Dr. Ulimboka is smart and good Now..

I am sure you are the one with an empty brain. A composed brain that thinks and reasons can never give out such foolish comment like yours. Whatever a country you belong must be a bad place to be if at all the people in there are of your kind. Think.

naomba uyaweke hayo maneno kwa kiswahili ili na mimi nikuelewe vizuri
 
ulitaka michango ya watu ifanane na yako. acha udikteta mawazo yanatofautina baina ya watu na watu. ndio maana ni jukwaa huru kutoa maoni

Nilikuwa namaanisha watu kama wewe ambaye unakurupuka kuchangia vitu usivyoelewa. Tazama post yako unasema Dr Ulimboka alisagwa gololi zake mbili! ujinga, ujinga! kukurupuka tu bila hata examination ya huyo Dr ukajiridhisha kama hana hizo gololi na ukaja hapa kuosha kinywa tu? ujinga, ujinga.
 
Bana undani sisi hatuutaki tunakumbuka tu jinsi huyu mpuuz Ulimboka alivyowaua watu kwa upuuz wake na jinsi yeye pia alivyoshughulikiwa. Hasa kugeuzwa friji kwa kuingiziwa chupa ya fanta.
unasema aligeuka Friji?!! Duuuuu
 
Dhana nzima ya ule mgomo haikueleweka kwa watu wengi, mimi siwalaumu sababu asilimia kubwa ya watanzania wako ignorant na masuala ya afya, hawajui nani yuko responsible na afya zao, may be ule mgomo ulitakiwa ufanyike 2040 huko watu wangeelewa ila zilikuwa ni harakati za kisasa zilizoletwa kwenye jamii ya kizamani
 
I 100% agree
 
Back
Top Bottom