Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Izo siasa nzito nzito za uyo slaa ziko wapi, za kufukuzana uanachama au kupiga makelele yaleyale tu majukwaani kila siku mnaongelea epa ambayo kesi ziko mahakamani.

hucheki goma la UKawa lilivyowakalia kichwani. Hehe.
 


UKAWA imebeba maoni ya wananchi na suala la kutengeneza Katiba sio suala la rais, serikali wala chama chochote bali ni la wananchi.



ni kweli madhara ya kupoka mamlaka ya wananchi ndiyo haya!!, Kwa hili la katiba Rais ndiye Refalii wa mchezo, sasa anapotaka na yeye kuanza kucheza inakuwa vurugu mechi!!

Dr. Slaa ana tunu ya uongozi.
 
Sema wewe kaka nikisema mim wanasema nimetumwa watu wanashindwa kutofautisha kati ya kupiga kelele na kutumikia wananchi dr slaa ni bingwa wa kukoroma tu huo uadilifu hana hata kidogo anaiba wake za watu hafai kuwa rais

EPA, ESCROW ndio uadilifu, sawa bwana.
 
Tukumbuke hata 2010 dr. Slaa hakupenda kugombea urais bali alipendekezwa na chama chake!kiongozi yeyote makini na anayefaa hupendekezwa na watu wenyewe..na si kukimbilia madaraka.hongera dr..maoni yangu ni kuwa bado ungetufaa sana 2015 kama uzima utakuwepo.Mungu akulinde wakati wote!

Usitufanye sisi watoto dr slaa alipendekezwa na nani. Ye mwenyewe alijipendekeza kwa kuwapa mashart chadema kwamba hata akishindwa chama kimlipe mshahara sawa na wabunge.

Mnafiki tu slaa.
 
Mkuu, hivi umemuelewa Weston Songoro? Kama mpo kwenye umoja maana yake ni kwamba upande mmoja hauwezi kujipangia mgombea urais. Lazima pawe na makubaliano ya pamoja

We demu unakiherehere.ndo tatizo la kuliwa tigo
 
Mkuu...Relax..taratibu mkuu...usiwe na presha sana...kwani nani kasema siasa uadui mkuu?

kwa mantiki hizi za kuiba rasilimali zetu kuiba pesa za tegeta escrow kuuwawa wanyama wetu bila mpangilio madini hayanufaishi nchi kwa namna yeyote mikataba ya kishoga tupo hatua zaidi ya bilion mia nyuma na spid ya maendeleo ya dunia kweli ndo mtu uwe mnafki useme siasa ni urafiki? .. kwanza ccm wanafanya ujambazi,ujangili, dhurma wala sio siasa ni ujinga kusema ccm ni chama cha siasa
 
Kikwete aliiba kura za urais na ubunge? Mbona mliambulia wabunge 23 tu? hata Slaa angeshinda urais angewezaje ku-survive na wabunge 23? Uongo mwingine hata haufanani na ukweli.

Mmmhhh....
 
uungwana ni vitendo, hata mwanzo hakutaka allitikia mwito wa chama chake. Ritz hebu kua kidogo.
we communist nae bhana. Unaumiza kichwa kwa ajili ya ritz?????????? Hebu mwambie yeye akanushe wizi wa mjomba na dingi kama atakanusha
 
Katika tafakuri yangu ya siku. nimejikuta na jina la Dr.Slaa pekee kama mmoja wa mpenda haki na kiongozi asiyeyumba nchini Tanzania. Hii ni kwa mjibu wa kuchunguza viongozi wa vyama vyote vya siasa. Dr.Slaa anafuatiwa na Jiji Warioba ambaye kwa uzalendo uliotukuka ameandika pamoja na tume yake, rasmu ya katiba mpya kwa kuweka mbele masrahi ya taifa la leo, kesho na kesho kutwa huku chama chake kikitaka kuandika katiba ya leo, jana na juzi.

Dr.Slaa next president for 2015/2020.
 
Arudishe kwanza mke wa mtu aliyempora. Pia aungame na kumrejea Mungu na mwisho arejee kazi yake ya Upadri ambayo ilikuwa inamkurubisha kwa Mungu
 
Huyu ni tumaini la misukule ya chadema. Hata msukule mkuu Mbowe hamuamini na ndiyo maana naye anajiandaa kugombea urais
 
Hao uliowataja wameshachuja kisiasa.
Dr slaa aendelee kuimarisha chama chake huko mitaani.
Warioba alipewa kazi akadharau hadidu za rejea alizopewa mwisho ameleta mkanganyiko mkubwa kama hivi.
Huu uzi uko chini sana.
 
Magamba acheni kuweweseka dr slaa ni kiboko yenu ndiye anaye sababisha mnasomba watu na malori kwenye mikutano yenu
 
Dr.Slaa ndiyo tamplate ya uongozi bora na uwajibikaji.Tazama vijana wanaotumia hii tamplate walivyo,kina Mnyika,Lisu,Makene,Ben,Yericko nk.Linganisha na Zito
 
Dr.Slaa ndiyo tamplate ya uongozi bora na uwajibikaji.Tazama vijana wanaotumia hii tamplate walivyo,kina Mnyika,Lisu,Makene,Ben,Yericko nk.Linganisha na Zito
Dr slaa yule mzinzi anayeishi na hawara aliyekuwa mke wa mahimbo akampora?
 
Bila Dr.Slaa, siasa za Tanzania zingekuwaje?. Dr.slaa amethubutu kuwangalia watu machoni na kuwambia uchafu wao. Nani anaweza kazi hiyo?
 
Back
Top Bottom