wewe nzenzu ongea pole pole Nape na wale madogo aliowanunua CDM juzi juzi wakikusikia watakutoa kucha na meno bila ganzi, hii ni siri, wote tunajua ila mwenzetu imeanza kuvuka mipaka. lowassa ndani ya CCM ni jembe ulaya.wanajamvi endapo itatokea hivyo unadhani ushindani utakuwaje? Tathimini yenu please!
Mkuu huwezi kulinganisha Mwadilifu na Fisadi labda Lowassa na Chenge
Mzinzi anasalimisha roho za watu? Kweli hiki kizazi hakimuogopi mungu.Heri mzinzi musalimisha roho za watu kuliko jambazi anae pora mali za watu na roho zao.
huyu huyu Lowassa mlieyesema ni gamba, leo hii kawa baniani kiatu chake kizuri? ningekuwa mimi lowassa ningewaonyesha shughuli nyie ma poli-ccm na huyu sitta wenu.Nani mwadilifu, SLAA acha mambo yako wewe, mtu analipwa mil.12 kwa mwezi bila kazi, kujikopesha peza cha chama anavyopenda, kila siku safari za nje yeye na mchumba wake kwa ruzuku za chama halafu unasema mwadilifu? Koma wewe.
Siyo kihivyo mkuu, lakini labda useme ni afadhali kuliko PADRE.truly lowassa has got a lucky necklace, no 1'll dare try 2 defeat him, best wishes lowassa
Nani mwadilifu, SLAA acha mambo yako wewe, mtu analipwa mil.12 kwa mwezi bila kazi, kujikopesha peza cha chama anavyopenda, kila siku safari za nje yeye na mchumba wake kwa ruzuku za chama halafu unasema mwadilifu? Koma wewe.
Jambazi na PADRE. nchi yetu haina dini na haiwezi kuongozwa na Kiongozi wa dini.
huyu huyu Lowassa mlieyesema ni gamba, leo hii kawa baniani kiatu chake kizuri? ningekuwa mimi lowassa ningewaonyesha shughuli nyie ma poli-ccm na huyu sitta wenu.
hatuwezi kuingia kwenye fikra za mwalimu, mwalim ni yeye na sisi ni sisi, lowassa aje asema kila kitu; ajitetee kwa nini mwalimu alimkataa, pia atuambie kwa nini sisi watanzania tusimwite yeye ni fisadi numberi moja, hiyo ni pamoja na swahiba wake chenge, mgombea mwemza wake, yule mzee wa vijicenti.hv watu na akili zao kabisa wasahau hata maneno ya mwalimu jamani? Kuwa lowassa afai...na bado watu wawe na nia ya kumpa kura lowassa? Angalia swahiba wake alipoifikisha nchi leo...watumishi wa serikali ndo wanaongoza kwa kuwa na majengo mazuri ya kifahari tena ya ghalama kubwa....leo lowasa anasema yeye hana pesa ila marafiki zake ndo wanamchangia atakuja kuzilipa vp hizo pesa? Na hao marafiki zake si ndo majambazi wa mali za wananchi? Sikupenid lowasa na ccm yako.
Siyo kihivyo mkuu, lakini labda useme ni afadhali kuliko PADRE.
sijakurupuka kama ndege anazopanda popo wenu, kila siku angani as if kaziona baada tu ya kuiba kura!! usinitakie ban jtatu hii nyangau wenye!!!! lowasaa kawashika kwenye ma-pu-mbu - hamtoki wewe na Nape.Pilipili usizozila, jibu hayo niliyoyasema kuhusu PADRE siyo unarukaruka kama ndege aliyenaswa kwenye kiota chake.
bora slaa na magufuri
anafaa wapi? mfumo wote wa CCM umeoza!!Maghufuli anafaa sana, tumeona juhudi zake. SLAA unampa credit kwa kuangalia nini? uropokaji wake wa mambo anayodai kupewa na wale anaowaita watoa habari wake?
Ni bora Padre aliyeonyesha nia ya kuwatumikia wananchi bila kuwabagua kuliko FISADI aliyesabisha mpka leo mama zetu, dada zetu wanazalia chini, watoto wetu wanapata elimu duni, na leo anapita makanisani na misikitin kurudisha kurudisha kidogo kati ya vingi alivyotuibia...!
Watanzania milioni45 wote hawana sifa za kuwa Rais kumzidi Lowasa?
Aibu kubwa hii.