Wengi wa Watanzania hawaoni mbali. Rushwa kwao ndiyo msingi wa kumpigia mtu debe. Kwa dhati kabisa CCM inatakiwa kuondolewa madarakani kwa uchafu unaoendelea katika nchi yetu wakiwa ndiyo Chama Tawala. Ufisadi, wizi wa fedha za umma, Ujangili, Fedha kutoenda kwenye Halmashauri kwa shughuli za maendeleo huku bajeti ilipitishwa na sababu nyingine nyingi ni sababu tosha ya kuondolewa madarakani tumweke Jembe Dr. Slaa anyoshe nchi hii.