Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.

Pamoja sana kamanda.
 
Hakuna dr. Slaa wala nani kwanza mtu mwenyewe hana hata mbele wala nyuma hadhi ya urais hana!!!!!! Yupoyupo tu hayo yote ni maneno matamu anayoongea ili wananchi wamuamin wajue ni mtu mwema kumbe hana lolote ni kampain tu ataishia kunawa tu nakula kwa macho labda ahame chama
 
Samahan km hili neno litatoa tafsiri tofauti kwenu ila ni waz kwamba tunahitaji kiongozi mchapa kazi, jasiri na mwenye kuchukua maamuzi magumu NA YAKAWA MAAMUZI MAGUMU KWELIKWELI. Kwa hali ya nchi hii kwa sasa ni.wazi kwamba rais ajaye atakuwa na KAZI NZITO mno ya kurekebisha na kusafisha uchafu wote na kuponya vidonda vyote vya watanzania vilivyoachwa na serikali inayomaliza muda wake. Tunatakiwa kuwa makini katika kuchagua wa kumsulubu na kumtwisha mzigo huu mzito. Katika polls mbalimbali zinazoendelea zimeonesha kwamba Edward Lowassa anaongoza kwa upande wa Chama tawala na Willbroad Slaa kwa upande wa Upinzani. Je kati ya hao YUPI ANA NGUVU ZAIDI YA KUUBEBA MZIGO HUU??
 

Nyinyi ndo mlituchagulia Kichwa cha nazi kisa eti ni handsome. Handsome na uongozi ni vitu viwili Tofauti. Labda naomba utujuze, mtu Mwenye hadhi ya Urais yukoje. Maana inaonesha Slaa anafaa ila hana hadhi. Naomba unijuze.
 
CHADEMA kwa sasa iko vizuri na kina nguvu..lakini Dr Slaa hana hekima ya kutosha ya kuongoza nchi kama Tanzania hasa kwa kauli zake..UKAWA wachague mgombea mwingine kwa makini zaidi
 
CHADEMA kwa sasa iko vizuri na kina nguvu..lakini Dr Slaa hana hekima ya kutosha ya kuongoza nchi kama Tanzania hasa kwa kauli zake..UKAWA wachague mgombea mwingine kwa makini zaidi

Mwenye hekima yupoje ama kweli nabii hakubaliki kwao kusoma hujui hata picha?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…