Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
hope lowasa kama sokoine! ile lowasa lazima aendane na hali halisi ya sasa kwamba huwezi ukawa rais bila kutumia pesa! ata sokoine pengine angevuta subira kidogo apate urais then aanze ku deal na wale wahujumu uchumi but yeye alipata uwaziri mkuu tu akaanza shugul pevu ile then kilichotokea ndo ivo tena! so lowasa saiv lazima akae na mafisad vizuri aonekane kama wao pia lazima aibe pesa ili azitumie kuupata huo urais the baada ya hapo sasa ni kiamaaaaaaaaaa! sipat picha
Kwa wizy