Mbona viewers ni 36,000 plus ila wapiga kura ni 1000tuuuuuuuu
Mbona viewers ni 36,000 plus ila wapiga kura ni 1000tuuuuuuuu
Kumbuka huwezi piga kura kama hujajisajil kama member hapa JF.Mbona viewers ni 36,000 plus ila wapiga kura ni 1000tuuuuuuuu
Kumbuka huwezi piga kura kama hujajisajil kama member hapa JF.
Sio kila viewer ni member .You can view as guest but not as a member
Hadi sasa haoni upepo unakokwenda?...
Lini la kufa likasikia dawa?
Tunasubili wakati, and they will appreciate our stronghold determinations within our minds and hearts...
Slaa baaas
Tepeli ampe nani urais mwizi wa wake za watu