Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Kwani si kuna makubaliano kuwa UKAWA mtasimamisha mgombea urais mmoja? Iweje sasa mumpigie chapuo Dr Slaa?

Tunazungumzia kiongozi anayeongoza kung'ara mbele ya macho wa watanzania. Mpaka sasa Dr. Slaa anaongoza kwa mbali sana
 
Mpaka mwaka huu ui she CCM itakuwa imeshajizika maana sasa imekufa haijafika ndio maana kuna harufu mbaya .....
 
Mkuu, hivi umemuelewa Weston Songoro? Kama mpo kwenye umoja maana yake ni kwamba upande mmoja hauwezi kujipangia mgombea urais. Lazima pawe na makubaliano ya pamoja

Upeo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana.

Hao waliotaja Dr Slaa anafaa ni wananchi wenyewe.

Ukawa inahusika vipi hapo? Acha kujitia upofu.Unatia watu kinyaa bure!
 
Ile asilimia 10 iliyobaki kwa January makamba kutangaza rasmi kugombea urais alisema itategemea mambo kadhaa, ambapo imejulikana wazi kuwa jambo kubwa ni iwapo Dr Slaa atatangaza kugombea ili jamaa aghairi!
 
Kwani si kuna makubaliano kuwa UKAWA mtasimamisha mgombea urais mmoja? Iweje sasa mumpigie chapuo Dr Slaa?

Acha kujifanya punguani wewe!

Watanzania wote sasa wamekuwa Chadema kiasi kwamba mtu yeyote akitoa maoni basi iwe nongwa?

Kwani hata kama ingekuwa ni wanachadema wamesema kosa liko wapi?

Kwamba kujiunga na Ukawa iwe kosa kusema Dr Slaa anafaa kukabidhiwa Ikulu?
 
Sifa ya uadilifu inapimwaje kwa mtu ambaye hajakabidhiwa mamlaka yoyote kuiongoza?
Duuu, kweli wewe una akili ndogo kiasi kwamba hata kwenye kisude haijai....uongozi upi unaotaka Dr Slaa akabidhiwe...
 
Dr Slaa hafai.

Kaahindwa kutunza familia yake ikulu ataiwezea wapi atatuletea laana.

Pale kwenye Ukawa ni bora Lipumba au Mbatia.

Slaa ajifunze kuongoza familia kwanza.
 
katibu mkuu wa chadema dr wilbroad slaa amewatimulia vumbi watu wote wanaotajwa kugombea urais mwaka 2015

katika maoni ya wananchi katika kipindi maalum kilichorushwa na radio highlands fm kuhusu nani anafaa kuwa rais mwakani idadi kubwa ya wananchi waliohojiwa walimtaja dr slaa kama mtu aliyekidhi vigezo vyote.

Katika watu 32 waliozungumza moja kwa moja watu 19 walimtaja dr slaa kama mtu anayefaa huku edward lowassa akifuatia kwa mbali kwa kutajwa na watu 7 wengine waliotajwa ni bernard membe,samwel sitta na harrison mwakyembe.

moja ya sifa alizopewa dr slaa na waliomtaja ni uadilifu na ujasiri wa kufichua maovu bila kumuogopa mtu.

Dr slaa ambaye kwa sasa ndiye mwanasiasa maarufu zaidi nchini hajawahi kutamka kama atagombea urais mwakani ingawa kuna shinikizo kubwa ndani na nje ya chama chake kumtaka afanye hivyo.


jamani samahani kama nitawakwaza hivi huyu jamaa dr mwakyembe ametangaza kugombea uraisi napata hofu kwani ufuatiliaji wangu unaonesha antajwa kila kona hata humu jf kama hauamini fuatilia pia naomba kufahamishwa.
 
I personally don't like him.Its a joke Slaa to be a President maybe local government
Kwani rais lazima umpende wewe!?, hata hivyo hatutegemei aungwe mkono na majangili na watoto wao....
 
Sifa ya uadilifu inapimwaje kwa mtu ambaye hajakabidhiwa mamlaka yoyote kuiongoza?

Sema wewe kaka nikisema mim wanasema nimetumwa watu wanashindwa kutofautisha kati ya kupiga kelele na kutumikia wananchi dr slaa ni bingwa wa kukoroma tu huo uadilifu hana hata kidogo anaiba wake za watu hafai kuwa rais
 
Hawezi shinda akagombee ubunge Kama mrema maana biashara ya jumla ni ya ccm tuu ukawa waende kwenye reja reja


Ndio Maana mnachakachua ili mbaki na biashara ya Jumla? Sasa tumejua janja yenu jitarisheni na nyie kuwa wapinzani sana
 
Ulitaka akabidhiwe mamlaka gani zaidi ya hayo aliyokua nayo wacha kuka kilumumba nakuongea utumbo

Hoja hapa ni kwamba Mh. Slaa ni muadilifu kuliko "PRESIDENTIAL ASPIRANTS" wote, sasa amepimwaje? Angalabu Mh Mohonga amepewa wizara ya Nishati sasa hivi tunatafutana zilipo 400 billion lakini kabla ya kuwa Waziri yeyote angeweza kusema kuwa ni Muadilifu
 
Hata hivyo siyo yeye anayeamua kugombea,bali ni watu
wanampendekeza,huyu Dk ana akili za kuzaliwa,wengine
hawaoni hizi akili kubwa,wamebaki kwenye akili ndogo.
Tanzania hatutaendelea kama tutaendelea na siasa za aina
hii nyepesi nyepesi watu wanachukua mali sisi tunabaki
kuwatetea.hii ajabu kabisa ya Dunia.

Izo siasa nzito nzito za uyo slaa ziko wapi, za kufukuzana uanachama au kupiga makelele yaleyale tu majukwaani kila siku mnaongelea epa ambayo kesi ziko mahakamani.
 
Back
Top Bottom