nimehangaika kila njia niweze kupiga kura yangu.
kwa sisi watumia simu huwa nagusa hapo kwenye touch then natafuta mada husika napiga kura kwenye hii poll sijaona.
kama kuna mtu anaweza kunipa maelekezo ani pm ila kura yangu inaenda kwa dr slaa!
hamna hata mmoja mwenye sifa hapo. lowasa anatuhuma za wizi kutoka kila kona na slaa anamtazamo finyu. eti ndani ya mwaka mmoja ataigeuza tanzania kuwa nchi ya viwanda, eti ndani ya siku 100 atakuwa amewapatia watanzania katiba. kichekesho.