Dr. Ulimboka is smart and good Now..

kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
15,244
2,000
Few months ago, kuna member mmoja hapa aliulizia juu ya dr. Ulimboka.
Nimeutafuta ule uzi sijauona!!

So kwa kupitia thread hii, naomba nimjulishe kuwa dr ulimboka yuko poa, nimekutana nae jioni hii hapa boma - hai.
Nimeongea nae!
Yuko poa and ok.

Mungu walinde wote wanaoteswa kwa ajili ya kutetea haki.
Amen!!
 
kavale

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
228
0

Tapeli alikuwa anayafuta umaarufu ameupata
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
raia masikini wengi walikufa sababu ya huo mgomo wa madaktari wakiongozwa na uyo ulimboka,viongozi wa utibiwa nje waliokufa ni masikini.
Uyo Ulimboka alivuna alichopanda na siku zote malipo ni hapa hapa duniani.

migomo yenyewe haikusaidia waliambiwa kama utaki kazi uache,mishahara waliyotaka ni sawa na bajeti nzima hivo tungesimamisha shughuli zote tungekuwa tunalipa mishahara tu.

uyo ni muuaji mkubwa
 
Mwera

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
965
0
Huyo mjinga tu. Mamia ya watu wamekufa kwa ajili yake. Yeye kapata kipondo badae wakampoza akapewa mahela yake anakula kuulaiini. Msaliti tu huyo.
 
kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,502
2,000
ulimboka ni bonge la mshamba.i was very wrong to think he was a real activist/hero kumbe boya tuu.alishindwa kusimamia alicho kianzisha bada ya kurejea toka SA.ccm wakamtekenya kidogo nae akatekenyeka na sasa kalegea kabisa.nchi hii bhana hakuna mtu real karibu wote ni ma-pretender.nyambafffff uli.
 
kabangila

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
438
195
raia masikini wengi walikufa sababu ya huo mgomo wa madaktari wakiongozwa na uyo ulimboka,viongozi wa utibiwa nje waliokufa ni masikini.
Uyo Ulimboka alivuna alichopanda na siku zote malipo ni hapa hapa duniani.

migomo yenyewe haikusaidia waliambiwa kama utaki kazi uache,mishahara waliyotaka ni sawa na bajeti nzima hivo tungesimamisha shughuli zote tungekuwa tunalipa mishahara tu.

uyo ni muuaji mkubwa

Mungu atakulaani wewe, kizazi chako na wengine wote walio na wanaopotosha ukweli. Ukweli ni kuwa mishahara haikuwa ajenda namba moja bali huduma bora za afya. Watanzania wengi walikufa na wanaendelea kufa kwa sababu zile ambazo zilipiganiwa na madaktari. Unafiki wenu wa kubadili madhumuni ya migomo ya watumishi utawahukumu siku ya mwisho.
 
atakulaani wewe mwenyewe,ule mgomo wa madaktari ulisababisha vifo vya masikini wala siyo kukomoa viongozi.Pamoja na kugoma nini kimebadilika? zaidi waliambiwa waache kazi na wao wenyewe wakajirudisha kazini.
Kuna njia nyingi za kufikisha malalamiko siyo kwa mgomo,madaktari wakigoma ni mahafa makubwa sana kwa raia masikini.Ndugu yako angekufa kwa sababu ya mgomo huo ndio ungeelewa nini nasema.

Najua Tanzania na nchi nyingi za Africa tuna matatizo kwenye sekta za Afya tofauti na nchi zilizoendelea lakini lazima ujue maendeleo hayaji kwa siku moja,ulaya wameanza kuendelea toka karne ya 15,kamwe usijifananishe nao.

Cha muhimu serikali iboreshe sekta za afya lakini madaktari wanaogoma wanakomoa wananchi masikini,wenye uwezo wanaenda hospitali binafsi ,wengine ata nje ya nchi.

usilete siasa hapa angalia wanaotaabika ni hakina nani,uyo ulimboka kitendo alichofanyiwa siyo kizuri ila siwezi kumuonea huruma sababu kuna watu walikufa kwa sababu ya kuongoza huo mgomo uliokuja kushindwa.

Na ata hao madaktari walimsaliti ,kwenye shida hawakuwa naye,mgomo wa madaktari usiufananishe na migomo ya bodaboda au wasukuma mikokoteni.

Madaktari wakigoma ni majanga wala usiunge mkono,huyo ulimboka ni smart kwako tu,mi kwangu ni muhuaji tena aliyetelekezwa na madaktari wenzake
 
usungilo

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
527
500
MONEY stuna hivi kumbe alikimbiwa mpaka serikali ikampeleka SA kwa matibabu kwa gharama yake loh! Hawa madaktari wabaya sana! Yaana wanapigania huduma ziboreshwe ili watanzania maskini wanufaike? Viongozi wasipelekwe nje ili bajeti itumikayo itumike kuboresha hospitali zetu tunufaike wote? Waboreshewe mishahara ili wafanye kazi kwa ufanisi? Zisinunuliwe v8 at least 10 tu ili kuweka CT scan japo kanda tano za nchi hii! Hii nchi hatuji kuendelea kwa mawazo kama haya. Mgomo wa madaktari sio tanzania ndo ya kwanza kuexperience.! Kenya ni mara ya tatu mgomo unatokea ndani ya miaka miwili tu! Kuwa kwenu na access ya kwenda aga khan kusiwafanye mkawasahau watz walio wengi vijijini ambako huduma za afya ni mbovu kuliko kawaida na kuwaacha viongozi waendelee kuishi maisha ya anasa kwa jasho la maskini wanaoshindwa hata kusomesha watoto wao
 
Last edited by a moderator:

mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
atakulaani wewe mwenyewe,ule mgomo wa madaktari ulisababisha vifo vya masikini wala siyo kukomoa viongozi.Pamoja na kugoma nini kimebadilika? zaidi waliambiwa waache kazi na wao wenyewe wakajirudisha kazini.
Kuna njia nyingi za kufikisha malalamiko siyo kwa mgomo,madaktari wakigoma ni mahafa makubwa sana kwa raia masikini.Ndugu yako angekufa kwa sababu ya mgomo huo ndio ungeelewa nini nasema.

Najua Tanzania na nchi nyingi za Africa tuna matatizo kwenye sekta za Afya tofauti na nchi zilizoendelea lakini lazima ujue maendeleo hayaji kwa siku moja,ulaya wameanza kuendelea toka karne ya 15,kamwe usijifananishe nao.

Cha muhimu serikali iboreshe sekta za afya lakini madaktari wanaogoma wanakomoa wananchi masikini,wenye uwezo wanaenda hospitali binafsi ,wengine ata nje ya nchi.

usilete siasa hapa angalia wanaotaabika ni hakina nani,uyo ulimboka kitendo alichofanyiwa siyo kizuri ila siwezi kumuonea huruma sababu kuna watu walikufa kwa sababu ya kuongoza huo mgomo uliokuja kushindwa.

Na ata hao madaktari walimsaliti ,kwenye shida hawakuwa naye,mgomo wa madaktari usiufananishe na migomo ya bodaboda au wasukuma mikokoteni.

Madaktari wakigoma ni majanga wala usiunge mkono,huyo ulimboka ni smart kwako tu,mi kwangu ni muhuaji tena aliyetelekezwa na madaktari wenzake
Ni kweli mkuu mgomo wenyewe ulikuwa wa kishamba mambo mengine hayatekelezeki kabisa halafu wao wamekomaa lakini ni wazi kuwa walikuwa na lao jambo siyo bure.
 
Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
11,013
2,000
raia masikini wengi walikufa sababu ya huo mgomo wa madaktari wakiongozwa na uyo ulimboka,viongozi wa utibiwa nje waliokufa ni masikini.
Uyo Ulimboka alivuna alichopanda na siku zote malipo ni hapa hapa duniani.

migomo yenyewe haikusaidia waliambiwa kama utaki kazi uache,mishahara waliyotaka ni sawa na bajeti nzima hivo tungesimamisha shughuli zote tungekuwa tunalipa mishahara tu.

uyo ni muuaji mkubwa
Dah.....kweli we kiazi

Uyo... Uyo.... Uyo.... Ndivyo ulivyofundishwa?
 
maghambo619

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
821
500
ulimboka ni bonge la mshamba.i was very wrong to think he was a real activist/hero kumbe boya tuu.alishindwa kusimamia alicho kianzisha bada ya kurejea toka SA.ccm wakamtekenya kidogo nae akatekenyeka na sasa kalegea kabisa.nchi hii bhana hakuna mtu real karibu wote ni ma-pretender.nyambafffff uli.

Acha wivu wa kitoto, Dr. Ulimboka alithubutu, but you cowards mnaojifungia ndani mkisoma magazeti, ndio mnajifanya big mouth kukosoa. Go to hell
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
10,588
2,000
raia masikini wengi walikufa sababu ya huo mgomo wa madaktari wakiongozwa na uyo ulimboka,viongozi wa utibiwa nje waliokufa ni masikini.
Uyo Ulimboka alivuna alichopanda na siku zote malipo ni hapa hapa duniani.

migomo yenyewe haikusaidia waliambiwa kama utaki kazi uache,mishahara waliyotaka ni sawa na bajeti nzima hivo tungesimamisha shughuli zote tungekuwa tunalipa mishahara tu.

uyo ni muuaji mkubwa

Nakushauri uende kanisani au msikitini ukaombe dua kwa nguvu.

Wewe unaamini kuwa wasingegoma basi watu wasingekufa, jambo ambalo siyo sahihi kabisa. Ni afadhali waligoma halafu tukajua hatuna waganga kuliko wangekuja kututibu bila kugoma ila wakatudunga sindano za sumu wagonjwa wote.

Majuzi tu umeamabiwa kuwa wanasiasa wetu wanalipwa kuliko wanasiasa wa nchi zinazotupatia misaada, je kwa nini usilalamikie hilo kama kweli unajua kuwa hatuna hela ya kulipa mishahara mikubwa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom