tunataka kuwaonyaa wanao andika jina la lowasa bila kuwa na uwakikaa na wanacho kisema..! tumeahidi tutadili nao..mumemsema sana..sasa imetosha subirini vitendo.
Hongera, mpaka sasa idadi yenu imefikia watu 38 sawa na asilimia 5.74% ya waliopiga kura! Nawatakieni kila la heri hata hivyo usiwe na hofu, mwisho wa kupiga kura ni tarehe 3/5/2014.
Mods; Paw, PainKiller, Fang na Cookie, naomba hii poll iwe Sticky...watu wanashindwa kuiona ili waweze kupiga kura.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.