Droupouts wa vyuo tukutane hapa

Droupouts wa vyuo tukutane hapa

daàh uzi unànihusu huu hiv nikitak kuomba mkop tena naweza kupata maana mtaani mmmmh
 
daàh uzi unànihusu huu hiv nikitak kuomba mkop tena naweza kupata maana mtaani mmmmh
bro acha kuwaza reverse trust me tafta kitu cha kufanya kurud shule ni kula matapishi yako..Jichanganye kutafta fursa ..
 
Wewe jamaa ulikuwa unasoma uwalimu Udom umeacha kisa Forex alinieleza jamaa mmoja naesoma nae Informatics.

Nikutaje jina

EL.....
atakuwa amefananisha watu mm nmesoma pale pale informatics
 
Kuna mshkaji chuo aliishia 2 yr tena certificate Sasa hv ni Mwenyekiti Uvccm Mkoa
 
wasalamu... wale tulioacha chuo kwa hiari baada ya kugundua tunatakiwa kuunda system zetu za kutoka kimaisha na sio kufata mfumo usio na masirahi kwa speed hii ya maisha tujuane hapa .
binafs nmedropout Udom mwakajana mwez wa 12 ....
View attachment 1236058
Huu Uzi umenikumbusha nyimbo ya lil pump inaitwa dropout
 
mm nachet cha form four nahitaji form six result sleep nipo chuo nahitaji 250000
 
ndoto yangu uzi huu uzidi ule uzi wa makapuku forum
 
Ujumbe wako murua kabisa
tapatalk_1575294317965.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom