ATAKAYENIBISHIA NA ANIBISHIE LAKINI UKWELI NDIO HUU: Mtindio wa ubongo haujamuacha Ritz na Lizaboni empty kabisa. Nafikiri ipo sehemu ya ubongo wao ambao haijaathirika kabisa and we should admit that the guys are making good use of the portion.
Serikali ya CCM imetufikisha mahali ambapo ukitaka huduma ya kijamii lazima uandamane au UWE UNAFAHAMIANA NA MTU WA NDANI. Katika hali hii, imejengeka tabia ya kupenda kujipendekeza au kuonesha misimamo mizito hata kabla hatujaombwa rushwa.
Mimi ushauri wangu kwako Mkuu Ritz, haihitaji kufahamiana na Dr.Slaa ndio utibiwe CCBRT. Ulemavu wa akili si tatizo ambalo umejitakia, wewe ni victim tu wa mambo kadhaa yaliyojitokeza kwenye makuzi yako ya awali. Huna haja ya kutumia mbinu mbinu nyiiingi kudhihirisha mtindio. You just walk in to CCBRT reception na uanze kubwabwaja huu utumbo ulioandika hapa JF, believe me, in fraction of seconds utakuwa admitted 'duty free'.
Dr.Slaa ameuliza kama kuna kodi inachajiwa kwenye vifaa vya hospitali, hapo hukutoa jibu, ukarukia mambo mengine kudhihirisha kuwa una matatizo ya akili. Swali hilo hilo ameliuliza Pasco, hukuweka majibu ukabakia tu kama viongozi wa chama chako ambao wanaamini zaidi ktk kunung'unika kuliko kuchukua hatua.
Dr.Slaa amepoteza muda mwingi kukuelewesha mambo ambayo hayaendani na uwezo wako wa kufikiri, badala yake alipaswa tu kukwambia 'huna haja ya kuandaa mazingira, matibabu pale CCBRT ni BURE'
Wakuu! Mleta uzi huu kwanza hajasema chanzo cha habari yake, pili nijuavyo mimi miongoni mwa vitu visivyolipiwa kodi ni pamoja na hospitali na shule; hivyo hata kama kungekuwa na suala hilo la ujenzi wa hospitali tusingeweza kujadili suala la ukwepaji kodi kwa kuwa hospotali hazilipiwi kodi, tatu anaesema kuna ukwepaji kodi ni nani? na mwisho uzi huu umelenga uchochezi wa kidini na kuwachafua watu wa dini fulani kwa sababu maalum. Ritz alete ushahidi wa mambo anayosema hapa asipoleta; tutatafsiri kuwa huu ni mwendelezo wa jitihada zake za kuleta uchochezi wa kidini na bila shaka mods watamuhudumia ipasavyo.
Nakuwekea picha sijui utakuja na maneno gani tena.
Mkuu Lizaboni,
Nashukuru sana kwa kudadavua hizi bayana.
Dr. Slaa kashindwa kukataa kama wana uwanja Mlalakuwa ambao wanataka kujengea hospitali na Wajapani yeye na Josephine.
Mbona unaonekana unasila sana kwani leo slaa hajakupa posho mwenzenu anawatumia yeye anajali familia yake mtakoma,amesahau serikali yao ya magamba ilivyomfanyia vibaya mzalendo Dr Masau na hata baba yake akashindwa kutoa mkono wa pole kama ai rambirambj wala kuhudhuria mazishi. NAICHUKIA SANA HIYO FAMILIA YENU.
Unatafuta promo ajibu hoja au kioja?
Mkuu, nadhani wewe hujaelewa. Ritz kasema kuwa wajapan walitembelea mwezi Juni 2013 nyumbani kwa Dr Slaa. Picha zilizowekwa ni wakati Josephine akiwa ziarani Japan mwaka 2012 kuthibitisha kuwa kumekuwa na watu hawa kutembeleana katika kufanikisha mipango yaoRitz, picha zina tarehe za mwaka 2012, na 'habari' yako ina tarehe za mwaka 2013..!!!!
Rekebisha 'uongo' huu kwanza.
Mkuu Ritz, hakika wewe umekuwa shujaa na hoja zako zimekuwa mwiba kwa Dr Slaa. Nilitegemea kwa vile yeye ni Katibu Mkuu, tena wa Chama kikubwa, nilijua uelewa wake utakuwa mkubwa. Ni aibu kwa CHADEMA kuwa na mtu ambaye badala ya kujibu hoja, analeta mipasho jukwaani
Mtakuja kuelewa tu baada ya kuibiwa saaana na hao akina Silaha na Dj Mbowe! Hawana uzalendo wala nini! Ni wajasiria mali tu! Zindukeni nyie misukule!
nendeni mkamkande maji ya baridi kwa sasa atakuwa amepata moto kweli kwa kuambiwa ukweli.
Kweli nimeamini kah*ba ni k*haba tu hata akiwa mtawa hawezi kuficha tabia yake...
Hapa mdada umeonyesha tabia yako ya ndani kabisa,,, tamaa mbaya sana,, naamini buku saba ya Lumumba kwa nyie wenye tamaa ni ngumu sana kuwatosha.
You are just being nasty because Dr. Slaa is threatening the success of your Chama cha Mafisadi in 2015.
For your information charitable Voluntary Agencies like Churches which offer to build schools or hospitals are exempt from taxes. The equipment they import for such projects is also exempt from customs duty and sales tax. I know this because I personally introduced the exemptions when I was Minister of Finance in 1978.
The best way to speed up social development for our people is to ensure such projects are built cost-effectively.
Siasa ni mchezo wa ajabu sana na ukiingia kwenye siasa ni sawa na kuyavulia maji nguo ambapo inabidi uyaoge.
Kuingia kwenye siasa ni sawa na kuacha milango ya nyumba yako wazi ambapo mtu yeyote anaweza kuingia na kuona unachokifanya na pia kila kitu kilichoko ndani ya nyumba, wakati mwingine hata kuchukua chochote atakachoona kina value.
Kwenye siasa, mtu mchafu anaweza kusafishwa na msafi anaweza kuchafuliwa. It's how you play a 'political game'.
Kabla ya kufikia October 2013, tutaona na kusikia mengi hasa ikichukuliwa kuwa principle mojawapo ya siasa ni kutenda kile unachokihubiri.
Yetu macho na masikio.
You are just being nasty because Dr. Slaa is threatening the success of your Chama cha Mafisadi in 2015.
For your information charitable Voluntary Agencies like Churches which offer to build schools or hospitals are exempt from taxes. The equipment they import for such projects is also exempt from customs duty and sales tax. I know this because I personally introduced the exemptions when I was Minister of Finance in 1978.
The best way to speed up social development for our people is to ensure such projects are built cost-effectively.
Mara nyingi Dr.Slaa amekuwa anikuu maneno ya Mwalimu Nyerere, juu ya nani ni mzalendo na zaidi kwamba kiongozi wa Watanzania anapaswa kuwa awe mtu muadilifu.