Kamanda.... Link ya uzi huu ipo hapo chini mwisho wa mada yako. Kwa kuwa content zinafanana ndio maana nimeipata kwa urahisi ni kitendo cha ku-copy link na ku-paste.
Wanaomlinganisha Lowassa vs Dr.wa ukweli wanajikita kwenye ishu za mwenye pesa nyingi lakini wakija katika vigezo halisi ukweli upo wazi kama naniiu ya nyani siku zote imekaa wazi nje
samplespace ya watu milioni zaidi ya 40 unaichukua kama 720 tena kwenye interne unasahau asilimia kubwa ya wananchi wa tanzania wanaishi vijijini... Hii ya JF si authentic hata kidogo.....
Bawacha na Bavicha kwakujipa moyo siwawezi... slaa ni rais wa kuchukua wake za watu tu . magogoni kuna wenyewe . kama una bisha tunaweza ku bet kwa kuwekeana hela .
Bawacha na Bavicha kwakujipa moyo siwawezi... slaa ni rais wa kuchukua wake za watu tu . magogoni kuna wenyewe . kama una bisha tunaweza ku bet kwa kuwekeana hela .