Dr. Ulimboka is smart and good Now..

Dr. Ulimboka is smart and good Now..

raia masikini wengi walikufa sababu ya huo mgomo wa madaktari wakiongozwa na uyo ulimboka,viongozi wa utibiwa nje waliokufa ni masikini.
Uyo Ulimboka alivuna alichopanda na siku zote malipo ni hapa hapa duniani.

migomo yenyewe haikusaidia waliambiwa kama utaki kazi uache,mishahara waliyotaka ni sawa na bajeti nzima hivo tungesimamisha shughuli zote tungekuwa tunalipa mishahara tu.

uyo ni muuaji mkubwa

na hawa wanaokufa sasa hivi je???,maana mkuu wa kaya ameenda kwa obama kuchek afya,mbona hakwenda muhimbili???
 
atakulaani wewe mwenyewe,ule mgomo wa madaktari ulisababisha vifo vya masikini wala siyo kukomoa viongozi.Pamoja na kugoma nini kimebadilika? zaidi waliambiwa waache kazi na wao wenyewe wakajirudisha kazini.
Kuna njia nyingi za kufikisha malalamiko siyo kwa mgomo,madaktari wakigoma ni mahafa makubwa sana kwa raia masikini.Ndugu yako angekufa kwa sababu ya mgomo huo ndio ungeelewa nini nasema.

Najua Tanzania na nchi nyingi za Africa tuna matatizo kwenye sekta za Afya tofauti na nchi zilizoendelea lakini lazima ujue maendeleo hayaji kwa siku moja,ulaya wameanza kuendelea toka karne ya 15,kamwe usijifananishe nao.

Cha muhimu serikali iboreshe sekta za afya lakini madaktari wanaogoma wanakomoa wananchi masikini,wenye uwezo wanaenda hospitali binafsi ,wengine ata nje ya nchi.

usilete siasa hapa angalia wanaotaabika ni hakina nani,uyo ulimboka kitendo alichofanyiwa siyo kizuri ila siwezi kumuonea huruma sababu kuna watu walikufa kwa sababu ya kuongoza huo mgomo uliokuja kushindwa.

Na ata hao madaktari walimsaliti ,kwenye shida hawakuwa naye,mgomo wa madaktari usiufananishe na migomo ya bodaboda au wasukuma mikokoteni.

Madaktari wakigoma ni majanga wala usiunge mkono,huyo ulimboka ni smart kwako tu,mi kwangu ni muhuaji tena aliyetelekezwa na madaktari wenzake

kufa ni ahadi sio had mgomo utokee,watu wanataabika muhimbili na bado wanakufa,,,Dr.Mvungi alipopelekwa Mhimbili akapelekwa Agakhan akafanyiwe CT SCAN,WHY NOT MUHIMBILI????Then wakamkimbiza SA,why not Tanzania???,mbunge wako anakwenda Apollo,waziri wa fedha yuko wapi?Manumba alilazwa Agakhan kisha SA,
 
Kweli kabisa...kuna vitu vya kuletea siasa ila sio maisha ya watu...ni ukosefu wa utu.......
 
kufa ni ahadi sio had mgomo utokee,watu wanataabika muhimbili na bado wanakufa,,,Dr.Mvungi alipopelekwa Mhimbili akapelekwa Agakhan akafanyiwe CT SCAN,WHY NOT MUHIMBILI????Then wakamkimbiza SA,why not Tanzania???,mbunge wako anakwenda Apollo,waziri wa fedha yuko wapi?Manumba alilazwa Agakhan kisha SA,

kufa si ahadi japo najua ni lazima . wakati mwingine matibabu mabovu.huduma mbaya na migomo ya madaktari upelekea vifo vya wagonjwa
 
Ni kweli mkuu mgomo wenyewe ulikuwa wa kishamba mambo mengine hayatekelezeki kabisa halafu wao wamekomaa lakini ni wazi kuwa walikuwa na lao jambo siyo bure.

Hujui unalosema. Watanzania wengi hupoteza maisha kwa kukosa huduma bora za matibabu. Hospitali zipo lakini hazina vifaa, akina mama wanapoteza maisha, watoto under fives wanakufa kila kukicha kwa magonjwa yanayotibika
. hizi ndio concerns za madaktari. Wala sio mshahara kama mlivyopotoshwa
 
na hawa wanaokufa sasa hivi je???,maana mkuu wa kaya ameenda kwa obama kuchek afya,mbona hakwenda muhimbili???

uyo mkuu wa kaya alijichagua mwenyewe? kama ni kiongozi wa mbaya wakupewa lawama ni nyie mnaopiga kura.

mnaokubali kupewa kofia na kanga za bure
 
Ni upunguani kutetea madaktari ambao wanashinda baa mida ya kazi......wauguzi wanaotukana wagomjwa......labda kama haijawahi kukutokea.....
 
atakulaani wewe mwenyewe,ule mgomo wa madaktari ulisababisha vifo vya masikini wala siyo kukomoa viongozi.Pamoja na kugoma nini kimebadilika? zaidi waliambiwa waache kazi na wao wenyewe wakajirudisha kazini.
Kuna njia nyingi za kufikisha malalamiko siyo kwa mgomo,madaktari wakigoma ni mahafa makubwa sana kwa raia masikini.Ndugu yako angekufa kwa sababu ya mgomo huo ndio ungeelewa nini nasema.

Najua Tanzania na nchi nyingi za Africa tuna matatizo kwenye sekta za Afya tofauti na nchi zilizoendelea lakini lazima ujue maendeleo hayaji kwa siku moja,ulaya wameanza kuendelea toka karne ya 15,kamwe usijifananishe nao.

Cha muhimu serikali iboreshe sekta za afya lakini madaktari wanaogoma wanakomoa wananchi masikini,wenye uwezo wanaenda hospitali binafsi ,wengine ata nje ya nchi.

usilete siasa hapa angalia wanaotaabika ni hakina nani,uyo ulimboka kitendo alichofanyiwa siyo kizuri ila siwezi kumuonea huruma sababu kuna watu walikufa kwa sababu ya kuongoza huo mgomo uliokuja kushindwa.

Na ata hao madaktari walimsaliti ,kwenye shida hawakuwa naye,mgomo wa madaktari usiufananishe na migomo ya bodaboda au wasukuma mikokoteni.

Madaktari wakigoma ni majanga wala usiunge mkono,huyo ulimboka ni smart kwako tu,mi kwangu ni muhuaji tena aliyetelekezwa na madaktari wenzake

Hakika utakufa
 
Hiyo title ya 'he is smart and good now' unataka kutuambiaje? Hukumuuliza ile press confference ataifanya lini juu ya kipigo chake?
 
kufa ni ahadi sio had mgomo utokee,watu wanataabika muhimbili na bado wanakufa,,,Dr.Mvungi alipopelekwa Mhimbili akapelekwa Agakhan akafanyiwe CT SCAN,WHY NOT MUHIMBILI????Then wakamkimbiza SA,why not Tanzania???,mbunge wako anakwenda Apollo,waziri wa fedha yuko wapi?Manumba alilazwa Agakhan kisha SA,
Haya yapo kila nchi sio tz tu labda uwe hujatembea duniani. Na kama unaamini kifo ni ahadi basi usilalamike hata hao wanaotibiwa kwa uhakika watakufa tuu hata kama CT SCAN zitakuwepo kila wilaya bado kifo kitabaki palepale
 
Hujui unalosema. Watanzania wengi hupoteza maisha kwa kukosa huduma bora za matibabu. Hospitali zipo lakini hazina vifaa, akina mama wanapoteza maisha, watoto under fives wanakufa kila kukicha kwa magonjwa yanayotibika
. hizi ndio concerns za madaktari. Wala sio mshahara kama mlivyopotoshwa

Huduma zenyewe zinahusu mhudumu makini........dawa za bure wanatuuzia,mgonjwa mahututi wanampuuzia....Aisee mtu asiniambie kitu.....These people are sooooo cruel...
 
Maendeleo Hasi yanaletwa na sisi watanzania wenyewe kwa kupenda Ushabiki badala ya kuchukua hatua madhubuti zenye mlengo wa kusaidia.....Watanzania tunapenda kuongea sana na kulaumu....hapa ndipo naona umuhimu wa ile film ya The Late Kanumba...'Kijiji Cha Tambua Haki'....wanaotuumiza ni wenzetu walioko kwenye lower ranks za uongozi....ila kwakuwa tunapenda majungu na udaku basi tutakesha tunamlaumu Raisi siku nzima...kwa lipi?WIVU TUUU(wengi hawatakubali huu ukweli)lakini siasa za kumponda Raisi nyingi ni za ki-uadui na kijicho pembe...Yeees....unajua kwa nini?sababu ndio tulivyo mitaani kwetu...tutatafuta wa kumlaumu tuuu bila jitihada za kimaendeleo sisi kwa sisi....ule mgomo walitakiwa wafanye wananchi na si madaktari......
 
Sasa ndugu yangu, huyo mgonjwa mahututi atahudumiwaje kama vifaa Hamna?
 
Ushawahi kuona mgonjwa mwenye hela anavyochangamkiwa Temeke au Muhimbili...nikuulize....vifaa vinakuwa vimetoka wapi ghafla?
 
Maendeleo Hasi yanaletwa na sisi watanzania wenyewe kwa kupenda Ushabiki badala ya kuchukua hatua madhubuti zenye mlengo wa kusaidia.....Watanzania tunapenda kuongea sana na kulaumu....hapa ndipo naona umuhimu wa ile film ya The Late Kanumba...'Kijiji Cha Tambua Haki'....wanaotuumiza ni wenzetu walioko kwenye lower ranks za uongozi....ila kwakuwa tunapenda majungu na udaku basi tutakesha tunamlaumu Raisi siku nzima...kwa lipi?WIVU TUUU(wengi hawatakubali huu ukweli)lakini siasa za kumponda Raisi nyingi ni za ki-uadui na kijicho pembe...Yeees....unajua kwa nini?sababu ndio tulivyo mitaani kwetu...tutatafuta wa kumlaumu tuuu bila jitihada za kimaendeleo sisi kwa sisi....ule mgomo walitakiwa wafanye wananchi na si madaktari......

Kufanya kazi katika mazingira magumu ni sababu tosha za kugoma
 
Mungu atakulaani wewe, kizazi chako na wengine wote walio na wanaopotosha ukweli. Ukweli ni kuwa mishahara haikuwa ajenda namba moja bali huduma bora za afya. Watanzania wengi walikufa na wanaendelea kufa kwa sababu zile ambazo zilipiganiwa na madaktari. Unafiki wenu wa kubadili madhumuni ya migomo ya watumishi utawahukumu siku ya mwisho.

Laana utaipata wewe kwa upotoshaji lengo kuu la madakitari kwa mgomo ule halikuwa vitendea kazi hii ilikuwa ni kuzuga na kutafuta kuungwa mkono na mass tu ukweli ulibaki kuwa ni Maslahi ya kazi tu na ndio maana hawakuwa tayari kurudi kazini hata vifo vilipoongezeka kwa athari za mgomo wao wa Kipumbavu......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom