Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,421
- 283,665
nitajie faida tatu tu za uongo ulizopata tangu uanze tabia hiyo .Aliyoyasema jamaa ni yakweli kabisa ,tusijipe upofu eti kwakuwa ni wanachadema.Nani asiejua kuwa viongozi wetu wa chama ni wapiga deal?
Yataje alioyafanya kwanza tuweze kupima nilikuwa monduli mwez wa tatu hmna kitu.yaan maji ndo hata usiseme
Kama ni kwalinganisha Dr. Slaa na Lowasa basi ni ukweli uliowazi kuwa Dr. Slaa atachukua nchi. Ila tukija katika mizania inayoangalia usawa hiyo comparison sio sahihi hata kidogo. Dr. Slaa ni mzalendo kwelikweli na mpinga ufisadi kwa maneno na vitendo wakati Lowasa ni Fisadi aliyekubuhu. mimi nadhani ungempambanisha Dr. Slaa na mtoto wa mkulima (Pinda) hapo angalau tungekuwa na mizania sawa kwa sababu mtoto wa mkulima hatujasikia kashfa za ufisadi kwake.
Hata yeye slaa anajua kuwa atayeyuka kama barafu. Hata mwenyekiti wake Mbowe anaijua nguvu ya rafiki yake Edward. mapenzi yenu hayawezi kuwa reality kwenye kura ya simple stupid majority (aka democracy).
Heshima mbele sana wakuu,
Najaribu kuichungulia 2015 miezi ya october endapo mchuano utakuwa ni kati ya hawa vinara wawili ni nani atakuwa na nafasi kubwa ya kuukwaa urais wa nchi hii.
Wote ni wanasiasa wa siku nyingi wenye heshima zilizotofautiana kutokana na historia na nyadhifa tofauti walizowahi au wanazozikalia hivi sasa,
Je come 2015 nani ataibuka kidedea endapo team hizi zinakutana kwenye viwanja sawa vya haki na usawa, bila zengwe wala mizengwe.
Chedema mpooo??? Fisadi kaja kwenu mkampisha alale na wake zenu hahahahhaba siasa hizi