Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Amechoka sana angalia ngozi ilivyochujuka duuh uzee wote huo kwanini asitulie?

Utamfananisha na yule mwenye nywele nyeupe mwenye kiharusi? Nasikia hajiwezi siku hizi hadi ananyea kwenye POT.
 
Slaa,Mbowe na Tundu Lissu.
Miongoni mwao,mmoja ni rais mteule .
 
Kiongozi wa watu huwa na maono ya mbali,

Dr Slaa ni mfano wa kuigwa Tanzania, nitapigania kwa uwezo wangu wote kuhakikisha taifa lipate kiongozi kama yeye!
 
Katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbrod Slaa

DK. Willbroad Slaa "Sifikirii kuelekeza nguvu zangu kwenye kuwania urais 2015 wapo watu wengi wenyesifa ktk kundi la UKAWA.Kila kitu kitafanywa kwa wakati muafaka,kazi iliyopo mbele yangu ni kupigania umoja wetu wa UKAWA ili kuleta ushindani wa kweli katika uchaguzi 2015.

Akizungumzia hatua ya UKAWA kususia Bunge Maalumu la Katiba Dk. Slaa alisema umoja huo uko sahihi kwani umesimama upande wa wananchi, niaheshimu uamuzi wa Viongozi wangu Mh Freeman Mbowe Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia.

UKAWA imebeba maoni ya wananchi na suala la kutengeneza Katiba sio suala la rais,serikali wala chama chochote bali ni la wananchi.

Serikali ina viongozi vigeugeu kwa sababu ni wao ndio waliosaini rasimu ya Katiba mpya, lkn cha ajaabu wao ndio wanageuka na kutaka yajadiliwe mambo ambayo hayamo ndani ya rasimu ya Tume ya Jaji Joseph Warioba."

Chanzo:Mtanzania Juni 11-2014

My take😀r slaa ni kiongozi mtiifu

Muongo huyo.
 
Mhhhh!! yaani jamaa walivyokurupuka kwa furaha kusikia tamko ilo utafikiri walikuwa wanalisubiri kwa hamu, Imebidi nicheke michango ya Ritz, Msalani, Mwa4, Likwanda, Gsu ilivyokuwa inaandamana kwa furaha!! Kwa hiyo mmepata haueni ehee??? Chadema ni taasisi yeyote atakayegombea itakula kwenu mmeharibu nchi watu wameshawajua na sasa UKAWA nguvu kamili

Katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbrod Slaa

DK. Willbroad Slaa "Sifikirii kuelekeza nguvu zangu kwenye kuwania urais 2015 wapo watu wengi wenyesifa ktk kundi la UKAWA.Kila kitu kitafanywa kwa wakati muafaka,kazi iliyopo mbele yangu ni kupigania umoja wetu wa UKAWA ili kuleta ushindani wa kweli katika uchaguzi 2015.

Akizungumzia hatua ya UKAWA kususia Bunge Maalumu la Katiba Dk. Slaa alisema umoja huo uko sahihi kwani umesimama upande wa wananchi, niaheshimu uamuzi wa Viongozi wangu Mh Freeman Mbowe Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia.

UKAWA imebeba maoni ya wananchi na suala la kutengeneza Katiba sio suala la rais,serikali wala chama chochote bali ni la wananchi.

Serikali ina viongozi vigeugeu kwa sababu ni wao ndio waliosaini rasimu ya Katiba mpya, lkn cha ajaabu wao ndio wanageuka na kutaka yajadiliwe mambo ambayo hayamo ndani ya rasimu ya Tume ya Jaji Joseph Warioba."

Chanzo:Mtanzania Juni 11-2014

My take😀r slaa ni kiongozi mtiifu

Kiongozi wa watu huwa na maoni ya mbali,

Dr Slaa ni mfano wa kuigwa Tanzania, nitapigania kwa uwezo wangu wote kuhakikisha taifa lipate kiongozi kama yeye!

Ndo mana umekuwa kibaraka wa Membe? Nasikia umepigika kimaisha kiasi cha kuruhusu utumike kama mpira wa kinga
 
Nitamchukulia fomu ya kugombea NEC, sijaona mwingine bado mwenye uwezo kama yeye
 
Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.

hawezi kupata,nchi ya waungwana haiwezi ongozwa na m2 aliye2mikia umr wk wot ktk uzinzi
 
Huyu mzee akikaa pembeni ndio mtakuja kutambua kisawasawa thamani yake.......wengine tunaojua potential yake ktk siasa za nchi hii daima tunamheshimu kwa muda wake kusimamia ukweli bila woga kwa kujali wanyonge.....
 
Dk Slaa ni mtiifu...aa heshima...he knows what he is doing....Anajua kusimamia maamuzi ya kitaasisi...Leo hii kama Dr slaa asingekuwa katibu mkuu wa CHADEMA wala tusingekuwa tunaisikia CHADEMA kila siku...Just see him....hata makuu...simu ya nokia ya tochi....Angalia unyenyekevu wake...si mroho wa madaraka...what a leader...Long Live Dr slaa.......Wakisikia jina lako wanakutukana sana...lakini UKITUKANWA NA ADUI ZAKO FURAHI KWA SABABU UNAWAGUSA PALEPALE
 
Katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbrod Slaa

DK. Willbroad Slaa "Sifikirii kuelekeza nguvu zangu kwenye kuwania urais 2015 wapo watu wengi wenyesifa ktk kundi la UKAWA.Kila kitu kitafanywa kwa wakati muafaka,kazi iliyopo mbele yangu ni kupigania umoja wetu wa UKAWA ili kuleta ushindani wa kweli katika uchaguzi 2015.

Akizungumzia hatua ya UKAWA kususia Bunge Maalumu la Katiba Dk. Slaa alisema umoja huo uko sahihi kwani umesimama upande wa wananchi, niaheshimu uamuzi wa Viongozi wangu Mh Freeman Mbowe Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia.

UKAWA imebeba maoni ya wananchi na suala la kutengeneza Katiba sio suala la rais,serikali wala chama chochote bali ni la wananchi.

Serikali ina viongozi vigeugeu kwa sababu ni wao ndio waliosaini rasimu ya Katiba mpya, lkn cha ajaabu wao ndio wanageuka na kutaka yajadiliwe mambo ambayo hayamo ndani ya rasimu ya Tume ya Jaji Joseph Warioba."

Chanzo:Mtanzania Juni 11-2014

My take😀r slaa ni kiongozi mtiifu

wewe ni mnafiki na mchumia tumbo Tanzania umegeuza watanzania kitega uchumi chenu? unafiki wa nini? siasa sio uwadui?
 
Mshaurini atafute jiko kwanza.

Hivi kuwa Rais ni lazima uwe na jiko? Ni matakwa ya Katiba au umeongea tu kwa kuwa jina lako linakuruhusu kutamka chochote? Ibara ya 39 ya Katiba ya JMT ya mwaka 1977 inataja sifa za mtanzania anastahili kuchaguliwa kuwa Rais wa JMT, hakuna popote panataja lazima uwe na jiko. James Buchanan alikuwa Rais wa Marekani asiekuwa na mke.... Rais Cleveland alioa baada ya kuingia Ikulu ya Marekani..... Thomas Jefferson, Andrew Jackson, Martin Van Buren na Chester Arthur kwa vipindi fulani wamekaa Ikulu bila kuwa na Wake. Ikiwa Marekani hawana tatizo na hilo inashindikana vipi kwa Tanzania ambayo Katiba yetu haitoi sharti hilo! Ian Khama amekuwa Rais wa Botswana akiwa Single. Ukiacha Mwalimu Nyerere, hao viongozi wengine waliokaa Ikulu, wake zao waliwasaidia nini Watanzania zaidi ya kuwa wafanyabiashara na pengine wakwepa kodi? Kwako kiongozi Bora ni aliye na Mke? Hata hivyo jina Msalani linakuruhusu kutamka utakavyo.
 
wewe ni mnafiki na mchumia tumbo Tanzania umegeuza watanzania kitega uchumi chenu? unafiki wa nini? siasa sio uwadui?

Mkuu...Relax..taratibu mkuu...usiwe na presha sana...kwani nani kasema siasa uadui mkuu?
 
Back
Top Bottom