Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Tunaelekea kufanya uchaguzi ndani siku 400 hivi,watz lazima wajue sasa ni aina gani ya serikali waitakayo,ni aina gani wa kiongozi anayetufaa pia sera zipi zinatufaa.Mwaka 2010 Dr.Slaa alipofika kijijini kwetu na kumsikiliza hakuna kitu nilichofurahia kama kuondoa kodi ktk vifaa vya ujenzi pia kuondoa ada ktk elimu ya msingi na secondary pia kuaza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 alisema.Nilifanya uamuzi wa kumpigia kura mara baada ya kumaliza hotuba yake.Rais Kikwete naye alifika na yeye pamoja na timu yake walikandia kila kitu alichosema DR. pale.Sasa muda umepita na yale yale ambayo DR alisema ndiyo naona wanafanya kwa zima moto maana hawakujiandaa.Mfano safi kabisa ni kuandika katiba,mambo hovyo kabisa.Sheria hazifuatwi tena na sisi wananchi tumepotezwa maana haujui majukumu ya vyombo husika katika mchakato huu.Mimi ninaye wa kumwajibisha ni Rais Kikwete.Tume kuwachangua kiongozi kutoka kundi hilo.:flame:

Bado sijaona sababu ya kunifanya nimkubali SLAA, umepiga porojo tu
 
- Yaaani Tanzania tutakuwa na Rais wa kwanza asiye na mke na miaka 75 this is a joke man!!

Le Mutuz
 
Baba yako alibadilisha dini ili awe waziri mkuu enzi za Mwinyi>>>>>>>> Na wewe unakumbuka aliyekuchora tatooo kwenye makaliooo???!!! Bisha ili tuiweke picha ya makalio yako..
 
Tunaelekea kufanya uchaguzi ndani siku 400 hivi,watz lazima wajue sasa ni aina gani ya serikali waitakayo,ni aina gani wa kiongozi anayetufaa pia sera zipi zinatufaa.Mwaka 2010 Dr.Slaa alipofika kijijini kwetu na kumsikiliza hakuna kitu nilichofurahia kama kuondoa kodi ktk vifaa vya ujenzi pia kuondoa ada ktk elimu ya msingi na secondary pia kuaza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 alisema.Nilifanya uamuzi wa kumpigia kura mara baada ya kumaliza hotuba yake.Rais Kikwete naye alifika na yeye pamoja na timu yake walikandia kila kitu alichosema DR. pale.Sasa muda umepita na yale yale ambayo DR alisema ndiyo naona wanafanya kwa zima moto maana hawakujiandaa.Mfano safi kabisa ni kuandika katiba,mambo hovyo kabisa.Sheria hazifuatwi tena na sisi wananchi tumepotezwa maana haujui majukumu ya vyombo husika katika mchakato huu.Mimi ninaye wa kumwajibisha ni Rais Kikwete.Tume kuwachangua kiongozi kutoka kundi hilo.:flame:
Nami wapigwe tu nafaaa.... nipeni kula zenu muone maajabu yangu.
 
Wakati cdm wanasema kutoa elimu ya sekondari bure, ccm ilipoda na kusema haiwezekani, sasa hivi ccm wanakiri kuwa cdm wako sahihi elimu ya secondari "bure" inawezekana!
 
Kwan Rais wa Botswana ameoa..kuoa ni maisha binafsi..hiyo ni weak point..hao waliooa wamefanya nini..embu acheni kuwaza kama watoto wa darasa la pili..wapi imeandikwa kwenye katiba ili uwe rais lazima uwe umeoa
 
Tunaelekea kufanya uchaguzi ndani siku 400 hivi,watz lazima wajue sasa ni aina gani ya serikali waitakayo,ni aina gani wa kiongozi anayetufaa pia sera zipi zinatufaa.Mwaka 2010 Dr.Slaa alipofika kijijini kwetu na kumsikiliza hakuna kitu nilichofurahia kama kuondoa kodi ktk vifaa vya ujenzi pia kuondoa ada ktk elimu ya msingi na secondary pia kuaza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 alisema.Nilifanya uamuzi wa kumpigia kura mara baada ya kumaliza hotuba yake.Rais Kikwete naye alifika na yeye pamoja na timu yake walikandia kila kitu alichosema DR. pale.Sasa muda umepita na yale yale ambayo DR alisema ndiyo naona wanafanya kwa zima moto maana hawakujiandaa.Mfano safi kabisa ni kuandika katiba,mambo hovyo kabisa.Sheria hazifuatwi tena na sisi wananchi tumepotezwa maana haujui majukumu ya vyombo husika katika mchakato huu.Mimi ninaye wa kumwajibisha ni Rais Kikwete.Tume kuwachangua kiongozi kutoka kundi hilo.:flame:

Mkuu unapomtaja Dr Slaa mapepo ya Lumumba yanawapanda buku 7fc,ona wanavyonena kwa lugha isiyojulikana.
 
Mkuu hicho ndo kiboko cha ccm hapa Lumumba nzima itaingia kwenye hii thread kujaribu kuzima! Wananchi wakaze hapohapo maana ndipo kwenye maumivu yao!

Sasa hivi wamebaki kuzima moto sera za chadema eti wanafikiria kufuta ada ya sekondari wakati walisema haiwezekani!
 
Back
Top Bottom