwenye biashara ya mitumba.
Sasa sijui hasa what went wrong maana tulikuwa tunaenda kweli kula kuwaungisha lakini mwishowe walifunga biashara na yule demu alikuwa ukikutana nae njiani amejawa na hasira tu .
Nilisononeka kwa wale jamaa kukosa vyote nilitamani sana watoboe kwenye biashara zao maana naamini ukishaweza kusoma na kuandika kisha ukaelimika (kuondoa ujinga) kichwani unaweza kufika kokote.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Vipi ulisoma nao na hawana mbele wala nyuma? Kwanin mna defend sana kuliko kustick kwenye point. Mnaona wanaofight nje ya system kama maadui zenu kumbe ni ndugu zenu tutawashika mikono mkifulia.

Kufanikiwa au kutokufanikiwa haijalishi una cheti au hauna. Ila naona wengi wenu mnaonesha kama kusoma ndo kutoboa maisha hivi, naona umeme umezima huko ubongoni kwenu, tuwawashie solar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya nyuma niko zangu chuoni misukosuko ya hapa na pale migomo ya bodi ya mikopo na vurumai zake jamaa flani wakafanya uthubutu tulipopokea tu boom wakaanzisha mgahawa na mwengine kuweka hela kwenye biashara ya mitumba.
Sasa sijui hasa what went wrong maana tulikuwa tunaenda kweli kula kuwaungisha lakini mwishowe walifunga biashara na yule demu alikuwa ukikutana nae njiani amejawa na hasira tu .
Nilisononeka kwa wale jamaa kukosa vyote nilitamani sana watoboe kwenye biashara zao maana naamini ukishaweza kusoma na kuandika kisha ukaelimika (kuondoa ujinga) kichwani unaweza kufika kokote.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Naweza kuacha ajira na kwenda kuendelea na biashara endapo nitatengeneza kipato cha minimum 2M kwa mwezi nje na ajira na sikipato tu bali kinachotokana na biashara inayoeleweka (sustainable) unaiwezo wakufanyika bila uwepo wangu, uwamuzi wa kuDrop chuo kisa Mgahawa then ndio startup ni bad plan.

Portfolio | 2020
 
Unakwepa swali, alafu kumbe una degree!?? Nikajua una nyumba na gari, endelea kuripoti na kusaini kila siku kwa boss wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu degree ninayo na ninajivunia kuwa nayo.. nyumba na gari kila mtu anavyo lakini nenda kaulize nani ana degree ya MD 😂.. hata mtu kama wewe nyumba na gari unavyo lakini je Degree unayo??
 
Mkuu degree ninayo na ninajivunia kuwa nayo.. nyumba na gari kila mtu anavyo lakini nenda kaulize nani ana degree ya MD .. hata mtu kama wewe nyumba na gari unavyo lakini je Degree unayo??
Wewe degree inakupa confidence.
Sasa naelewa kwanin ulisoma.Deal done.
Kwa uelewa wako kam MD ulifaulu basi kuna kiti kikubwa tu ulikalia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom