Huyu kaka yangu Lowasa aache kabisa kugombe kupitia CCM kwani tayari inaonekana ana maadui wengi ndani ya CCm hivyo hao maadui wataungana na CHADEMA na hapo atavuna aibu ya mwaka. Yeye abaki mzee mshauri tu
Lowassa anachoweza ni kuendesha HARAMBEE wewe!
Tena fisadi anayeng'ata na kupuliza kama panya
ni vigumu sana kuona ufisadi wa SLAA kwa vile umejificha kwenye mwamvuli wa kanisa.
wala usihofu dada yangu Nzenzu, mshindi atakuwa ni Tume Huru ya Uchaguzi. (THU)wanajamvi endapo itatokea hivyo unadhani ushindani utakuwaje? Tathimini yenu please!
Nape ajiandae kwa ukweli alioutoa kuhusu Lowa atakoma kwani watamchinjia mbali sana kwenye siasa.
ila kasi ya jamaa (lowassa) sio ya kupuuzwa, jamaa yupo serious na urais.
Lowasa=Kichuguu kilichojaa mchwa aka rushwa!!Wadau Nani hasa anafaa kuwa Rais wetu kwa maslahi ya taifa letu kati ya Dr.Slaa na Lowassa...kimisimamo na maamuzi naona kama wana fanana vile labda kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja na makabila yao yana uhusiano flani hivi,ila nina uhakika kwenye karama ya uongozi na vision za kimaendeleo wana utofauti mkubwa sanaa.we unaonaje?
Heshima mbele sana wakuu,
Najaribu kuichungulia 2015 miezi ya october endapo mchuano utakuwa ni kati ya hawa vinara wawili ni nani atakuwa na nafasi kubwa ya kuukwaa urais wa nchi hii.
Wote ni wanasiasa wa siku nyingi wenye heshima zilizotofautiana kutokana na historia na nyadhifa tofauti walizowahi au wanazozikalia hivi sasa,
Je come 2015 nani ataibuka kidedea endapo team hizi zinakutana kwenye viwanja sawa vya haki na usawa, bila zengwe wala mizengwe.
Mh onyesha busara ktk hili ndo maana nasema huwezi kuishi bila siasa,Lowassa anaweza kabisa kusimama akutoa hoja na majibu pamoja na maswali kwa Dr Slaa. Hawa ni kati ya watu ninaowakubali sana, Tz isingekuwa inapelekeshwa na kiinchi kama Rwanda mbele ya Slaa au Lowassa.Lowassa anachoweza ni kuendesha HARAMBEE wewe!