Hii kura za Pro-Chadema JF na multiple IDs za kumwanga huwa zinamdanganya sana Dr.Slaa, kila siku anaibuka mshindi.
Akienda kwenye mahakama ya raia anashindwa vibaya mwisho wa siku analalamika Usalama wa Taifa wameiba kura zake.
Dr.Slaa hongera kwa ushindi wa JF watanzania wanakusubiri kwenye box la kura.
jaman mods me naona utaratibu wa kupiga kura haueleweki.. me nimejitahidi kupiga k6ra lakini sipati la k7chagua wahusika Dr. au EL. nikibofya kwenye "vote now" inaniambia nirudi nyuma kuchagua option .. naomba maelekezo zaidi otherwise. mods plse make the voting easierbto follow
ccm msijidanye kurudi ikulu njia zimefungwa tena huyu tyson hata ndani ya chama chake hakubaliki, alipewa kura za huruma za nec 2012
Slaa baaas