Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.


Moderator nadhani kuna makosa ya kiuandishi hapo juu.

Hadi tarehe hiyo na mwezi huo tayari tuka kuwa na amiri Jeshi Mkuu wa JMTanzania/Tanganyika.


CC @Sr.Magdalena
 



haya kumekuchaaaa!!!! Sema kweli, kati ya hawa wawili nani kiboko zaidiii??? "a" kwa ngoyayi lowassa, na "b" kwa dkt. Slaa.

 

Attachments

  • eDWARD.jpg
    9.6 KB · Views: 1,224
  • Dkt Slaa.jpg
    36 KB · Views: 355
Hakuna mwenye uwezo wa kushindana na Dr.Slaa .Lowasa hafai kugombea uraisi wa tanzania
 
Dr Slaa for presidency. Believed in 2011 and still the guys is determined despite of all rifts from ccm. Now the light is clear the country is coming to wananchi
 
Sasa ndo nini uchaguzi October 2015 wewe kura yako ya maoni unafunga April 2016.Hukujipanga mkuu unampeleka mgonjwa kwa daktari baada ya kufa au unaenda kufanya postmoterm
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…